Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania » Uchambuzi http://www.thehabari.com Habari Tanzania | Online Newspaper Fri, 12 Feb 2016 18:32:27 +0000 en-US hourly 1 http://wordpress.org/?v=4.2.7 Elimu Bure? Elimu Bora? Kipi Bora? http://www.thehabari.com/elimu-bure-elimu-bora-kipi-bora/ http://www.thehabari.com/elimu-bure-elimu-bora-kipi-bora/#comments Tue, 09 Feb 2016 12:33:41 +0000 http://www.thehabari.com/?p=67120 Na Ferdinand Shayo. Nachukua Nafasi hii Kumpongeza Rais wa Awamu ya Tano ...

The post Elimu Bure? Elimu Bora? Kipi Bora? appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
ndalichako

Na Ferdinand Shayo.
Nachukua Nafasi hii Kumpongeza Rais wa Awamu ya Tano John Pombe Magufuli kwa kwa waraka wake wa elimu bure ambayo itagharamiwa kwa fedha za walipa kodi ,ubunifu ambao unaweza kuwasaidia watoto wa Watanzania ambao ni masikini wenye kipato cha chini.

Katika kipindi hiki Taifa limetoka katika Agenda ya kujadili ubora wa elimu inayotolewa nchini,mitaala na mambo mbalimbali sasa mjadala mkubwa umeamia kwenye elimu bure.

Swali langu ni kwamba elimu bure itakua na ubora ?,maana kwa sasa suala linalotiliwa mkazo na kusimamiwa kwa nguvu zote ni elimu bure na sio elimu bora.

Wasi wasi wangu ni kwamba taifa linaweza kuendelea kuteseka kwenye mitaala mibovu ,vitabu ambavyo havikidhi huku viongozi wa ngazi za juu hadi za chini wakiendelea kusisitiza elimu bure.

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kibwegere wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa madawati 53 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB juzi jijini Dar es Salaam. Katikati pichani ni baadhi ya madawati hayo.

Kama elimu bure haitaleta elimu bora basi hakutakua na tija yoyote kwa watanzania ,madarasa yataendelea kuwa maghala ya kuhifadhia watoto ama sehemu ya watoto kukua.

Bado madai ya walimu yanapigwa danadana na serikali ,walimu wanafundisha shingo upande huku wakiwaza stahiki zao na kuzidiwa na ugumu wa maisha licha ya ugumu wa kazi.

Japo hatuombei mgomo kwasababu wanaoathirika ni watoto wa mama ntilie,wamachinga ,wabangaizaji wa mjini ambao ndio idadi kubwa ya watanzania wenye kipato cha chini huku watoto wa matajiri wakisoma shule za senti senti St……………….

Changamoto ni nyingi katika huu waraka wa elimu bure ambao umezua mkanganyiko mkubwa kwa viongozi,wazazi,walimu na watoto kutokujua maeneo ambayo serikali inachangia na maeneo ambayo wananchi wanapaswa kuchangia.

Bado kuna shule hazina madawati wanafunzi wanakaa chini lakini ni wanufaika wa elimu bure kwa sababu shule inapata ruzuku ya kila mwanafunzi na ile ya uendeshaji wa shule (capitation grand).

Bado kuna shule hazina matundu ya chooo lakini ni wanufaika wa elimu bure na watanzania wameshatangaziwa kuwa wasitoe mchango wowote elimu ni bure.

Bado watoto wanashinda njaa shuleni na ni wanufaika wa elimu bure ,wanawezaje kupata elimu huku wakiwa na njaa na wazazi wameambiwa wasitoe mchango wowote.

Waraka mwingine unapaswa kutolewa kwa wazazi waweze kutambua wapi wanapaswa kuchangia na wapi hawapaswi kuchangia kama serikali haina uwezo wa kuchukua jukumu zima la elimu bure na sio nusu nusu wala robo.

necta.

Kwa mtazamo wangu elimu bure itashusha kiwango cha elimu nchini hususan katika shule za serikali kwa kuwa jambo hili ni zito na si jepesi ni kama vile serikali ilikua haijajiandaa vizuri kubeba hili.

Nilizungumza na Meneja mmoja wa shule binafsi akaniambia wazazi wanawafuatilia watoto wao sana katika shule binafsi kwa sababu wanatoa fedha nyingi tofauti na shule binafsi wazazi hawalipi fedha nyingi na hawafuatilii watoto wao.

Siungi mkono wazazi kuchangia lakini pia kama serikali inaonekana haipo tayari kwa hili ni bora kurudi kwenye mfumo wa wazazi kuchangia tusing`ang`ane na elimu bure ikawagharimu Watoto wa masikini Watanzania japo namini Tanzania ina utajiri wa rasilimali za kutosha kutoa elimu Bure bila mipaka kama Viongozi wakiamua.

Waswahili husema Bure inagharama bure hii inaweza kuwagharimu watanzania na taifa hususan kupanda na kushuka kwa chati ya elimu nchini.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Afrika.
0765938008
ferdinandshayo@gmail.com

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Elimu Bure? Elimu Bora? Kipi Bora? appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/elimu-bure-elimu-bora-kipi-bora/feed/ 0
Wafanyakazi Tambaza Waomba Rushwa ‘Live’ http://www.thehabari.com/wafanyakazi-tambaza-waomba-rushwa-live/ http://www.thehabari.com/wafanyakazi-tambaza-waomba-rushwa-live/#comments Wed, 03 Feb 2016 19:26:59 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66868   AGIZO la Serikali kuzuia usafiri wa bodaboda mjini umegeuka kuwa kitega uchumi ...

The post Wafanyakazi Tambaza Waomba Rushwa ‘Live’ appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Wafanyakazi wa Tambaza wakizungumza na dereva wa bajaji na kumuomba rushwa ya shilingi 10,000

Wafanyakazi wa Tambaza wakizungumza na dereva wa bajaji na kumuomba rushwa ya shilingi 10,000

 

AGIZO la Serikali kuzuia usafiri wa bodaboda mjini umegeuka kuwa kitega uchumi kwa baadhi ya vijana walioajiriwa kuhakikisha agizo linatekelezwa. Hii imethibitika baada ya mwandishi wa habari hizi kufumania tukio la vijana wa jiji wakidai rushwa wazi wazi bila woga kwa mwendesha pikipiki wa magurudumu watatu maarufu kama bajaji.

