Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Vijijini
  • Page 11

Category: Habari za Vijijini

Paka Amponza Mfugaji, Amfunga Miaka 3 Jela

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Amfunga Miaka 3, Jela Rombo, Paka
Paka Amponza Mfugaji, Amfunga Miaka 3 Jela

MAHAKAMA ya mwanzo Mengwe wilayani Rombo imemhukumu mkazi wa Rombo, Godfrey Kimaryo(32) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya…

Continue Reading....

Wanafunzi wa Awali Tunduru Wasomea Chini ya Mti

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Chini ya Mti, Tunduru Wasomea, wanafunzi
Wanafunzi wa Awali Tunduru Wasomea Chini ya Mti

Na Joachim Mushi, Tunduru WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na…

Continue Reading....

Waziri Pinda Asuluhisha Mgogoro Kiwanda cha Chai Mponde

Posted on: September 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Mgogoro Kiwanda cha Chai Mponde, Waziri Pinda
Waziri Pinda Asuluhisha Mgogoro Kiwanda cha Chai Mponde

*Ataka iundwe timu ya watu wachache kusimamia kiwanda   WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewataka Wakala wa Wakulima Wadogo wa Chai pamoja na Bodi…

Continue Reading....

Mtoto wa Chekechea na Kaka Yake Walawitiwa

Posted on: September 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Alawitiwa, Mtoto Chekechea
Mtoto wa Chekechea na Kaka Yake Walawitiwa

*Mlezi wao bibi miaka 80 aomba asaidiwe kisheria Na Yohane Gervas, Rombo WATOTO wawili wa Kijiji cha Aleni Chini, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, mmoja…

Continue Reading....

Mbunge Awataka Wananchi Kuacha Kilimo na Kufuga Nyuki

Posted on: September 2, 2014 - jomushi
Post Tags: kilimo, Mbunge Rombo, Nyuki
Mbunge Awataka Wananchi Kuacha Kilimo na Kufuga Nyuki

Na Yohane Gervas, Rombo WANANCHI wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wametakiwa kupanda miti na kujishugulisha na ufugaji wa nyuki na kuacha kulalamikia wanyama pori aina ya…

Continue Reading....

Madiwani Rombo Wambana Mkurugenzi

Posted on: September 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Madiwani Rombo kiboko
Madiwani Rombo Wambana Mkurugenzi

Na Gelvas Yohane MADIWANI wa Wilaya Rombo mkoani Kilimanjaro wamemtaka Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Mohamed Maje kutoa ufafanuzi juu ya fedha zaidi ya shilingi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari