Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania » Matukio Katika Picha http://www.thehabari.com Habari Tanzania | Online Newspaper Sun, 07 Feb 2016 11:09:33 +0000 en-US hourly 1 http://wordpress.org/?v=4.2.7 Breaking News: Gari la mafuta Lapinduka Kisha Kuteketea kwa moto http://www.thehabari.com/gari-la-mafuta-likiendelea-kuteketea-kwa-moto/ http://www.thehabari.com/gari-la-mafuta-likiendelea-kuteketea-kwa-moto/#comments Sun, 07 Feb 2016 05:56:21 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66994 Ripoti kutoka Dodoma leo asubuhi ni hii ya ajali ya gari la ...

The post Breaking News: Gari la mafuta Lapinduka Kisha Kuteketea kwa moto appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
a

Ripoti kutoka Dodoma leo asubuhi ni hii ya ajali ya gari la mafuta lililodondoka na kulipuka katika eneo la Kibaigwa, hadi sasa hakuna taarifa kamili ya ajali hii. Endelea kukaa karibu na nasi ili zikinifikia nikusogezee kwa wakati. Picha na Mllardayo.com

b

c

e

g

h

i

j

k

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Breaking News: Gari la mafuta Lapinduka Kisha Kuteketea kwa moto appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/gari-la-mafuta-likiendelea-kuteketea-kwa-moto/feed/ 0
Rais Magufuli Azindua Rasmi Siku ya Kisheria Jijini Dar Es Salaam http://www.thehabari.com/rais-magufuli-azindua-rasmi-siku-ya-kisheria-jijini-dar-es-salaam/ http://www.thehabari.com/rais-magufuli-azindua-rasmi-siku-ya-kisheria-jijini-dar-es-salaam/#comments Fri, 05 Feb 2016 08:37:58 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66932 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ...

The post Rais Magufuli Azindua Rasmi Siku ya Kisheria Jijini Dar Es Salaam appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
27

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam jana February 4, 2016

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila alipowasili katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa meza kuu na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na Jaji Mkuu wa Kenya Dkt Willy Mutungwa wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam jana February 4, 2016

4

Wadau wa Sheria wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam jana February 4, 2016

8

Majaji katika sherehe hizo za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam

14

Wadau wa Sheria wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam

16

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa akisikiliza jambo tomakwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam

18

Viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na wadau wa Sheria wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam

19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea risala kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Mhe. Biswalo Mganga aliyeisoma risala kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju ambaye yuko Bungeni Dodoma

26

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake kwenye sherehe hizo

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Rais Magufuli Azindua Rasmi Siku ya Kisheria Jijini Dar Es Salaam appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/rais-magufuli-azindua-rasmi-siku-ya-kisheria-jijini-dar-es-salaam/feed/ 1
Mwenyekiti wa Chama Cha CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Mkoani Singida http://www.thehabari.com/mwenyekiti-wa-chama-cha-ccm-rais-mstaafu-jakaya-kikwete-atua-mkoani-singida/ http://www.thehabari.com/mwenyekiti-wa-chama-cha-ccm-rais-mstaafu-jakaya-kikwete-atua-mkoani-singida/#comments Fri, 05 Feb 2016 07:30:35 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66914 Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa ...

The post Mwenyekiti wa Chama Cha CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Mkoani Singida appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
1

Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili mjini Singida jana jioni, kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika kesho mjini Singida.

3

Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete salimiana na wananchi alipowasili mjini Singida jioni jana, kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika kesho mjini Singida.

4

5

6

Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi alipowasili mjini Singida jana jioni, kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika kesho mjini Singida.

7

Kikwete akiwapungia mkono wananchi

8

Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.

9

Kikwete akiwa na Nape, Kone na Kinana baada ya kuwasili

10

Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi.