Kachero wetu (jina limehifadhiwa) alifanikiwa kupata picha za wala rushwa pamoja na kunasa sauti za tukio lote.

IMG-20160203-WA0009

Baadhi ya wafanyakazi wa Tambaza wakiwa pembezoni ya barabara katika daraja la Salenda.

IMG-20160203-WA0010

Mmoja wa mfanyakazi wa Tambaza akisimamisha bajaji.

IMG-20160203-WA0014

 

IMG-20160203-WA0012

Wafanyakazi wa Tambaza (walio na mashati ya rangi nyeupe) wakizungumza na dereva wa bajaji.

  Chanzo Mo Blog

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Wafanyakazi Tambaza Waomba Rushwa ‘Live’ appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/wafanyakazi-tambaza-waomba-rushwa-live/feed/ 0
TTCL Yaendelea Kutambulisha 4G-LTE kwa Wateja http://www.thehabari.com/ttcl-yaendelea-kutambulisha-4g-lte-kwa-wateja/ http://www.thehabari.com/ttcl-yaendelea-kutambulisha-4g-lte-kwa-wateja/#comments Wed, 27 Jan 2016 03:17:10 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66415 KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imeendelea na harakati zake za kimasoko kutambulisha ...

The post TTCL Yaendelea Kutambulisha 4G-LTE kwa Wateja appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

IMG_0168

Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imeendelea na harakati zake za kimasoko kutambulisha intaneti yake yenye kasi na bora zaidi ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam ili kuwafikia watanzania walio wengi zaidi.

Tangu kuzinduliwa kwa Huduma hii mwishoni mwa mwezi wa Desemba, 2015, wateja wengi wamefurahishwa na huduma hii kutokana na ubora wa intaneti, gharama nafuu ambayo inakidhi mahitaji yao.

“Kweli nimeridhishwa na huduma zao, kwa sasa natumia kifurushi cha Oneconnect ambacho napata huduma za data ya 4G na ADSL (fixed modem), hii inanisaidia nikiwa nyumbani na nikirudi nyumbani naendelea kupata huduma kama kawaida kwa bei moja” alisema mteja, Boazi Kaaya.

Pichani juu ni baadhi ya akinadada wawakilishi wa Kampuni ya TTCL wakizungumza na wateja barabarani jijini Dar es Salaam kuitambulisha huduma ya 4G-LTE kwa wateja anuai.

Pichani juu ni baadhi ya akinadada wawakilishi wa Kampuni ya TTCL wakizungumza na wateja barabarani jijini Dar es Salaam kuitambulisha huduma ya 4G-LTE kwa wateja anuai.

Pichani juu ni baadhi ya akinadada wawakilishi wa Kampuni ya TTCL wakizungumza na wateja barabarani jijini Dar es Salaam kuitambulisha huduma ya 4G-LTE kwa wateja anuai.

Pichani juu ni baadhi ya akinadada wawakilishi wa Kampuni ya TTCL wakizungumza na wateja barabarani jijini Dar es Salaam kuitambulisha huduma ya 4G-LTE kwa wateja anuai.

Pichani juu ni baadhi ya akinadada wawakilishi wa Kampuni ya TTCL wakizungumza na wateja barabarani jijini Dar es Salaam kuitambulisha huduma ya 4G-LTE kwa wateja anuai.

Pichani juu ni baadhi ya akinadada wawakilishi wa Kampuni ya TTCL wakizungumza na wateja barabarani jijini Dar es Salaam kuitambulisha huduma ya 4G-LTE kwa wateja anuai.


Naye, Meneja Masoko wa TTCL, Beda Kinunda amesema kuwa mkakati huu wa kutangaza bidhaa za TTCL 4G – LTE na ADSL ni mkakati endelevu, lengo letu kuwafikia wateja wetu popote walipo katika jiji la Dar es salaam. Tunapenda kuwakaribisha wakazi wa Dar es salaam kutumia huduma zetu za 4G zina ubora, bei nafuu na uhakika muda wote. Pia, TTCL tunauza vifaa vinavyotumia teknolojia ya 4G –LTE ambavyo ni Dongle (modem), Mi-Fi na Routers kwa bei nafuu zaidi.

Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

“Ukienda kwenye ofisi zetu na vituo vya huduma kwa wateja utapata huduma hiyo mara moja” amesema Beda Kinunda

Hivi karibu TTCL ilizindua huduma za 4G LTE kwa jiji la Dar es salaam ambayo inapatikana katika maeneo Posta(City Centre), Kariakoo, Upanga, Magomeni, Kijitonyama, Oysterbay, Ubungo, Mbezi, University of Dar es salaam, Pugu Road, Airport, Quality Centre, Kisutu, Mwananyamala, Kurasani na Tabata.

Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inatekeleza mkakati kabambe wa mabadiliko ya kibiashara wenye lengo mahsusi la kuleta mageuzi makubwa katika biashara ya mawasiliano simu na Data nchini.

Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

Baadhi ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa wateja wa jiji la Dar es salaam.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post TTCL Yaendelea Kutambulisha 4G-LTE kwa Wateja appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/ttcl-yaendelea-kutambulisha-4g-lte-kwa-wateja/feed/ 0
Binti Huyu wa Miaka 13 Amepotea…! http://www.thehabari.com/binti-huyu-wa-miaka-13-amepotea/ http://www.thehabari.com/binti-huyu-wa-miaka-13-amepotea/#comments Fri, 08 Jan 2016 16:04:15 +0000 http://www.thehabari.com/?p=65566 Jiunge nasi kwenye social media Facebook Instagram Youtube Twitter

The post Binti Huyu wa Miaka 13 Amepotea…! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Mtoto huyu aitwaye Khadija Hassan anaye umri 13 amepotea tangia Jumatatu tarehe 4 January 2016. Mwisho alionekana eneo la KEKO Mwanga. Ukimuona tafadhali utupigie Simu 0657697217 or 0719 537 565

Mtoto huyu aitwaye Khadija Hassan mwenye umri 13 amepotea tangu Jumatatu tarehe 4 January 2016.
Mwisho alionekana eneo la KEKO Mwanga.
Ukimuona tafadhali utupigie Simu 0657697217 or 0719 537 565

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Binti Huyu wa Miaka 13 Amepotea…! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/binti-huyu-wa-miaka-13-amepotea/feed/ 0
Sababu Saba Fabregas Kurudi Arsenal Januari Hii http://www.thehabari.com/sababu-saba-fabregas-kurudi-arsenal-januari-hii/ http://www.thehabari.com/sababu-saba-fabregas-kurudi-arsenal-januari-hii/#comments Thu, 07 Jan 2016 04:04:15 +0000 http://www.thehabari.com/?p=65473 1.Mchezaji Muhimu Kwa Timu Katika hali halisi ya timu hiyo Fabregas atakuwa ...

