Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania » Vitimbwi Ulimwenguni http://www.thehabari.com Habari Tanzania | Online Newspaper Tue, 09 Feb 2016 23:33:33 +0000 en-US hourly 1 http://wordpress.org/?v=4.2.7 Duu! Kweli Dunia Ina Mambo Kiazi Chauzwa Dola Milioni Moja http://www.thehabari.com/duu-kweli-dunia-ina-mambo-kiazi-chauzwa-dola-milioni-moja/ http://www.thehabari.com/duu-kweli-dunia-ina-mambo-kiazi-chauzwa-dola-milioni-moja/#comments Wed, 27 Jan 2016 04:46:33 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66435 Chakula ni chakula tu na Sio jambo la ajabu kutamani kula viazi ...

The post Duu! Kweli Dunia Ina Mambo Kiazi Chauzwa Dola Milioni Moja appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
kiazi

Chakula ni chakula tu na Sio jambo la ajabu kutamani kula viazi hususan baada ya kubugia glasi kadha ya mvinyo. Iwe ni viazi karai ,viazi vya kuchoma au hata Chips lakini bwana mmoja nchini Uingereza ameustaajabisha ulimwengu kwa kununua picha ya kiazi kwa dola milioni moja.

Baada ya kumimina glasi kadhaa za kinywaji chake alitia sahihi hundi ya pauni laki saba u nusu £750,000 sawa na dola dola milioni moja za Marekani $1066199.97. Mpiga picha Kevin Abosch aliiambia jarida la The Sunday Times

”sio mara ya kwanza kwa mtu aliyebugia kiileo chake kununua picha aliyoangika ukutani na tulikuwa tumekunywa glasi mbili za mvinyo,,nilifurahi sana.’

kiaz2

”Lakini baada ya glasi zingine mbili za mvinyo bwana huyo alinisisitizia kuwa ,kwa kweli naipenda sana picha hiyo sijui iwapo unaweza kuniuzia hiyo’ na Baada ya majuma mawili tulikubaliana bei yake na malipo yakafanywa”

Abosch aliipiga picha kiazi hicho kutoka ulaya mwaka wa 2010 kama mojawepo ya msururu wa viazi asilia.

Alipata umaarufu mkubwa kwa kuwapiga picha wasanii maarufu Johnny Depp na muigizaji na mtayarishaji nyota Steven Spielberg. Bei ya picha zake huwa ni takriban dola 285,00 au pauni £200,000. Picha hiyo iliambatana na viazi asilia na mboga

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Duu! Kweli Dunia Ina Mambo Kiazi Chauzwa Dola Milioni Moja appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/duu-kweli-dunia-ina-mambo-kiazi-chauzwa-dola-milioni-moja/feed/ 0
Viongozi Wanaongoza Kwa Kulia Hadharani http://www.thehabari.com/viongozi-wanaongoza-kwa-kulia-hadharani-2/ http://www.thehabari.com/viongozi-wanaongoza-kwa-kulia-hadharani-2/#comments Sat, 09 Jan 2016 07:14:33 +0000 http://www.thehabari.com/?p=65601 Rais wa Marekani aligonga vichwa vya habari alipotokwa na machozi alipokuwa akiwahimiza ...

The post Viongozi Wanaongoza Kwa Kulia Hadharani appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
1

Rais wa Marekani aligonga vichwa vya habari alipotokwa na machozi alipokuwa akiwahimiza Wamarekani wakubali mabadiliko kwenye masharti ya uuzaji wa silaha Marekani.

2

Alizidiwa na hisia alipokuwa akisimulia kuhusu shambulio la ufyatuaji risasi katika shule ya msingi ya Sandy Hook mwaka 2012 ambapo watoto 20 na watu wazima sita.
Hii haikuwa mara yake ya kwanza kutokwa na machozi akizungumzia kisa hicho.

4

Rais wa zamani wa Hamid Karzai aligonga vichwa vya habari duniani alipolia kuhusu hali ya Afghannistan wakati wa kutoa hotuba katika shule ya upili ya Kabul Septemba mwaka 2010.
Alitokwa na machozi alipokuwa akizungumzia mapigano nchini mwake, akisema alikuwa na wasiwasi kwamba hilo lingemfanya mwanawe kutorokea ng’ambo.