Picha na princemediatz.blogspot.com

Picha na princemediatz.blogspot.com

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana akijadiliana jambo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya kumlaki Mwenyekiti wa chama hicho, Jakaya Kikwete mjini Singida.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Mwenyekiti wa Chama Cha CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Mkoani Singida appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/mwenyekiti-wa-chama-cha-ccm-rais-mstaafu-jakaya-kikwete-atua-mkoani-singida/feed/ 0
Kwa Mwendo Huu wa Barcelona Wengi Watalia Mwaka Huu http://www.thehabari.com/kwa-mwendo-huu-wa-barcelona-wengi-watalia-mwaka-huu/ http://www.thehabari.com/kwa-mwendo-huu-wa-barcelona-wengi-watalia-mwaka-huu/#comments Thu, 04 Feb 2016 08:15:44 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66902 Klabu ya Valencia chini ya nyota wa zamani wa Manchester United Gary ...

The post Kwa Mwendo Huu wa Barcelona Wengi Watalia Mwaka Huu appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Messi-Suarez-2

Klabu ya Valencia chini ya nyota wa zamani wa Manchester United Gary Neville ilipokezwa kichapo cha mwaka na klabu ya Barcelona katika nusufainali ya michuano ya Copa del Rey baada ya kubebeshwa magoli saba.

Mechi hiyo ya mkondo wa kwanza ilichezewa uwanjani Nou Camp.Luis Suarez alifunga mabao manne, huku nyota wa Argentina Lionel Messi naye akijizolea magoli matatu.

Messi-Suarez-3

Neymar alishindwa kufunga penalti. Valencia walidhofishwa zaidi na hatua ya beki Shkodran Mustafi kumchezea visivyo Messi kipindi cha kwanza, kosa lililomfanya kufukuzwa uwanjani.

Messi-Suarez-5

Neville hajashinda mechi hata moja ligini kati ya nane alizosimamia tangu kuchukua usukani Desemba.

Neville alikuwa amerejea uwanja ambao enzi yake ya uchezaji alipanda ushindi mkubwa na muhimu sana.

Messi-Suarez

Akiwa na umri wa miaka 24, alikuwa kwenye timu ya United iliyoshinda Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kujikwamua dhidi ya Bayern Munich fainali ya 1999 uwanjani Nou Camp.

Akizungumza baada ya mechi hiyo dhidi ya Barca, Neville alisema siku hiyo ni moja ya siku zenye machungu zaidi katika maisha yake katika ulimwengu wa soka.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Kwa Mwendo Huu wa Barcelona Wengi Watalia Mwaka Huu appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/kwa-mwendo-huu-wa-barcelona-wengi-watalia-mwaka-huu/feed/ 0
Waajiriwa Waomba Serikali Kudhibiti Rushwa Maofisini http://www.thehabari.com/waajiriwa-waomba-serikali-kudhibiti-rushwa-maofisini/ http://www.thehabari.com/waajiriwa-waomba-serikali-kudhibiti-rushwa-maofisini/#comments Thu, 04 Feb 2016 07:59:10 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66894 Na Woinde Shizza,Arusha Chama cha Waajiri nchini kimelalamikia vitendo vya rushwa kuwa ...

The post Waajiriwa Waomba Serikali Kudhibiti Rushwa Maofisini appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Mkurugenzi wa chama cha waajiri Tanzania (ATE) Agrey Mlimka  akiwa anafafanua jambo katika mkutano wa siku moja wa kujadili changamoto mbalimbali zinazo wakabili waajiri mkutano uliowashirikisha  waajiri kutoka katika sekta mbalimbali uliofanyika ndani ya hotel ya Kibo palace jijini Arusha leo

Mkurugenzi wa chama cha waajiri Tanzania (ATE) Agrey Mlimka akiwa anafafanua jambo katika mkutano wa siku moja wa kujadili changamoto mbalimbali zinazo wakabili waajiri mkutano uliowashirikisha waajiri kutoka katika sekta mbalimbali uliofanyika ndani ya hotel ya Kibo palace jijini Arusha leo

Na Woinde Shizza,Arusha

Chama cha Waajiri nchini kimelalamikia vitendo vya rushwa kuwa vikwazo katika biashara hivyo wameiomba serikali kukemea vitendo vya rushwa pamoja na urasimu ili kuboresha mazingira mazuri ya biashara za kitaifa na kimataifa.

2

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Waajiri (ATE), Aggrey Mlimuka akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Waajiri amesema kuwa serikali inapaswa kujenga mazingira bora kwa waajiri wanaotoa nafasi za ajira ili kujenga uchumi endelevu wa nchi

3

Mkurugenzi huyo ameiomba serikali iondoe vikwazo kwa waajiri wanaoajiri wataalamu kutoka nje kutokana na kukosekana kwa wataalamu hao nchini pamoja na kupunguza tozo kubwa za mafunzo ya wafanyakazi ambayo ni asilimia 5%.

4

Kwa upande wake Afisa Mwajiri wa Kampuni ya Utalii amesema kuwa kwa muda mrefu wamekua wakipata adha kubwa wakati wa kuajiri watu kutoka nje ya nchi suala ambalo serikali inatambua kuwa baadhi ya taaluma hazipatikani nchini hivyo kulazimika kuchukua wataalamu kutoka nje.

Baadhi ya Wanachama wa chama cha waajiri pamoja na wasio wanachama wakiwa wanajadili  kwa makini changamoto ambazo zinawakabili waajiri na jinsi ya kuzitatua.

Baadhi ya Wanachama wa chama cha waajiri pamoja na wasio wanachama wakiwa wanajadili kwa makini changamoto ambazo zinawakabili waajiri na jinsi ya kuzitatua.

5

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Waajiriwa Waomba Serikali Kudhibiti Rushwa Maofisini appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/waajiriwa-waomba-serikali-kudhibiti-rushwa-maofisini/feed/ 0
Madiwani Halmashauri ya Arusha DC Wilaya ya Arumeru Wapitisha Taarifa Halmashauri Hiyo http://www.thehabari.com/madiwani-halmashauri-ya-arusha-dc-wilaya-ya-arumeru-wapitisha-taarifa-halmashauri-hiyo/ http://www.thehabari.com/madiwani-halmashauri-ya-arusha-dc-wilaya-ya-arumeru-wapitisha-taarifa-halmashauri-hiyo/#comments Wed, 03 Feb 2016 19:53:32 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66871 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha DC wilaya ya Arumeru mkoa wa ...

The post Madiwani Halmashauri ya Arusha DC Wilaya ya Arumeru Wapitisha Taarifa Halmashauri Hiyo appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
1

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha DC wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha,Fidelis Lumato akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani,kulia ni Mwenyekiti wa halmashauri,Noah Sapuk

2

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Arusha DC,Noah Sapuk akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani

3

Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya Arusha DC wakifatilia mijadala kwenye kikao hicho

4

Baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo wakiwa kwenye kikao kujibu hoja mbalimbali kutoka kwa madiwan

5

Baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo wakiwa kwenye kikao kujibu hoja mbalimbali kutoka kwa madiwani

6

Diwani wa Viti Maalumu katika halmashauri ya Arusha DC,Nuru Ndossy akichangia hoja

7

Diwani wa Kata ya Mateves ,Julius Mollel akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani.

9

8

Picha na rweyemamuinfo.blogspot.com

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Madiwani Halmashauri ya Arusha DC Wilaya ya Arumeru Wapitisha Taarifa Halmashauri Hiyo appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/madiwani-halmashauri-ya-arusha-dc-wilaya-ya-arumeru-wapitisha-taarifa-halmashauri-hiyo/feed/ 0
Maadhimisho ya Miaka 39 ya Kuzaliwa kwa CCM Singida http://www.thehabari.com/maadhimisho-ya-miaka-39-ya-kuzaliwa-kwa-ccm-singida/ http://www.thehabari.com/maadhimisho-ya-miaka-39-ya-kuzaliwa-kwa-ccm-singida/#comments Wed, 03 Feb 2016 19:53:01 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66879      Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri ...

The post Maadhimisho ya Miaka 39 ya Kuzaliwa kwa CCM Singida appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kwa shughuli za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Singida.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kwa shughuli za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Singida.

 

 

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akilakiwa na wakina mama makada wa CCM waliojitokeza kuwapokea yeye pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akilakiwa na wakina mama makada wa CCM waliojitokeza kuwapokea yeye pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambao wamewasili mkoani Singida tayari kwa maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani humo.