The post Sababu Saba Fabregas Kurudi Arsenal Januari Hii appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Liverpool v Arsenal

1.Mchezaji Muhimu Kwa Timu

Katika hali halisi ya timu hiyo Fabregas atakuwa mchezaji muhimu kwa kikosi cha Arsenal kama ilivyokuwa kwa kina Mathieu Flamini, Tomas Rosicky na Mikel Arteta.
Ni vigumu sana kusahau mazuri aliyoyafanya mchezji huyo akiwa katika kikosi cha The Gunner kipindi chake

2. Msaada Mkubwa kwa Cazorla

Kutokana na Kuumia kwa Santi Cazorla, Fabegas ataziba pendo hilo kwa haraka zaidi kutokana na majeruhi inayoiandama timu hiyo ambayo ipo kileleni mwa ligi kuu ya Uingereza huku ikisaka ubingwa.
Kutokana na umri wa wa Cazorla (31) inaonesha dhaili mchezaji huyo anafikia kileleni wa kuonesha uwezo wake kwa miaka miaka ya mbele hasa kutokana na ushindani wa ligi hiyo, na hasa akiwa amebakiza mkataba wa miezi 18 ndani ya klabu hiyo.

2

3. Anakiu ya Magoli

Cesc kwa sasa sio mmoja wa wapachika mabao katika timu yake ya Chelsea, lakini Mchezaji huyo alikuwa mmoja ya wachezaji waliochangia ufungaji wa magoli katika timu ya Arsenal
Mhispania huyo alikuwa mmoja ya wafungaji wazuri katika msimu wa 2009/10 baada ya kufunga magoli 19 katika michezo yote.

3

Viungo Mahili Kwa Kufungaji Katika Timu ya Arsenal Tangu 2007

Mesut Ozil – 5 (2015/16)
Santi Cazorla – 8 (2014/15)
Aaron Ramsey – 16 (2013/14)
Santi Cazorla – 12 (2012/13)
Mikel Arteta – 6 (2011/12)
Samir Nasri – 15 (2010/11)
Cesc Fabregas – 19 (2009/10)
Samir Nasri – 7 (2008/09)
Cesc Fabregas – 13 (2007/08)

Cesc certainly has the ability to improve that tally.

4. Mahili Kwa Kutoa Pasi Za Mwisho Za Mabao

Kwa sasa mchezaji anayeongoza kutoa pande za mabao kwenye timu hiyo ni Mjerumani Mesut Ozil kuliko hata ilivyo kuwa kwa Cesc, hivyo kurejea kwake kutaongeza chachu ya magoli paomja na ushindani baida yake na Mjerumani huyo.

Arsenal v Tottenham Hotspur - Premier League

5.Bado Kipenzi Cha Mashabiki wa Arsenal

Fabregas amekuwa katika maelewano mazuri mno na mashabiki wa The Gunners kuliko hata wale wa Chelsea, mara nyingi timu hizo zinapokutana Cesc Amekuwa akishangiliwa na mashabiki wa Aresenal kila anapogusa Mpira
Ni vigumu kwa meneja wa timu hiyo Asene Wenger Kumpokea mchezaji huyo kwa sasa, kutokana na maelewano yake kuto kuwa mazuri kipindi anaondoka Klabuni hapo akielekea Barcelona.

Chelsea v Arsenal - Premier League

6. Sio Rahisi Kushuka Kiwango Chake Kwa sasa

Wengi walishangazwa na kuporomoka kwa kiwango cha nyota wa Timu hiyo Robin van Persie anayekipiga katika timu ya Fenerbahce akitokea Mancherster United Ya Uingereza
Juventus na Inter wanavizia saini ya Mchezaji huyo huku tetesi zikisema anataka kutimukia katika Ligi ya Marekani (MLS) kabla ya Kutundika daruga lake.

Carling Cup Final: Chelsea v Arsenal

7. Msaada Mkubwa Kwa Wenger

Kutokana na shinikizo kubwa la mashabiki wa timu hiyo kuwa na hamu ya taji ya ligi kuu walilolikosa kwa miaka zaidi ya 10, mchezaji huyo atakisaidia kikosi hicho katika kutwaa ndoo msimu huu.

7

Hata hivyo Fabrigas alikuwa akiishi Chelsea kwa mgongo wa Kocha aliyetimuliwa Jose Mourinho kutokana na makosa mengi anayoyafanya akiwa kiwanjani huku mashabiki wakikasilishwa na kukosa kwake magoli

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Sababu Saba Fabregas Kurudi Arsenal Januari Hii appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/sababu-saba-fabregas-kurudi-arsenal-januari-hii/feed/ 0
Uchaguzi Mkuu 2015 na Changamoto kwa Wanawake na Vijana http://www.thehabari.com/uchaguzi-mkuu-2015-na-changamoto-kwa-wanawake-na-vijana/ http://www.thehabari.com/uchaguzi-mkuu-2015-na-changamoto-kwa-wanawake-na-vijana/#comments Tue, 05 Jan 2016 15:35:18 +0000 http://www.thehabari.com/?p=65410 UCHAGUZI Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 uliokuwa na historia ya pekee ...

The post Uchaguzi Mkuu 2015 na Changamoto kwa Wanawake na Vijana appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Pichani juu ni baadhi ya viongozi na wajumbe muhimu katika Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi  ukizungumza na vyombo vya habari kuainisha changamoto wanazokumbana nao wanawake na usawa kwenye siasa.

Pichani juu ni baadhi ya viongozi na wajumbe muhimu katika Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi, ambapo TAMWA ni mjumbe wakizungumza na vyombo vya habari kuainisha changamoto wanazokumbana nazo wanawake na usawa kwenye siasa kwa ujumla.

