Blogs Tanzania | News | Michuzi ya Habari leo » Habari za Nyumbani

Serikali Yasema Asilimia 31 ya Watanzania ni Walevi
Serikali Yasema Asilimia 31 ya Watanzania ni Walevi

ASILIMIA 26.8 hadi asilimia 31.9 ya Watanzania wanatumia pombe na asilimia 27.4 kati ya hao ambao ni wanaume na wengine asilimia 13.4 ambao ni wanawake, ni walevi wa kupindukia. Bunge lilielezwa jana.

Takwimu hizo zilitolewa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambaye alisema kuwa viwango hivyo vimetokana na utafiti uliofanywa kati ya Februari hadi Oktoba mwaka jana 2012.

Kwa mujibu wa naibu waziri, utafiti huo ulifanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO).

Alikuwa akijibu swali la Abdallah Haji Ali (Kiwani–CUF) aliyetaka kujua kauli ya Serikali kuhusu utumiaji wa pombe ambao umethibitika kuwa ni hatari kwa afya za binadamu. Pia alipendekeza pombe ipigwe marufuku kabisa hapa nchini kwa kuzingatia madhara yake.

Naibu waziri alisema tafiti zimeonyesha kuwa watu milioni mbili wanafariki dunia kila mwaka duniani kutokana na madhara ya matumizi ya pombe na asilimia nne ya matatizo ya kiafya yanatokana na matumizi ya pombe.

“Hali inazidi kuwa mbaya zaidi katika nchi zinazoendelea hasa kutokana na kukabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi na ustawi wa jamii inayochangiwa na magonjwa ya malaria, kifua kikuu na Ukimwi,” alisema Dk Rashid.

Naibu Waziri alisema kutokana na kuongezeka kwa athari zitokanazo na matumizi ya pombe hasa kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Serikali inatekeleza mkakati wa kukabiliana na magonjwa ya kuambukizwa unaoelekeza kutoa elimu kwa wananchi kupitia njia mbalimbali.

Kuhusu mikakati ya kukabiliana na tatizo hilo, alisema tayari Serikali imeanza utaratibu wa kuziwezesha hospitali za rufaa za mikoa, kuanza kutoa huduma kwa waathirika wa matumizi ya dawa za kulevya na pombe.

CHANZO: Gazeti Mwananchi

Hali Bado Tete Mtwara…Serikali Yawaonya Wanaochochea
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi

WAKATI mtu mwingine akiripotiwa kufa, hali bado ni tete katika Mji wa Mtwara kutokana na mabomu ya machozi na risasi za moto kuendelea kurindima kwenye mitaa kadhaa wakati polisi wakipambana na makundi ya vijana wanaopinga mradi wa ujenzi wa bomba la gesi kwenda Dar es Salaam.

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Ligula, Mohamedi Kodi alithibitisha kupokea mwili wa mjamzito ukiwa na tundu tumboni, linaloaminika kuwa linatokana na risasi.

“Ni kweli kwa leo tumepokea maiti moja ya mwanamke ambaye ni mjamzito wa miezi saba akiwa amepigwa risasi tumboni,” alisema Dk Kodi. Inadaiwa kwamba mjamzito huyo ambaye jina lake halikufahamika, ameuawa akiwa nyumbani kwake. Kifo hicho ni cha pili baada ya Karim Shaibu (22), mkazi wa Chikongola kuuawa juzi.

Aidha, kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa mtu mwingine ambaye jinsia yake haikujulikana aliuawa kwa bomu la machozi na mwili wake kutawanyika barabarani.

Kuhusu majeruhi, Dk Kodi alisema wamefikia watu 18… “Majeruhi wa mwisho tuliyempokea ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chuno. Alikuwa amevunjwa miguu yote kwa risasi.”