 Wakina mama wa CCM Singida mjini wakishangilia bila kujali mvua wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza  na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida
tayari kwa shughuli za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Singida.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Maadhimisho ya Miaka 39 ya Kuzaliwa kwa CCM Singida appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/maadhimisho-ya-miaka-39-ya-kuzaliwa-kwa-ccm-singida/feed/ 0
Sheikh Issa Ponda Apinga Kurudiwa Uchaguzi Zanzibar http://www.thehabari.com/sheikh-issa-ponda-apinga-kurudiwa-uchaguzi-zanzibar/ http://www.thehabari.com/sheikh-issa-ponda-apinga-kurudiwa-uchaguzi-zanzibar/#comments Wed, 03 Feb 2016 19:33:50 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66878  Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda (kushoto), ...

The post Sheikh Issa Ponda Apinga Kurudiwa Uchaguzi Zanzibar appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
 Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa ya kupinga kurudiwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa ya kupinga kurudiwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar.

 Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa ya kupinga kurudiwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar.

 

 Msemaji wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Rajab Katimba akitoa ufafanuzi zaidi kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi huo Zanzibar.
 Sheikh Ponda akisalimiana na mwanahabari Said Powa wa gazeti la Tanzania Daima baada ya kumaliza kuzungumza na wanahabari.
Sheikh Ponda akiondoka baada ya kuzungumza na wanahabari.
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Sheikh Issa Ponda Apinga Kurudiwa Uchaguzi Zanzibar appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/sheikh-issa-ponda-apinga-kurudiwa-uchaguzi-zanzibar/feed/ 0
TCRA na Semina ya Kuzitambua Simu Feki Zanzibar…! http://www.thehabari.com/tcra-na-semina-ya-kuzitambua-simu-feki-zanzibar/ http://www.thehabari.com/tcra-na-semina-ya-kuzitambua-simu-feki-zanzibar/#comments Wed, 03 Feb 2016 18:15:07 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66850 Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Innocent Mungy, akizungumza na ...

The post TCRA na Semina ya Kuzitambua Simu Feki Zanzibar…! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Thadayo Ringo akionesha mfano wa simu orijino kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.

Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Thadayo Ringo akionesha mfano wa simu orijino kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Innocent Mungy, akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar kuhusiana na kutambua Simu Feki na kudhibiti uingiaji wa Simu hizo Tanzania na kueleza mwisho wa matumizi wa simu hizo Nchini Tanzania ni Juni 2016. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilima Zanzibar na kuwashirikisha waandishi wa Vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar. 
Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano  TCRA Thadayo Ringo, akizungumza na waandishi wa habari jinsi ya kutambua Simu feki wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar, Amesema utambuzi wa kujua simu yako kama ni orijinali  unaweza kupiga namba kuaza na Nyota Reli 06 Reli . *# 06#  na utapata ujumbe wa Simu yako kwa Mfano zitakuja tarakimu 15  mfano   IMEI 12456789067654  Na Kupiga 15090 Ujumbe wa kukuelewesha kama ni simu yako orijino. kwa mfano kama huu Sony Mobile Communications AB -SONY  C5555 – Xperia. huu ni mfano wa kujua simu orijino.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo wa TCRA uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo wa TCRA uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Waandishi wakifuatilia mafunzo hayo kwa vitendo kuangalia somu zao kama ni orijino baada ya kupata elimu hiyo ya kujua simu feki na orijino wakati wa mkutano huo na Maofisa wa TCRA uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya zanzibar ocean view kilimani zanzibar. kwa kuingiza namba waliopewa.
Meneja wa Mawasiliano wa Mamlaka ya TCRA Innocent Mungy, akitowa maelezo kwa waandishi wa habari baada ya kuangalia simu zao baada ya kuingiza namba hizo na kugunduwa kuwa ziko salama na siyo feki. kwa bahati nzuri takribani waandishi wote simu zao orijino.
Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji Huduma za Maweasiliano Thadayo Ringo akimsomea ujumbe mmoja wa waandishi wa habari aliyehudhuria mkutano huo baada ya kuweka namba hizo na kuja ujumbe wa suimu siyo feki.
Mdau wa habari Farouk Karim akiuliza swali wakati wa mkutano huo kuhusiana na uingiaji wa simu za kutoka ulaya nyingi huwa na lock wakati wa mkutano huo.
Mwandishi Amour Mussa akiuliza kuhusu TCRA inachukua hatua gani endapo simu ikiibiwa.
Ndg Issa Yussuf akuliza jinsi ya utaratibu wa kuwafikia Wananchi wa Vijiji na zoezi hilo la ungunduzi wa simu feki na kuweza kuepuka na hasara hii, wakati ikifika tarehe hiyo ya mwisho wa matumizi ya simu hizo feki. 
Naibu Mkurugenzi Thadayo Ringo akifafanua na kujibu maswali yalioulizwa wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari Zanzibar kuhusiana na matumizi ya Simu feki kufikia mwisho wake wa matumizi Tanzania.
Meneja Mawasiliano TCRA  Innocent Mungy  akifafanua jambo wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari Zanzibar kuhusiana na kusitishwa kwa matumizi ya simu feki ifikapo mwezi juni 2016. 
Kaimu Meneja Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Zanzibar TCRA Ndg Seif  S Waziri akizungumza wakati wa mkutano huo na kutowa neno la shukrani kwa waandishi wa habari kuhudhuria mkutano huo wa kutowa elimu ya simu feki kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar   

Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mkutano huo wa mafunzo ya kutambua simu feki na Orijino uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Imetayarishwa na Othman Mapara.Blogspot.
Zanzinews.com. 
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post TCRA na Semina ya Kuzitambua Simu Feki Zanzibar…! appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/tcra-na-semina-ya-kuzitambua-simu-feki-zanzibar/feed/ 0
Guinea Yatupwa Nje CHAN,DR Congo Yatinga Fainali http://www.thehabari.com/guinea-yatupwa-nje-chandr-congo-yatinga-fainali/ http://www.thehabari.com/guinea-yatupwa-nje-chandr-congo-yatinga-fainali/#comments Wed, 03 Feb 2016 18:12:57 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66851 Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imefuzu kwa fainali ya mchuano wa CHAN. ...

The post Guinea Yatupwa Nje CHAN,DR Congo Yatinga Fainali appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
2

Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imefuzu kwa fainali ya mchuano wa CHAN. Jamhuri ya Demokrasia ya Congo ilijikatia tikiti ya fainali baada ya kuilaza Guinea mabao 5-4 kwa mikwaju ya penalti.

Mechi hiyo ilikuwa imeishia sare ya moja kwa moja katika muda waziada baada ya Ibrahim Sankhon kuisawazishia Guinea kunako dakika ya mwisho ya kipindi cha pili cha muda wa ziada.

2b

Lakini dalili za kufuzu zilionekana mapema,Ibrahim Bangoura alipokosa penalti ya kwanza ya Guinea. Kimwaki,Mika,Jonathan Bolingi,Gikanji,Mechak Elia walifungia Leopards ya DRC huku

Ibrahim Sankhon,Leo Camara,Kile Bangoura,Daouda Camara wakiifungia Guinea. Hata hivyo Kipa nambari moja wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Vumi Ley Matampi aliokoa mkwaju wa penalti uliopigwa na Youla na kuipa DRC ushindi wa mabao 5-4 Guinea

3

Timu hizo zilitoshana nguvu muda wa kawaida na mechi ikaingia muda wa ziada uwanjani Amahoro, Rwanda. Ni katika muda wa ziada ambapo Jonathan Bolingi Mpangi kunako dakika ya 101 alifanikiwa kutikisa wavu wa Guinea.

Mapema kwenye mechi, mchezaji wa DR Congo Padou Bompunga alipewa kadi ya njano dakika ya 38. Hili lina maana kwamba hataweza kucheza fainali iwapo timu yake itafuzu.

4

Kipa wa DR Congo Ley Matampi pia alipewa kadi ya njano, kosa lake likiwa kunawa mpira nje ya eneo lake.

Rais wa Rwanda Paul Kagame ni miongoni mwa wageni mashuhuri waliohudhuria mechi hiyo. DRC sasa watasubiri hadi kesho kujua mpinzani wao kati ya Mali na Cote de Voire.