Kulia ni Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli (sasa ni Rais wa Tanzania) akihutubia katika mikutano yake ya kampeni 2015.

Kulia ni Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli (sasa ni Rais wa Tanzania) akihutubia katika mikutano yake ya kampeni 2015.

UCHAGUZI Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 uliokuwa na historia ya pekee kiushindani umemalizika tangu Oktoba 25, 2015. Kinachofanyika hivi sasa ni Serikali iliyoshinda chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuunda Serikali maeneo mbalimbali ili iweze kuwatumikia wananchi kwa miaka mitano na hasa kutekeleza miongoni mwa ahadi iliyozitoa kwa wapiga kura wake.

Pamoja na hayo, yapo mambo kadhaa ambayo yataendelea kukumbukwa katika mchakato wa uchaguzi huo. Kwanza ni msisimuko mkubwa na mwamko kwa takribani makundi yote ya jamii hasa vijana kushiriki kwenye uchaguzi huo. Kimsingi katika uchaguzi huo vijana walijitokeza kwa wingi kujiandikisha, kupiga kura na pia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kupitia vyama anuai vya siasa vilivyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.

Jambo la pili ni ushindani mkubwa uliokuwepo kati ya upande wa chama tawala na ule wa upinzani uliounganisha nguvu kiushirikiano, uliojipa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ulioungwa mkono na vyama vya CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi na NLD ambavyo vilishirikiana kwa kuunganisha nguvu kwa kusimamisha mgombea mmoja nafasi ya urais.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akihutubia katika moja ya mikutano yake ya kampeni.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akihutubia katika moja ya mikutano yake ya kampeni.

Kwa mujibu wa takwimu za wapiga kura zilizotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva kabla ya uchaguzi; kundi la vijana walio na umri wa kati yaani miaka 18 hadi 35 lilikuwa na idadi kubwa ya wapiga kura. Takwimu zilionesha wapiga kura vijana umri wa kati ya miaka 18 na 35 walikadiriwa kuwa ni asilimia 57 ya wapiga kura wote. Taarifa za NEC zinaonesha wapiga kura waliokuwa na umri wa zaidi ya miaka 50 ni asilimia 18 pekee, huku wengine asilimia 25 wakiwa na umri wa kati ya miaka 36 na 50. Hivyo hapo waweza kubaini namna ambavyo kundi la vijana lilivyoamua kujitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.

Lakini licha ya kundi hilo la vijana kujitokeza kushiriki uchaguzi na wengine kuomba kuchaguliwa changamoto pekee ilikuwa wao kuaminika na kuteuliwa ndani ya vyama vyao kabla ya kupewa nafasi ya kupeperusha bendera ya chama. Idadi kubwa walikwama ndani ya vyama vyao kutokana na urasimu uliokuwepo kwa baadhi ya vyama. Na kwa wale waliofanikiwa kupita walikumbana na kikwazo kingine cha ushindani na ushawishi kwa wapiga kura ili waweze kushinda katika nafasi zote yaani kuanzia udiwani na ubunge kwenye maeneo yao. Mmoja ya vijana waliogombea kwa tiketi ya chama kimoja ambaye hakupenda jina lake litajwe katika makala haya anasema licha ya ushindani kuwa mkubwa na vikwazo vilikuwa ni vingi.

Anasema wapiga kura katika baadhi ya maeneo walizoeshwa na mfumo uliopita (viongozi wasio waadilifu) wa kushawishiwa na chochote ili waweze kukuchangua. Anasema kwa wao ambao walishiriki bila kuwa na ushawishi wa namna hiyo walipata vikwazo vingi ikiwemo mikutano yetu kukosa wasikilizaji maana wanajua huwapi chochote.

Sehemu ya Mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais tiketi ya Chama cha CHADEMA ikiendelea kipindi cha uchaguzi 2015. CHADEMA kilishirikiana na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD kwa baadhi ya nafasi katika uchaguzi huo.

Sehemu ya Mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais tiketi ya Chama cha CHADEMA ikiendelea kipindi cha uchaguzi 2015. CHADEMA kilishirikiana na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD kwa baadhi ya nafasi katika uchaguzi huo.

“…Ilifikia mahali unafanya mkutano wa kampeni baada ya hapo baadhi ya wananchi wanakuuliza tumekusikiliza vya kutosha lakini unatuacha vipi…wanamaanisha uwape chochote (rushwa) kama hauna huwezi kuambulia kitu eneo hilo,” anasema mgombea huyo kijana.

Lakini anaongeza zipo gharama nyingine za usafiri kwa timu ya kampeni kwa baadhi ya vijana na kugharamia vifaa vya mikutano ilikuwa ni kikwazo kingine kwa vijana waliojitokeza. Kama kijana hana lasirimali fedha ilikuwa ni kikwazo kingine cha kufafikia wapiga kura na kueleza sera zako na chama chako. Wakati jambo hilo kwa wanasiasa wakongwe haikuwa tatizo kutokana na wao kuwa na uwezo kiasi kikubwa. Anasema katika vikwazo kama hivyo hauwezi kuuita ushindani sawa kwa makundi yote.

Hata hivyo kilio cha urasimu wa nafasi za vijana kwenye siasa kililikumba pia kundi la wanawake. Na katika kundi hili waweza kusema hali ilikuwa ni mbaya zaidi, maana licha ya mfumo dume kuendelea kuwatafuna ndani ya vyama uwezo wa kifedha katika kugharamia shughuli za siasa toka mchakato wa uteuzi hadi kampeni ilikuwa hali mbaya zaidi.

Magreth Mashenene ni mmoja wa akinamama aliyejitokeza kugombea nafasi ya udiwani Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza huku ikiwa ni mara ya kwanza kujaribu kuingia katika siasa za ushindani. Anasema nia yake ilikuwa kutumia nafasi yake kushawishi uongezwaji wa bajeti katika sekta za afya, maji na miundombinu ya barabara, sekta ambazo ni changamoto kwa watu wanaoishi kata ya Shishani aliyogombea.

Magreth anasema wanawake wa sehemu hiyo ndiyo walikuwa waathirika wakubwa kwa kukosekana huduma za maji, kutunza jamaa na familia wanapougua na pia kwenye uchukuzi wa mazao kutoka mashambani kwenda kwenye masoko.

