Maalumu kwa wateja wa Twiga Bancorp
TWIGA Bancorp limited inaendelea na mkakati wa kurekebisha kumbukumbu za wateja wetu kwa mujibu wa maelekezo ya Benki Kuu, ili kuweza kutoa huduma iliyo bora zaidi.
Usikiapo taarifa hii, tafadhali nenda tawi lolote la Twiga lililopo karibu nawe muone meneja wa tawi ukiwa na kitambulisho cha account yako.
Mwisho wa zoezi hili ni tarehe 30 Julai, 2012.
Kwa kurahisisha zoezi hili wasiliana nasi kwa Simu zifuatazo
1. 022 211 5575 au
2. 0767 310 348 au
Fax 022 211350
Email info@twigabancorp.com
Twiga bancorp, Huduma bora ndiyo fahari yetu
Short URL: http://www.thehabari.com/?p=17997
Posted by jomushi
on May 31 2012. Filed under Habari za Nyumbani.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
You can leave a response or trackback to this entry








