Blogs Tanzania | News |  Michuzi ya Habari leo

 

Kamata kamata ya wezi kazi za wasanii Dodoma

Mkurungezi wa Kampuni ya MSAMA PROMOTION, Alex Msama pichani akifafanua jambo kwa Wanahabari (hawapo pichani), kuhusiana na tukio zima la kamata kamata ya wezi wa kazi za wasanii iliofanyika mjini Dodoma.


Mkurungezi wa Kampuni ya MSAMA PROMOTION, Alex Msama pichani mwenye fulana akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) CD za video na Audio za muziki wa aina mbalimbali pamoja na kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye  kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma, mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi  wa kazi za wasanii, ambapo jumla ya CD na komputer zenye thamani ya sh. milioni 67 zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la Polisi mkoani humo. (PICHA ZOTE NA DIRA MEDIA).

Short URL: http://www.thehabari.com/?p=21112

Posted by on Aug 8 2012. Filed under Habari za Nyumbani. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. You can leave a response or trackback to this entry

Leave a Reply

*

 

 

Log in |

 

Google+