Baadhi ya mikutano ya kampeni za vyama vya upinzania ikiendelea kipindi cha kampeni 2015. Pichani ni chama cha CHADEMA kilichoshirikiana na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD kwa baadhi ya nafasi katika uchaguzi huo.

Baadhi ya mikutano ya kampeni za vyama vya upinzania ikiendelea kipindi cha kampeni 2015. Pichani ni chama cha CHADEMA kilichoshirikiana na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD kwa baadhi ya nafasi katika uchaguzi huo.

Anasema gharama za kampeni bado ni changamoto kubwa kwa kundi hilo. Anasema kampeni za siasa nchini ni za gharama kubwa na ni changamoto kubwa kwa wagombea wanawake. Kwa sababu hiyo kuna haja ya kuwa na mikakati na mipango mingine ya kuwasaidia kutoka vyanzo mbalimbali ili waweze kukabiliana nazo.

Pamoja na uwepo wa vikwazo hivyo na changamoto nyingine kwa wanawake lakini bado kundi hilo lina idadi kubwa ya wapiga kura ukilinganisha na makundi mengine. Hivyo basi wanawake wana haki ya kujenga hoja ya uhalali wao wa kushiriki katika maendeleo ya Taifa na Serikali ina jukumu kubwa la kusawazisha uwanja wa ushindani na hususani kuweka taratibu kwa wagombea wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, kufikia na kunufaika na rasilimali ya uchaguzi na hata baada ya uchaguzi.

Mfano takwimu zaonesha idadi ya wagombea wa nafasi za ubunge walioteuliwa katika Uchaguzi uliopita nchini nzima walikuwa ni wagombea 1,218, kati ya hao wanaume ni 985 na wanawake ni 233 huku idadi ya wagombea wa udiwani waliteuliwa nchi nzima walikuwa 10,879, kati ya hao wanaume 10,191 na wanawake 679. Kwa picha hiyo bado idadi ya kundi hilo ni dogo huku likiendelea kuathiriwa na vikwazo vilivyopo na changamoto.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia njiani aliposimamishwa na wananchi katika moja ya mikutano yake ya kampeni.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia njiani aliposimamishwa na wananchi katika moja ya mikutano yake ya kampeni.

Ili kukabiliana na urasimu huo na kuhimiza uwepo usawa kwa vyombo vya maamuzi katika makundi yote, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa ufadhili wa UN Women imekuwa ikivitumia vyombo vya habari kupaza sauti kupinga urasimu unaofanywa kwenye siasa dhidi ya makundi ya wanawake na hata yalioko pembezoni kama walemavu. Licha ya harakati hizi kusaidia kupunguza makali ya urasimu bado changamoto ni kubwa.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa kwa kushirikiana na serikali bado vinajukumu la kuangalia namna ya kukabiliana na changamoto wanazokumbana nazo makundi ya vijana na wanawake kwa jumla na kuzitafutia ufumbuzi ili makundi hayo nayo yatoe wawakilishi wa kutosha huku kukiwa na ushindani ulio sawa katika siasa. Pia baadhi ya mila na utamaduni katika jamii zinazombagua mwanamke na kumdharau kijana mwenye nia na ndoto ya kuongoza zipigwe vita.

Elimu ya uraia lazima iendelee ikiilenga zaidi jamii yenye kukumbatia mfumo dume, na hata kama kunauwezekano kuanzishwe mifuko maalumu ya fedha kuwasaidia wagombea wanawake na vijana hasa wale ambao wamejitosa kuingia kwenye siasa kwa mara ya kwanza ili kuwasaidia kumudu ushindani uliopo.
Imeandaliwa na Joachim Mushi wa www.thehabari.com

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Uchaguzi Mkuu 2015 na Changamoto kwa Wanawake na Vijana appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/uchaguzi-mkuu-2015-na-changamoto-kwa-wanawake-na-vijana/feed/ 0
Mtandao wa Wanawake na Katiba Walalamikia Uteuzi Makatibu Wakuu http://www.thehabari.com/mtandao-wa-wanawake-na-katiba-walalamikia-uteuzi-makatibu-wakuu/ http://www.thehabari.com/mtandao-wa-wanawake-na-katiba-walalamikia-uteuzi-makatibu-wakuu/#comments Tue, 05 Jan 2016 09:33:23 +0000 http://www.thehabari.com/?p=65409 SISI Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi kwa uratibu wa TGNP ...

The post Mtandao wa Wanawake na Katiba Walalamikia Uteuzi Makatibu Wakuu appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza kwenye moja ya mikutano ya mtandao huo.

Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza kwenye moja ya mikutano ya mtandao huo.


SISI Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi kwa uratibu wa TGNP Mtandao, tunampongeza Mhe. Dk. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa juhudi zake anazozionesha katika kudhibiti matumizi mabaya ya rasilimali za umma ikiwa ni pamoja na kupunguza ukubwa wa serikali na kusimamia kikamilifu utendaji kazi katika ofisi za umma ili kuongeza ufanisi ikiwamo kuokoa upotevu na ubadhirifu wa pesa za walipa kodi.

Pamoja na kumpongeza Mhe. Rais kwa jitihada za serikali yake za kurejesha utawala bora na serikali yenye safu za viongozi waadilifu, tumeanza kuwa wasiwasi kuhusu dhamira ya kutambua nguvu kubwa za wanawake katika kuwezesha jitihada za awamu hii hasa katika kuleta mabadiliko katika maisha ya Watanzania, wanawake kwa wanaume.

Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi tumekuwa tukifuatilia kwa karibu Uchaguzi na Uteuzi wa viongozi katika nafasi mbalimabli za kimaamuzi serikalini. Hii ni pamoja na uteuzi wa Makatibu Wakuu,Mawaziri na Wakuu wa Idara/Taasisi mbalimbali uliofanywa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika uteuzi huo jumla ya makatibu wakuu na manaibu katibu wakuu walioteuliwa ni 50 idadi
ambayo ni pungufu kidogo ikilinganishwa na mwaka 2014 ambako jumla yao ilikuwa 53; ambapo idadi ya Makatibu Wakuu imeongezeka kutoka 23 mwaka 2014 hadi 29 wakati Manaibu Katibu Wakuu imepungua kutoka 30 mwaka 2014 hadi 21 mwaka huu. Kati ya nafasi zote 50 za walioteuliwa na Mhe. Rais, wanawake ni 10 pekee ambayo ni sawa na asilimia 20.