3

Rais wa zamani wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva anajulikana pia kwa kutokwa na machozi hadharani.
Alibubujikwa na machozi mwaka 2009 baada ya mji wa Rio de Janeiro kutangazwa kwamba ungekuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2016.
Machozi yake hayakuathiri umaarufu wake na ni mmoja wa marais waliopendwa sana katika historia ya aifa hilo.

4b

Video ya mwanasiasa wa Japan aliyelia baada ya kuulizwa maswali na wanahabari kuhusu matumizi yake ya pesa ilivuma sana mtandaoni Julai 2014.
Ryutaro Nonomura alitokwa na machozi alipotakiwa kujibu madai kwamba alikuwa ametumia pesa za umma kwa safari za kibinafsi.
Alisisitiza kwamba zilikuwa ziara za kikazi,na Baadaye alijiuzulu.

5

Rais wa Urusi Vladimir Putin alionekana kutokwa na machozi alipokuwa akiwahutubia wafuasi wake Manezhnaya Square, Moscow, baada ya kupata habari kwamba alikuwa ameshinda uchaguzi wa urais Machi 2012.
Machozi yake yalikuwa kinyume kabisa na sifa zake kama mtu mwenye roho ngumu na asiyetekwa na hisia. Baadaye, msemaji wa Putin alisema Putin alikuwa amezidiwa na upepo na baridi na wala si hisia zilizomteka.

6

Wakati wa kampeni za uchaguzi wa urais 2008 Hillary Clinton alitokwa na machozi akiwa New Hampshire, alipoulizwa na mwananchi, “Utafanyaje hayo?”
Suti yake ilibadilika na machozi kumtoka alipokuwa akimjibu.
Alifafanua baadaye: “Ningekuwa na wasiwasi sana kujihusu iwapo nisingekuwa na hisia kwamba hilo lilikuwa muhimu na la maana.”
Waziri huyo wa zaman wa mambo ya nje wa Marekani alitaka urais 2008 lakini akashindwa na Rais Barack Obama mbio za kumsaka mgombea wa chama cha Democratic.

7

Tarehe 28 Novemba 1990, Waziri Mkuu wa Uingereza wakati huo Margaret Thatcher alitokwa na machozi alipokuwa akitoa hotuba ya kuaga akiwa amesimama kwenye vidato vya jumba la Downing Street.
Kiongozi huyo wa kwanza mwanamke Uingereza, aliyejulikana kama Iron Lady, aling’atuka baada ya baraza lake la mawaziri kukataa kumuunga mkono uchaguzini.
Alionekana akitokwa na machozi, akipungia watu mikono kutoka kiti cha nyuma cha gari alipokuwa akiondoka afisini mara ya mwisho.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Viongozi Wanaongoza Kwa Kulia Hadharani appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/viongozi-wanaongoza-kwa-kulia-hadharani-2/feed/ 0
Only in Africa http://www.thehabari.com/only-in-africa/ http://www.thehabari.com/only-in-africa/#comments Tue, 22 Dec 2015 19:40:30 +0000 http://www.thehabari.com/?p=30338 Jiunge nasi kwenye social media Facebook Instagram Youtube Twitter

The post Only in Africa appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Only in Africa appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/only-in-africa/feed/ 0
Mapacha “wakutana” kwa mara ya kwanza http://www.thehabari.com/mapacha-wakutana-kwa-mara-ya-kwanza/ http://www.thehabari.com/mapacha-wakutana-kwa-mara-ya-kwanza/#comments Tue, 01 Dec 2015 06:17:20 +0000 http://www.thehabari.com/?p=64099 Angalia video ya watoto mapacha, wakikutana kwa mara ya kwanza punde tu ...

The post Mapacha “wakutana” kwa mara ya kwanza appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Angalia video ya watoto mapacha, wakikutana kwa mara ya kwanza punde tu baada ya kuzaliwa. Video imepigwa na mfanyakazi wa GoPro Lonie Paxton.
watoto-mapacha

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Mapacha “wakutana” kwa mara ya kwanza appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/mapacha-wakutana-kwa-mara-ya-kwanza/feed/ 0
Majengo ya Jiji la Dubai http://www.thehabari.com/majengo-ya-jiji-la-dubai/ http://www.thehabari.com/majengo-ya-jiji-la-dubai/#comments Sat, 07 Nov 2015 07:41:20 +0000 http://www.thehabari.com/?p=63574 Dubai ni jiji ndani ya United Arab Emirates, mji huu unajulikana sana ...

