Na Mwandishi Wetu, Rombo SERIKALI imeombwa kudhibiti utengenezaji holela wa pombe za kienyeji katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ambao umekuwa hauzingatii afya ya mtumiaji.…
Continue Reading....Category: Habari za Vijijini
Watoto Nkasi Waajiriwa kwa Ujira wa Ndama kwa Mwaka
Na Joachim Mushi, Nkasi BAADHI ya watoto Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa hasa maeneo ya vijijini wamekuwa wakiajiriwa na familia za kifugaji kwa ujira…
Continue Reading....Madiwani Wawabana Watendaji wa Vijiji na Kata Rombo
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo limetoa utaratibu mpya wa kuwabana watendaji wa vijiji na kata wasio toa taarifa za mapato na…
Continue Reading....Mipango ya Wanajamii ni Muhimu Katika Kusimamia Wanyamapori – UNDP
KIONGOZI wa UNDP aliyeko ziarani nchini Tanzania, Helen Clark, amesema usimamizi wa maliasili unaoshirikisha jamii ni ufumbuzi wa muda mrefu na wenye ufanisi zaidi kwa…
Continue Reading....Walimu Wapya Wilaya ya Handeni Waonja Joto ya Jiwe
Na Joachim Mushi WAAJIRIWA wapya wa fani ya ualimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga wameanza kazi kwa kuonja machungu…
Continue Reading....Wananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe Kufanya Kazi Saa 24
Na Joachim Mushi, Tembela, Mbeya WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi…
Continue Reading....