Tathmini yetu ya jumla ni kuwa, ikilinganishwa na awamu iliyopita, idadi ya Makatibu wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wanawake imepungua kwa kiasi kikubwa. Takwimu za mwaka 2014 zinaonesha kuwa, idadi ya wanawake waliokuwa Makatibu wakuu au Manaibu Katibu Wakuu ilikuwa 20 sawa na asilimia 37.7 huku wanaume wakiwa 33 sawa na asilimia 62.3.

Katika uteuzi uliofanyika mwaka huu, jumla ya wanawake Makatibu Wakuu na Manaibu ni 10 sawa na asililimia 20 tu huku asilimia 80 inayobakia ikishikiliwa na wanaume. Kwa kuzingatia takwimu hizo, ni dhahiri kuwa, idadi ya Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wanawake imepungua kutoka asilimilia 37.7 mwaka 2014 hadi asilimia 20 mwaka 2015. Hii ni tofauti ya asilimia 17.7 ambayo ni kubwa sana na hivyo kuongeza pengo la jinsia katika nafasi za kufanya maamuzi.

Kwa kuangalia nafasi hizo mbili, utagundua kuwa, kwa upande wa Makatibu Wakuu, kati ya 29 walioteuliwa, wanaume ni 26 sawa na asilimia 89.7% huku wanawake wakipungua kutoka 5 (asilimia 21.7) mwaka 2014 hadi 3 (asilimia 10.3) kwa sasa hivyo wanawake katika nafasi hizo wamepungua kwa asilimia 10. Kwa upande wa Manaibu Katibu Wakuu, idadi ya wanawake imepungua kwa kiasi kikubwa pia. Kati ya Manaibu Katibu Wakuu 21 walioteuliwa wanawake ni 7 tu sawa na asilimia 33.3 ikilinganishwa na asilimia 50 mwaka 2014.

Sisi wanaharakati wa masuala ya jinsia tumeshtushwa na uteuzi huo kwani tulitarajia kuwa kwa kuzingatia usawa wa kijinsia uliofanyika katika nafasi za juu za Serilikali (Rais na Makamu wake) teuzi za nafasi za uongozi zingezingatia usawa wa kijinsia kama suala la msingi hasa katika kuhakikisha kuwa wanawake na makundi mengine wanashiriki kikamilifu katika kufanya maamuzi.

Tanzania kupitia (Tanzania Development Vision 2025) ukurasa wa 16) imetambua kuwa mojawapo ya vichocheo vya ukuaji wa uchumi ni pamoja na jamii yenye muono wa kimaendelea ambapo pamoja na mengine unakuwa na tamaduni wezeshi hususani kwa wanawake na makundi mengine. Sambamba na hilo Mpango wa Miaka mitano wa Maendeleo wa nchi yetu (Tanzania FYDP 2011/12 hadi 2015/16- 2.3.5) unatambua kutokuwepo kwa usawa wa jinsia ni moja ya vikwazo vya maendeleo ya kiuchumi, siasa na kijamii licha ya kwamba wanawake wanaunda zaidi ya asilimia 50 ya idadi yote ya watu nchini. Vile vile MKUKUTA II kupitia kipengele cha 2 imeweka lengo la kuhakikisha haki za binadamu na za makundi maalum kama wanawake, wanaume masikini na watoto zinaendelezwa na zinalindwa. Hii inahusisha haki ya kushiriki katika nafasi mbalimbali za uongozi.

Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020, ambayo serikali iliyoko madarakani inaitekeleza katika aya ya 167 (a), kuhusu wanawake, kimeweka lengo la kuendelea kuweka utaratibu wa kikatiba na kisheria utakaowawezesha wanawake kushika nafasi sawa (50/50) za uongozi katika vyombo vya maamuzi katika ngazi zote. Tunasisitiza kueheshimiwa na kutekelezwa kwa vitendo kwa malengo hayo ili wanawake wapate fursa sawa za kutoa maamuzi juu ya masuala muhimu ya taifa letu. Tunaitaka serikali kutekeleza ahadi zake za kuzingatia usawa wa Kijinsia kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya chama chake.

Tunatoa rai kwa Mhe. Rais na viongozi wote kusimamia kikamilifu utekelezwaji wa mikataba mbalimbali iliyosainiwa na Tanzania hususani ile inayohusu usawa wa kijinsia ili kupunguza pengo lililopo kuelekea usawa wa 50/50 katika nafasi za uongozi. Mikataba hiyo ni pamoja na Mpango Kazi wa Beiging (1995), Mkataba wa Maputo, Mkataba wa Nyongeza wa Jinsia na Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Gender Protocol) na Tamko la Umoja wa Mataifa la Haki za Binaadamu (1948). Mikataba hii mingi husisitiza mataifa husika kuhakikisha uwepo wa asilimia 50 (au 30 kama kiwango cha chini) kwa wanawake katika nafasi za uongozi na maamuzi.

Ni matarajio yetu kuwa nafasi za uteuzi zilizobaki zitafanyika kwa kuzingatia hayo. Nafasi hizo ni pamoja na uteuzi wa Wabunge (ambao walishaanza kuteuliwa), Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Wakuu wa taasisi na mashirika ya umma kadhalika uteuzi wa wajumbe wa Bodi na Tume mbalimbali katika mashirika na taasisi hizo. Ni muhimu teuzi zote katika mihimili mikuu mitatu ya Bunge, Mahakama na Serikali zizingatie usawa wa jinsia.