The post Majengo ya Jiji la Dubai appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Dubai ni jiji ndani ya United Arab Emirates, mji huu unajulikana sana kwa majengo yake marefu na ya kisasa. Leo nimekuletea picha za majengo mbali mbali ya jiji la dubai.
11_2
10_1

9_36_6

5_8

4_114_10

3_15

2_19

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Majengo ya Jiji la Dubai appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/majengo-ya-jiji-la-dubai/feed/ 0
Mikasa Hii! http://www.thehabari.com/mikasa-hii/ http://www.thehabari.com/mikasa-hii/#comments Sat, 14 Feb 2015 18:02:23 +0000 http://www.thehabari.com/?p=55273         Jiunge nasi kwenye social media Facebook Instagram Youtube ...

The post Mikasa Hii! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Sasa  huu mpira au ugomvi?

Sasa huu mpira au ugomvi?

 

kafanana na nani huyu?

kafanana na nani huyu?

 

Siku watu wakichoka na utawala wa mabavu ndio mambo hufikia huku!

Siku watu wakichoka na utawala wa mabavu ndio mambo hufikia huku!

 

 

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Mikasa Hii! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/mikasa-hii/feed/ 0
Angalia Stephen Fry Anavyomjaribu Mungu http://www.thehabari.com/angalie-mkana-mungu-stephen-fry-akiongea-kuhusu-mungu/ http://www.thehabari.com/angalie-mkana-mungu-stephen-fry-akiongea-kuhusu-mungu/#comments Sat, 07 Feb 2015 05:17:02 +0000 http://www.thehabari.com/?p=55128 Bonyeza hapa uangalie video ya mchekeshaji maarufu wa nchini Uingereza Stephen Fry ...

The post Angalia Stephen Fry Anavyomjaribu Mungu appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
stephen-fry
Bonyeza hapa uangalie video ya mchekeshaji maarufu wa nchini Uingereza Stephen Fry akijibu swali baada ya kuulizwa kuwa atamwambia nini Mungu siku akifa na kugundua kweli Mungu yupo?

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Angalia Stephen Fry Anavyomjaribu Mungu appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/angalie-mkana-mungu-stephen-fry-akiongea-kuhusu-mungu/feed/ 1
Huwezi Kuamini Macho Yako Ukiona hizi picha.. http://www.thehabari.com/huwezi-kuamini-macho-yako-ukiona-hizi-picha/ http://www.thehabari.com/huwezi-kuamini-macho-yako-ukiona-hizi-picha/#comments Fri, 16 Jan 2015 07:47:33 +0000 http://www.thehabari.com/?p=54767 Hii dunia, huko tunakoelekea sijui itakuwaje. Huwezi amini ukiangalia hizi picha, hawa ...

The post Huwezi Kuamini Macho Yako Ukiona hizi picha.. appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Hii dunia, huko tunakoelekea sijui itakuwaje. Huwezi amini ukiangalia hizi picha, hawa ni wanaume waliojigeuza kuwa wanawake na wanawake waliojigeuza kuwa wanaume.
ashenal

ashenal_2

cythia

danay

dayana

denny

la-chichi

lady-ross

la-fuerte

la-patrona

natali

sahira

sissy

vanesa

wendy
Picha hizi zimepigwa kule Cuba na mpiga picha Claudia Gonzalez (Chanzo: http://claudiagonzalez.4ormat.com/personalwork#7)

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Huwezi Kuamini Macho Yako Ukiona hizi picha.. appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/huwezi-kuamini-macho-yako-ukiona-hizi-picha/feed/ 0
Vituko Duniani, Kuna Mpaka Smart Belt http://www.thehabari.com/vituko-duniani-kuna-mpaka-smart-belt/ http://www.thehabari.com/vituko-duniani-kuna-mpaka-smart-belt/#comments Fri, 16 Jan 2015 07:28:38 +0000 http://www.thehabari.com/?p=54763 Katika pitapita zangu mjini hasa mida ya lunch nimeshuhudia akina baba wakisogeza ...

The post Vituko Duniani, Kuna Mpaka Smart Belt appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Katika pitapita zangu mjini hasa mida ya lunch nimeshuhudia akina baba wakisogeza fundo la mkanda baada ya lunch.
Na sio wakati wa kula tu, hata baada ya kupata chupa kadhaa za bia jioni, utaiona midingi ikiongeza size ya mikanda.