Waomba hifadhi hospitalini

Umati wa watu wengi wao wakiwa kinamama na watoto umemiminika kwenye Hospitali ya Ligula kukimbia msako wa nyumba kwa nyumba unaofanywa na polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Wakizungumza na waandishi wa habari kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamelalamikia kitendo cha polisi kuingia katika makazi yao, kuwapiga na kuwapora mali zao.

“Magomeni A hatuna amani, askari wanaingia nyumbani kwetu, wanatupiga na kutunyang’anya simu, yaani huku Magomeni hatuna amani kabisa, tumepotezana na watoto na hatujui hata waume zetu wako wapi,” alisema Paulina Idd.

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara, Linus Sinzumwa alisema hali ni shwari na kuwataka wananchi kuendelea na shughuli zao kama kawaida.

Hadi sasa huduma za kijamii zimesimama, hakuna maduka yaliyofunguliwa, hakuna usafiri wa daladala wala pikipiki, mji upo kimya huku sauti za milio ya mabomu na bunduki ikitawala, wanajeshi waliovalia sare wametapakaa sehemu mbalimbali za mji wakiwa katika magari na pikipiki.

Wakati huo huo; Serikali imesema kwamba imebaini kuwa baadhi ya wanasiasa na taasisi za kiraia wanahusika katika kuhamasisha vurugu zinazoendelea mjini Mtwara.

Akitoa kauli ya Serikali bungeni jana Mjini Dodoma, kwa niaba ya Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi alirejea kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwamba Serikali itawasaka watu wote wanaohusika na vurugu hizo ndani na nje ya nchi bila kujali umaarufu na madaraka yao.

“Baadhi ya taasisi za kiraia na vyama vya siasa kwa masilahi yao binafsi yasiyo na upeo mpana, vinaweza kudhani kuunga mkono madai ya namna hii ni kuimarisha kukubalika kwao miongoni mwa jamii,” alisema Dk Nchimbi: “Tunawakumbusha msemo wa wahenga usemao ‘tamaa mbele, mauti nyuma’… Tunaapa kuwasaka waasisi wa vurugu ndani na nje ya Mtwara, ndani na nje ya nchi yetu.

Wote waliohusika kupanga, kushawishi, kuandaa na kutekeleza vurugu hizo hawataukwepa mkono wa sheria.”

Alisema Serikali inalaani vikali vurugu hizo akisema wanaozihamasisha “wataipasua nchi, watasababisha vifo vya maelfu ya watu, watajaza taifa vilema na majeruhi na hawatanufaika na matokeo haya mabaya.”

Dk Nchimbi alisisitiza msimamo wa Serikali kwamba maliasili hiyo ni ya Watanzania wote… “Tunalo taifa moja la Tanzania ambalo maliasili zake ni za Watanzania wote. Tabia inayoanza kujengeka ya kila eneo kutaka linufaike peke yake na mali za eneo hilo, italigawa taifa letu vipandevipande.”

Alisema kiini cha vurugu hizo ni madai ya baadhi ya wananchi wa Mtwara kupinga usafirishaji wa gesi kwenda Dar es Salaam.

Alisema Mei 15, mwaka huu kikundi cha watu kilisambaza vipeperushi kuwataka wananchi wa huko Mei 17, saa 3:00 asubuhi kuacha shughuli na kusikiliza hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kujua mustakabali wa gesi kusafirishwa kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Alisema juzi, makundi ya vijana yalisikiliza hotuba hiyo maeneo mbalimbali ya Mtwara kama vile sokoni, Magomeni, Mkanaredi na baadaye kupanga mawe na magogo barabarani huku wakichoma matairi.

“Hali hiyo iliendelea kusambaa maeneo mengine ya mji kama vile Chuno, Chikongola, Mikindani na kutoka nje ya mji hadi Mpapura, umbali wa kilomita 40 kutoka Mtwara mjini,” alisema.

Alisema polisi walikabiliana na vurugu hizo na hadi jana, watu 91 walikuwa wanashikiliwa.