Mwisho kama Mtandao wa Mashirika yanayotetea haki za wanawake tutazidi kuendelea kufuatilia, kukumbusha na kushirikiana na serikali ya awamu ya tano katika kuleta maendeleo ya Taifa letu yanayozingatia haki za binadamu na usawa wa jinsia.
Imetolewa na:
Lilian Liundi
Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao
Kny: Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi.
Januari 5, 2016

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Mtandao wa Wanawake na Katiba Walalamikia Uteuzi Makatibu Wakuu appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/mtandao-wa-wanawake-na-katiba-walalamikia-uteuzi-makatibu-wakuu/feed/ 0
Usikubali Kutapeliwa, Nauli za Mabasi Kiganjani Mwako…! http://www.thehabari.com/usikubali-kutapeliwa-nauli-za-mabasi-kiganjani-mwako/ http://www.thehabari.com/usikubali-kutapeliwa-nauli-za-mabasi-kiganjani-mwako/#comments Wed, 23 Dec 2015 05:48:45 +0000 http://www.thehabari.com/?p=65037 Jiunge nasi kwenye social media Facebook Instagram Youtube Twitter

The post Usikubali Kutapeliwa, Nauli za Mabasi Kiganjani Mwako…! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Sasa unaweza kujua nauli za mabasi kwenda popote nchini Tanzania, usikubali kutapeliwa.

Sasa unaweza kujua nauli za mabasi kwenda popote nchini Tanzania, usikubali kutapeliwa.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Usikubali Kutapeliwa, Nauli za Mabasi Kiganjani Mwako…! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/usikubali-kutapeliwa-nauli-za-mabasi-kiganjani-mwako/feed/ 0
Philips Launches New Range of Patient Monitors in Tanzania http://www.thehabari.com/philips-launches-new-range-of-patient-monitors-in-tanzania/ http://www.thehabari.com/philips-launches-new-range-of-patient-monitors-in-tanzania/#comments Fri, 18 Dec 2015 16:02:48 +0000 http://www.thehabari.com/?p=64901 ON Tuesday December 15, 2015 Philips launched new range of patient monitors in ...

The post Philips Launches New Range of Patient Monitors in Tanzania appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
ON Tuesday December 15, 2015 Philips launched new range of patient monitors in Tanzania designed to provide access to high quality care at affordable costs. Efficia suite of solutions, including patient monitors and defibrillator/monitors, allow clinicians to provide diagnosis, monitoring and therapy, even in remote areas

Dar es Salaam, Tanzania – Royal Philips (NYSE: PHG AEX: PHIA) has announced the launch of its Efficia CM Series patient monitors in Tanzania – these cost effective products are designed to provide clinicians with access to high-quality of care, even in resource-limited facilities. These solutions highlight Philips’ commitment to enhance access and enable quality care across the health continuum – from healthy living and prevention, to diagnosis, treatment, recovery and home care, including in remote areas.

“As we innovate to improve health care, monetary constraints should not be a reason for limiting access to the best care available for improving a patient’s health,” said Roelof Assies, General Manager, Philips East Africa. “The Efficia suite is designed to bring trusted and effective Philips technology and performance at an affordable price to the health care facilities where resource limitations have prevented this access before.”

Making quality care affordable
Effective patient monitoring can help improve diagnosis and provide earlier intervention, which is not only critical for improving patient outcomes, but can also help hospitals improve operational efficiencies.

Efficia 1

 

 

 

 

 

 

 

The Efficia CM Series patient monitors provide the same core physiological measurements and algorithms that are present in other Philips patient monitors, but are designed to be more cost-effective and scalable to the needs of budget-constrained health care facilities.

The series, including Efficia CM100, Efficia CM120 and Efficia CM150, are solidly built and reliable, able to handle heavy workloads and electrostatic interference, and can be customized for a variety of patient types, acuity levels and clinical settings, and include an intuitive user-interface to ease the burden on busy clinician workflow.

The Efficia CM patient monitors can be connected to Efficia CMS200 central monitoring system, which provides centralized monitoring and real-time access to patient physiological data and displays waveforms, parameters and alarms for up to 32 patients.

Efficia DFM100 – Providing therapeutic care where it is needed most

efficia 2

To deliver quality care, clinicians need to make quick, informed decisions when responding to an emergency and caring for a patient across the entire course of treatment. The Efficia DFM100 defibrillator/monitor is designed to be easy to use for both basic and advanced life support care providers to meet the demands of patient care in pre-hospital and hospital environments effectively and consistently. The Efficia DFM100 provides functionalities needed to enhance patient care, regardless of where they are located. It is also scalable to ensure affordability across all care settings.

“Clinicians are constantly under pressure to meet clinical demands on a tight budget,” said Dr. Juma A. Mfinanga, Head of Emergency Department at Muhimbili National Hospital. “The Efficia solutions work with the clinicians and the hospital; they are affordable and intuitive, allowing limited staff to focus on care first.”

For further information, please contact:
Radhika Choksey
Philips Group Communications – Africa
Tel: +31 62525 9000
E-mail: radhika.choksey@philips.com

About Royal Philips:
Royal Philips (NYSE: PHG, AEX: PHIA) is a diversified health and well-being company, focused on improving people’s lives through meaningful innovation in the areas of Healthcare, Consumer Lifestyle and Lighting. Headquartered in the Netherlands, Philips posted 2014 sales of EUR 21.4 billion and employs approximately 106,000 employees with sales and services in more than 100 countries. The company is a leader in cardiac care, acute care and home healthcare, energy efficient lighting solutions and new lighting applications, as well as male shaving and grooming and oral healthcare. News from Philips is located at www.philips.com/newscenter.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Philips Launches New Range of Patient Monitors in Tanzania appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/philips-launches-new-range-of-patient-monitors-in-tanzania/feed/ 0
ACT-Wazalendo Yaingilia Mgogoro wa Burudi, Yakerwa na Mauaji http://www.thehabari.com/act-wazalendo-yaingilia-mgogoro-wa-burudi-yakerwa-na-mauaji/ http://www.thehabari.com/act-wazalendo-yaingilia-mgogoro-wa-burudi-yakerwa-na-mauaji/#comments Wed, 16 Dec 2015 15:02:52 +0000 http://www.thehabari.com/?p=64720 CHAMA cha ACT-Wazalendo kinasikitishwa sana na mauaji yanayoendelea nchini Burundi na hasa ...

