Blogs Tanzania | News |  Michuzi ya Habari leo

 

Mnaigeria aibuka kidedea mashindano ya kuhifadhi Qur-an na kuinyakua USD 3,150/=

washiriki wakiwa katika picha yapamoja

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mshiriki mdogo kuliko wote katika mashindano hayo ya Qur-an, ya kimataifa, Suleyman Ahmad (9) kutoka China, aliyeshiriki katika fainali hizo zilizofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Agosti 12, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi za Dini ya Kiislamu na washindi wa tatu Bora wa fainali za mashindano ya Kimataifa ya Qur-an, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Agosti 12, 2012. Picha na Muhidin Sufiani

Mmoja kati ya washiriki wanne walioiwakilisha Tanzania, katika fainali za mashindano ya kimataifa ya Qur-an, yaliyoshirikisha nchi 13, Omar Abdallah, akisoma Qur-an wakati akishiriki katika fainali za mashindano hayo ya Kimataifa yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam Agosti 12, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Short URL: http://www.thehabari.com/?p=21225

Posted by on Aug 12 2012. Filed under Habari za Nyumbani. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. You can leave a response or trackback to this entry

Leave a Reply

*

 

 

Log in |

 

Google+