CHANZO: www.mwananchi.co.tz

SBL Yamtangaza Mshindi wa Mil. 1 Winda na Ushinde
Meneja wa bia ya Serengeti Allan Chonjo, akimtangaza Honest Minja (38) mshindi wa Tsh 1,000,000 wa droo ya kwanza ya Winda na Ushinde kwa wana habari katika droo iliyochezeshwa leo katika ofisi za Kampuni ya bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam

Meneja wa Bia ya Serengeti Allan Chonjo (katikati) akizungumza kwa njia ya simu na mshindi wa 1,000,000 wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya Winda na Ushinde katika ofisi za Kampuni ya Bia ya Serengeti, akiwa pamoja na Meneja mauzo na masoko Rugambo Rodney (kulia) na Afisa mwandamizi wa PWC Tumainieli Malisa (kushoto).

Wakazi wa Mbezi Beach Kupima Watoto Afya ni Bure
Mkurugenzi wa hospitali ya IMTU Dkt. Ali Mzige akisitiza umuhimu wa wazazi kujali afya za watoto na kufuatilia uzito wa watoto wao walio chini ya umri wa miaka mitano alipokua akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam ,Kushoto kwake ni Bw.Saibal Sarbadhikari Meneja Mkuu wa umoja wa BANGO SANGHO

Na Genofeva Matemu – MAELEZO

HOSPITALI ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Tekinolojia (IMTU hospital) kwa kushirikiana na Umoja wa Jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo nchini Tanzania watatoa huduma ya upimaji afya bure jumapili Mei 26 mwaka huu  kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano wanaoishi maeneo ya Mbezi Beach .

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa hospitali ya IMTU Dkt. Ali Mzige alipokua akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam kuhusiana na afya ya mtoto na umuhimu wa maziwa ya mama hasa kwa watoto walio chini ya miezi 6 .

Dkt. Mzige amesema wanakusudia kupima uzito, presha na kutazama afya ya kinywa kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano ambapo watatumia vifaa maalumu vya upimaji presha kwa watoto hao.

“Tutapima uzito ambao takwimu zake ni Kg 10 kwa mtoto wa mwaka mmoja, Kg 11 kwa mtoto wa mwaka mmoja na nusu, Kg 12 mtoto wa miaka 2, Kg 13 kwa mtoto wa miaka miwili na nusu, Kg 14 kwa mtoto wa miaka 3, Kg 15 kwa mtoto wa miaka mitatu na nusu, Kg 16 mtoto wa miaka 4, Kg 17 mtoto wa miaka minne na nusu, na Kg 18 ni kwa mtoto wa miaka mitano”, amesema Dkt. Mzige.

Akirejea matokeo ya sensa ya mwaka 2012 Dkt. Mzige amesema matokeo hayo yalionesha kuwa asilimia 42 ya watoto chini ya miaka mitano hapa nchini wamedumaa, ambapo asilimia 16 wana uzito pungufu (Underweight) na asilimia 5 wamekonda (Marasmic) wako kwenye rangi nyekundu ya kadi za watoto za kliniki.

Aidha Dkt. Mzige ameishauri jamii kula lishe bora na kamili sababu lishe bora huanzia nyumbani hivyo ni jukumu la jamii kupata elimu  ya chakula bora na mlo kamili wenye kujenga afya bora kwa watoto.

Zoezi la upimaji wa afya kwa watoto limeanza rasmi mwaka huu na linatarajiwa kufanyika kila mwaka au mara mbili kwa mwaka kwa kushirikiana na uhisani wa Bango Sangho jamii ya wahindi wanaoishi hapa nchini  ambao wamekua wakitoa vifaa vya kupimia afya za watoto.