The post ACT-Wazalendo Yaingilia Mgogoro wa Burudi, Yakerwa na Mauaji appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
ACT-Wazalendo

ACT-Wazalendo


CHAMA cha ACT-Wazalendo kinasikitishwa sana na mauaji yanayoendelea nchini Burundi na hasa Mji Mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Hali hii ya mauaji imesababishwa kwa kiasi kikubwa na uamuzi wa Rais wa sasa wa nchi hiyo Ndugu Piere Nkurunzinza kuendelea kugombea na hatimaye kuchaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo katika mazingira yanayodaiwa kuvunja demokrasia na utawala bora. Tangu machafuko hayo ya nchini Burundi yaanze zaidi ya watu 100 wamesha uawa kufikia wiki hii na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Aidha, wimbi la wakimbizikutoka Burundi linarudi kwa kasi na wengi wao wakikimbilia nchini Tanzania.
Bahati mbaya sana mpaka sasa Jumuiya ya Kimataifa na hasa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Burundi ni mwanachama, haikuchukua hatua za maana za kuzuia kuchafuka kwa utawala wa kidemokrasia na utawala wa sheria nchini Burundi, na wala haichukui hatua stahiki kuzuia mauaji yanayoendelea.
Hii ni kinyume kabisa na Mkataba unaounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao unatoakipaumbele cha juu kulinda uhai na haki za raia katika Jumuiya hizo
Kutokana na hali ya kisiasa na usalama nchini Burundi, na kwa kuzingatia nafasi ya kihistoria ya Tanzania katika kutafuta na kufanikisha Mkataba wa Amani nchini Burundi, na kwa kuzingatia nafasi yake katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika, sis ACT-Wazalendo tunaitaka serikali ya Tanzania, kwa hali kubwa ya dharura, ichukue hatua zifuatazo:
1. Iitake serikali ya Jamhuri ya Burundi kukomesha mara moja mauaji yanayoendelea nchini humo na kuwahakikishia raia wa nchi hiyo usalama
2.Tanzania Iitake serikali ya Jamhuri ya Burundi kuitisha mkutano wa wadau wote wa siasa na utawala nchini humo ili kujadili mustakabali wa nchi hiyo kisiasa na kijamii, ikiwemouwezekanowakuundaserikaliyaUmojawaKitaifaitakayosimamiaKatibaya Burundi kuelekeauchaguziwakidemokrasia
3.TanzaniaItumienafasiyakekatikaJumuiyayaAfrikaMasharikikuitakaJumuiyahiyokuzuiamachafukonchini Burundi nakuhakikishakwambautawalawademokrasianautawalawasheriaunazingatiwanchinihumo

4.Chama cha ACT-WazalendokinasisitizakuwaJumuiyayaAfrikaMasharikiitakosauhaliwakuendeleakuwepokwakekamaitaendeleakuwaJumuiyayaviongoziwanchizinazoundaJumuiyahiyohukuikishindwakusimamiahakizakuishinahakizakiraiazawananchiwaAfrikaMashariki.

Imetolewa leo jumatano 16 Disemba 2015
Na Venance Msebo
KatibuwaKamatiya Mambo ya Nje
ACT-Wazalendo

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post ACT-Wazalendo Yaingilia Mgogoro wa Burudi, Yakerwa na Mauaji appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/act-wazalendo-yaingilia-mgogoro-wa-burudi-yakerwa-na-mauaji/feed/ 0
Hii Ndio Picha Rasmi ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa http://www.thehabari.com/picha-rasmi-ya-waziri-mkuu-wa-tanzania-kassim-majaliwa/ http://www.thehabari.com/picha-rasmi-ya-waziri-mkuu-wa-tanzania-kassim-majaliwa/#comments Mon, 14 Dec 2015 14:08:23 +0000 http://www.thehabari.com/?p=64625 Jiunge nasi kwenye social media Facebook Instagram Youtube Twitter

The post Hii Ndio Picha Rasmi ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Hii Ndio Picha Rasmi ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/picha-rasmi-ya-waziri-mkuu-wa-tanzania-kassim-majaliwa/feed/ 0
Proin Promotions Yaingiza Nne Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 http://www.thehabari.com/africa-magic-viewers-choice-awards-2016/ http://www.thehabari.com/africa-magic-viewers-choice-awards-2016/#comments Mon, 14 Dec 2015 13:52:45 +0000 http://www.thehabari.com/?p=64622 Proin Promotions Ltd imefanikiwa kuingiza filamu zake nne katika Shindano la Africa ...

The post Proin Promotions Yaingiza Nne Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Proin Promotions Ltd imefanikiwa kuingiza filamu zake nne katika Shindano la Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 (AMVCA 2016) katika vipengele viwili huku Filamu zote nne zikiingia katika Kipengele Kimoja cha BEST MOVIE – EAST AFRICA filamu zilizoingia katika kipengele hiko ni  MAPENZI YA MUNGU, KITENDAWALI, MPANGO MBAYA, DADDY’S WEDDING huku filamu ya KITENDAWILI ikiingia katika Kipengele kingine cha BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – SWAHILI.

Filamu zote nne zimeingia katika kipengele kimoja zikichuana zenyewe huku mbili zikitokea nchini nyingine.
 Tunawaomba watanzania kuweza kuzipigia kura filamu hizi ili kuweza kuibuka mshindi. Jinsi ya Kupiga kura fuata tovuti hii www.africamagic.tv

Washindi wa shindano hii wanatarajiwa kutangazwa Mwakani 2016 mwezi wa 3.
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Proin Promotions Yaingiza Nne Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/africa-magic-viewers-choice-awards-2016/feed/ 0
Droo ya Pili ya Promosheni ‘Jaza Mafuta na Ushinde’ Yachezwa http://www.thehabari.com/droo-ya-pili-ya-promosheni-jaza-mafuta-na-ushinde-yachezwa/ http://www.thehabari.com/droo-ya-pili-ya-promosheni-jaza-mafuta-na-ushinde-yachezwa/#comments Fri, 11 Dec 2015 03:25:01 +0000 http://www.thehabari.com/?p=64503 Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya Mafuta ya ...

The post Droo ya Pili ya Promosheni ‘Jaza Mafuta na Ushinde’ Yachezwa appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni
ya Mafuta ya GAPCO, Rashid Khalfan (kulia) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya pili ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde” inayoendeshwa na Kampuni hiyo na kusimamiwa na Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy (kushoto). katikati ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Droo ya Pili ya Promosheni ‘Jaza Mafuta na Ushinde’ Yachezwa appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/droo-ya-pili-ya-promosheni-jaza-mafuta-na-ushinde-yachezwa/feed/ 0