Mechi hiyo ya nusu fainali ya pili imeratibiwa kusakatwa katika uwanja wa taifa wa Kigali kuanzia saa kumi jioni saa za Afrika ya kati.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Guinea Yatupwa Nje CHAN,DR Congo Yatinga Fainali appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/guinea-yatupwa-nje-chandr-congo-yatinga-fainali/feed/ 0
Mnyama Simba Aunguruma Taifa, Yanga Yapigishwa Kwata Mbeya http://www.thehabari.com/mnyama-simba-aunguruma-taifa-yanga-yapigishwa-kwata-mbeya/ http://www.thehabari.com/mnyama-simba-aunguruma-taifa-yanga-yapigishwa-kwata-mbeya/#comments Wed, 03 Feb 2016 18:06:03 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66843 Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo February 3 kwa michezo ...

The post Mnyama Simba Aunguruma Taifa, Yanga Yapigishwa Kwata Mbeya appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
kiiza 1

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo February 3 kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja tofauti tofauti Tanzania, klabu ya Dar Es Salaam Young Africans ilikuwa mgeni wa klabu ya Tanzania Prisons uwanja wa Sokoine Mbeya, wakati watani zao wa jadi Simba walikuwa wenyeji wa Mgambo JKT uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

kiiza bao tena 2016

Simba ambao kwa sasa wapo na kocha wao msaidizi Jackson Mayanja bila kuwa na kocha mkuu wamefanikiwa kuendeleza hali ya ushindi kwa kila mechi, baada ya mchezo wao wa wiki iliyopita dhidi ya Africans Sports kuibuka na ushindi wa goli 4-0. February 3 Simba wamefanikiwa kuibuka na ushindi mwingine mnono dhidi ya Mgambo JKT uwanja wa Taifa, kwa kuwafunga idadi ya goli 5-1.

kiiza

Wekundu wa Msimbazi Simba walikuwa mahiri katika kuuchezea mpira, kwani dakika ya 5 tu walifanikiwa kupachika goli la kwanza kupitia kwa Hamis Kiiza, kabla ya Mwinyi Kazimoto hajafunga goli la pili dakika ya 28 na Ibrahim Ajib kufunga goli la tatu dakika ya 45. Kipindi cha pili Simba waliendeleza ubabe baada ya dakika ya 77 Danny Lyanga kupachika goli la nne.

kiizaaa

Mshambuliaji wao tegemeo Hamis Kiiza alihitimisha ushindi huo kwa kufunga goli la tano, Mgambo walipata goli la kufutia machozi dakika ya 87 kupitia kwa Fully Maganga baada ya ngome ya ulinzi ya Simba kujisahau. Kwa matokeo hayo Simba wanakuwa nafasi ya pili wakiwa na point 39 nyuma ya Yanga kwa tofauti ya point moja.

picha na salehjembe.com

picha na salehjembe.com

Matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu zilizochezwa February 3
• Prisons 2 – 2 Yanga
• Kagera Sugar 2 – 1 Majimaji FC
• Africans Sports 1 – 0 Mwadui FC
• Mtibwa Sugar 2 – 2 Toto Africans

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Mnyama Simba Aunguruma Taifa, Yanga Yapigishwa Kwata Mbeya appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/mnyama-simba-aunguruma-taifa-yanga-yapigishwa-kwata-mbeya/feed/ 0
Kumbe Sio Ipo Bongo tu, Hata Neymar Alidalaliwa http://www.thehabari.com/kumbe-sio-ipo-bogo-tu-hata-neymar-alidalaliwa/ http://www.thehabari.com/kumbe-sio-ipo-bogo-tu-hata-neymar-alidalaliwa/#comments Wed, 03 Feb 2016 03:50:28 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66828 Mchezaji wa Brazil Neymar aliitwa Mahakamani kutoa ushahidi katika mahakama moja ya ...

The post Kumbe Sio Ipo Bongo tu, Hata Neymar Alidalaliwa appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
neymar

Mchezaji wa Brazil Neymar aliitwa Mahakamani kutoa ushahidi katika mahakama moja ya Uhispania kuhusu madai ya ufisadi yanayozunguka uhamisho wake katika kilabu ya Barcelona.

neyy

Aliyekuwa rais wa kilabu hiyo pamoja na yule wa sasa wamekana kufanya makosa yoyote katika uhamisho huo siku ya jumatatu.