Nchi za Afrika zashauriwa kuwaenzi diaspora
Akitoa mada kuhusu namna Bara la Afrika lilivyoimarisha taasisi na misingi ya utawala bora, Mhadhiri kutoka Idara ya Sayansi za Siasa wa Chuo Kikuu cha Lagos, Prof. Adele Jinadu alisema katika utafiti wake kutokana na kushiriki katika tafiti tathmini kadhaa za nchi za Afrika chini ya APRM umeonesha kuwa suala la diaspora hasa haki zao za kupiga kura bado ni changamoto.

Na Hassan Abbas, Addis Ababa

Viongozi wa Afrika wametakiwa kuenzi mchango wa Waafrika walioko nje ya Bara na walioko nje ya nchi zao si tu kwa kutambua mchango wao kiuchumi bali kuwapatia haki za kiraia na kisiasa ikiwemo kupiga kura.

Wito huo umetolewa jijini hapa wakati wa mkutano wa siku mbili ulioandaliwa kutafakari miaka kumi ya Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) ambao Tanzania ni mwanachama.

Akitoa mada kuhusu namna Bara la Afrika lilivyoimarisha taasisi na misingi ya utawala bora, Mhadhiri kutoka Idara ya Sayansi za Siasa wa Chuo Kikuu cha Lagos, Prof. Adele Jinadu alisema katika utafiti wake kutokana na kushiriki katika tafiti tathmini kadhaa za nchi za Afrika chini ya APRM umeonesha kuwa suala la diaspora hasa haki zao za kupiga kura bado ni changamoto.

Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zilizotambua mchango wa diaspora na tayari imeanza jitihada kubwa za kutambua mchango wao ikiwemo kuunda idara inayoshughulikia masuala yao kwenye Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Akitoa maoni yake mmoja wa washiriki katika semina hiyo alibainisha kuwa Afrika ina aina tatu ya diaspora ambao ni wale waliochukuliwa kwenda nchi za nje wakati wa utumwa, diaspora waliohamia wenyewe nchi za nje ya Afrika kusaka maisha hasa katika miaka ya 1980 na 1990.

Alilitaja kundi latatu kuwa ni la diaspora wanaoishi nje ya nchi zao lakini ndani ya Afrika. Akashauri kuwa ni vyema Mpango wa APRM ukalifanyiakazi tatizo la diaspora na kutoa mapendekezo kwa nchi za Afrika juu ya nini cha kufanya.

Kwa upande wake Prof. Alinah Segobye alisema licha ya mchango wa diaspora katika nyanja za uchumi wanaweza pia kutumiwa ipasavyo kusaidia uwekezaji katika elimu Barani Afrika.

Mwinyi Ataka Novemba 30 kuwa Mapumziko Afrika Mashariki
kutangaza Novemba 30 kuwa siku ya mapumziko kwa nchi zote za jumuiya hiyo ili kuongeza uelewa wa wananchi wake juu ya masuala ya mtangamano.

Na Mtuwa Salira wa EANA

RAIS MSTAAFU  wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amependekeza kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutangaza Novemba 30 kuwa siku ya mapumziko kwa nchi zote za jumuiya hiyo ili kuongeza uelewa wa wananchi wake juu ya masuala ya mtangamano.

Novemba 30, 1993 ilikuwa ndiyo siku ambapo Kamisheni ya Utatu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ilizinduliwa na hatimaye kuzaliwa upya kwa jumuiya hiyo iliyokufa mwaka 1977. Hivi sasa tarehe hiyo inaadhimishwa kama Siku ya EAC lakini siyo siku ya mapumziko katika nchi wananchama.

Mwinyi alitoa mapendekezo hayo Jumatano jijini Dar es Salaam alipozindua ripoti ya  utafiti wa kwanza wa Afrika Mashariki juu ya ushiriki wa raia katika mchakato wa ushirikiano wa EAC, uliyofanywa na Jukwaa la Dira ya Afrika Mashariki (VEAF) ambayo imebaini kwamba upo ushiki hafifu wa raia katika mwenendo mzima wa mchakato huo.