Kama kawaida kazi ya teknolojia ni kurahisisha maisha ya watu, Smart belt zimevumbuliwa hasa kwa watu wanaohangaika kubadilisha tundu la kufungia mkanda mara kadhaa kwa siku.
Mkanda huu unajiongeza ukubwa au kujipunguza kutokana na jinsi ulivyoshiba. Jionee picha mwenyewe.

Emotia-Smart-Belt-3-640x426

Emotia-Smart-Belt-6

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Vituko Duniani, Kuna Mpaka Smart Belt appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/vituko-duniani-kuna-mpaka-smart-belt/feed/ 0
African Football http://www.thehabari.com/african-football-2/ http://www.thehabari.com/african-football-2/#comments Sun, 23 Nov 2014 06:14:33 +0000 http://www.thehabari.com/?p=2225 Jiunge nasi kwenye social media Facebook Instagram Youtube Twitter

The post African Football appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
afrika002 afrika003 afrika004 afrika005 afrika006 afrika007 afrika008 afrika009 afrika010 afrika011 afrika012 afrika013 afrika014 afrika015 afrika016 afrika017 afrika018 afrika019 afrika020 afrika021 afrika025 afrika027 afrika028 afrika029 afrika030 tnafricanfootball667

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post African Football appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/african-football-2/feed/ 0
Mashindano ya Kucheza kwa Walemavu wa Miguu http://www.thehabari.com/mashindano-ya-kucheza-kwa-walemavu-wa-miguu/ http://www.thehabari.com/mashindano-ya-kucheza-kwa-walemavu-wa-miguu/#comments Sun, 16 Nov 2014 07:41:17 +0000 http://www.thehabari.com/?p=53143 Mashindano ya kucheza yajulikanayo kama The 2014 European Championships yalifanyika huko Lomianki, ...

The post Mashindano ya Kucheza kwa Walemavu wa Miguu appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Mashindano ya kucheza yajulikanayo kama The 2014 European Championships yalifanyika huko Lomianki, Poland, kuanzia 8-9 November 2014.

5e00066a96d1f9e6b0a0df9bd47c79fc

8b8ade0ea63747f19c13afeda9429a56

8f24325804371a4d12f43ca8112d358a

19aadecf256bc1e3c208f18d4731ec88

43ed3815fd9dcce0f715d9026083e217

68f1dc0e8f09ef1f75530c4b2d2c8dd4

a7cf3ba8499d0880fe90ba9d74e0d8aa

b3029b17fb672b7fa77582c18a2bae91

c98b3ccaeb128e8966b15550fb084a5d

d19e88e6809b732e4ecf296edc30bb42

d92c3c691ba1f1e48641cdd1b14b4d0a

f40124fc7c38252a28a2ae02c94bd854

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Mashindano ya Kucheza kwa Walemavu wa Miguu appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/mashindano-ya-kucheza-kwa-walemavu-wa-miguu/feed/ 0
Mambo ya Kufua Haya ni Balaa…! http://www.thehabari.com/mambo-ya-kufua-haya/ http://www.thehabari.com/mambo-ya-kufua-haya/#comments Thu, 16 Oct 2014 04:16:41 +0000 http://www.thehabari.com/?p=52106 Jiunge nasi kwenye social media Facebook Instagram Youtube Twitter

The post Mambo ya Kufua Haya ni Balaa…! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
002

003

004

005

006

007

008

009

010

011

012

013

014

015

tn

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Mambo ya Kufua Haya ni Balaa…! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/mambo-ya-kufua-haya/feed/ 0
Otea Huu ni Mkoa Gani…? http://www.thehabari.com/otea-huu-ni-mkoa-gani/ http://www.thehabari.com/otea-huu-ni-mkoa-gani/#comments Thu, 16 Oct 2014 04:14:22 +0000 http://www.thehabari.com/?p=52099 Jiunge nasi kwenye social media Facebook Instagram Youtube Twitter

The post Otea Huu ni Mkoa Gani…? appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
africa-001

africa-002

africa-005

africa-007

tn

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Otea Huu ni Mkoa Gani…? appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/otea-huu-ni-mkoa-gani/feed/ 0