Barcelona inasema ililipa Yuro milioni 57 kwa ununuzi wa Neymar mwaka 2013,huku wazazi wake wakipokea Yuro milioni 40 na kilabu ya Brazili Santos ikipokea Yuro milioni 17.

neyyy

Lakini uchunguzi unasema kuwa ada hiyo ilikuwa karibu Yuro milioni 83 na Barcelona ilificha kiasi kikubwa cha mkataba huo.

Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani na kampuni ya uwekezaji ya DIS ambayo ilimiliki asilimia 40 ya haki za michezo za nyota huyo.

nee

DIS inadai kwamba iliathiriwa kifedha na uhamisho huo ilipopokea Yuro milioni 6.8 za Yuro milioni 17 zilizolipwa kilabu ya Santos na kwamba ilinyimwa haki yake.

ney

Rais wa kilabu ya Barcelona Josep Maria Bartomeu na mtangulizi wake Sandro Rosell walifikishwa mahakamani mjini Madrid siku ya Jumatatu,wakisisitiza kuwa hawakukiuka sheria zozote.

Babaake Neymar na mamaake pia walitarajiwa kufika katika mahakama hiyo ya kitaifa mjini Madrid.

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Kumbe Sio Ipo Bongo tu, Hata Neymar Alidalaliwa appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/kumbe-sio-ipo-bogo-tu-hata-neymar-alidalaliwa/feed/ 0
Simba Wapo Kifedha Zaidi, Wafungua Duka La Kisasa Jijini Dar Es Salaam http://www.thehabari.com/simba-wapo-kifedha-zaidi-wafungua-duka-la-kisasa-jijini-dar-es-salaam/ http://www.thehabari.com/simba-wapo-kifedha-zaidi-wafungua-duka-la-kisasa-jijini-dar-es-salaam/#comments Mon, 01 Feb 2016 12:44:24 +0000 http://www.thehabari.com/?p=66764 Klabu ya Simba SC leo imeamua kufanya kweli baada ya kuzungumza mambo ...

The post Simba Wapo Kifedha Zaidi, Wafungua Duka La Kisasa Jijini Dar Es Salaam appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
1a

Klabu ya Simba SC leo imeamua kufanya kweli baada ya kuzungumza mambo mengi ambayo mwisho wa siku yalikuwa yamebaki kwenye makaratasi.

1

Klabu hiyo leo wamezundua rasmi duka ambalo litakuwa linauza vitu mbalimabali venye nembo ya klabu hiyo kwa lengo la kutengeneza mapato zaidi.

2

Imekuwa muda mrefu sasa tangu vilabu hivyo viwili vya Simba na Yanga vilipoanza kupiga kelele za kuhakikisha bidhaa zenye nembo za klabu zao zinavinufaisha vilabu lakini bado wajanja waliendelea kufaidika kutokana na vilabu hivyo kushindwa kudhibiti watu ambao wamekuwa wakipiga pesa kwa kuuza bidhaa zenye nembo za vilabu hivyo.

3

Rais wa Simba Bw. Evans Aveva leo amezindua rasmi duka la Simba ambalo litakuwa likiuza vifaa vya michezo, jezi, kofia, T-shirts pamoja na vitu vingine vingi vyenye chapa ya Simba kwa ajili ya kujiingia kipato kutokana na chapa ya timu yao.

4

Hiyo ni changamoto kwa vilabu vingine vya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambavyo bado vimelala huku wajanja wa mjini wakiendelea kuponda pesa kutokana na kuuza bidhaa zenye nembo zao huku wao wakiwa hawapati hata shilingi 100.

7

5

6

PICHA NA millardayo.com

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

The post Simba Wapo Kifedha Zaidi, Wafungua Duka La Kisasa Jijini Dar Es Salaam appeared first on Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania.

]]>
http://www.thehabari.com/simba-wapo-kifedha-zaidi-wafungua-duka-la-kisasa-jijini-dar-es-salaam/feed/ 0