”Nitakuwa na furaha zaidi kutoa mchango wangu wa kuwashawishi marais waliopo sasa ili kutangaza Novemba 30, 1993, siku ambayo Tume ya Utatu ya Afrika Mashariki ilipozinduliwa mjini Arusha, marehemu Mwalimu Nyerere akiwepo, kuwa Siku ya Afrika Mashariki,” alisema Mwinyi ambaye wakati huo alikuwa Rais wa Tanzania.

Alisema, siku kama hiyo wananchi pamoja na mambo mengine wanaweza kufanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na maonyesho ya utamaduni na bidhaa za kilimo na viwanda katika majiji yote na mipakani, ambapo alisema, mwisho wa siku vitaongeza uelewa wa wananchi juu ya jumuiya yao ya Afrikia Mashariki.

Sehemu ya ripoti hiyo ilisema ingawa kuanzsihwa upya kwa jumuiya hiyo kulilenga iwe na misingi yake kwa wananchi, matokeo ya utafiti huo umebaini kinyume chake.

‘’Theluthi moja ya watu kama wa Tanzania na Kenya hawajawahi kusikia juu ya mtangamano wa EAC,’’ ilisema sehemu ya ripoti hiyo na kuongeza ‘’ni kwa kuboresha uelewa wa raia juu ya mwenendno mzima wa ushirikiano kwa kushughulikia hofu za wananchi wa pande zote za nchi husika, ndipo awamu hii ya pili ya kihistoria ya kurejesha upya jumuiya hiyo inaweza kufanikiwa.’’

Wanachama wengine wa EAC ni pamoja na Uganda, Rwanda na Burundi.

Akizungumza katika tukio hilo pia, Katibu Mkuu wa zamani wa EAC, Balozi Juma Mwapachu alitaka mwananchi wa kawaida wahusishwe ipasavyo katika mchakato mzima wa mtangamano wa Afrika Mashariki.

”Wana Afrika mashariki wanahitaji kueleweshwa zaidi,kuhamasishwa zaidi na kuwafanya wawe wamoja,” alisema Mwapachu.

Naye Rolf Paasch, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika moja la Ujerumani la Frieddrich-Ebert-Stifstung (FES) nchini Tanzania lilofadhili uzinduzi na utafiti huo alitoa wito kwa wana Afrika mashariki kufanya kila wanaloweza kuhusisha raia katika mchakato mzima wa mtanagamano.

Uzinduzi huo ulihudhiriwa na watu mbalimbali wakiwemo wanachama wa VEAF kutoka EAC,mashirika yasiyo ya kiserikali, waandishi wa habari na taasisi za vijana.

JK Alaani Vikali Vurugu za Mtwara
naamini kuwa ni jambo lisilokubalika kuwa raslimali ya nchi inaweza kuzuiliwa isitoke katika eneo ambako inapatikana kwa vile hakuna nchi yoyote duniani inayoruhusu jambo la namna hiyo. Nchi hiyo haipo na wala sera za namna hiyo haziwezi kuanzia Mtwara.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amelaani vikali fujo na ghasia zilizofanyika mjini Mtwara Jumatano, Mei 22, 2013, akisisitiza kuwa rasilimali yoyote inayopatikana katika sehemu yoyote ya nchi yetu ni mali ya Watanzania wote na lazima itumike kuwanufaisha wote.

Rais anaamini kuwa ni jambo lisilokubalika kuwa raslimali ya nchi inaweza kuzuiliwa isitoke katika eneo ambako inapatikana kwa vile hakuna nchi yoyote duniani inayoruhusu jambo la namna hiyo. Nchi hiyo haipo na wala sera za namna hiyo haziwezi kuanzia Mtwara.

Aidha, Rais anasisitiza kuwa Sera ya Serikali ni kwamba kila mtu, kila Mtanzania anayo haki ya kunufaika na raslimali ya nchi yetu yakiwemo maeneo ambako inatoka raslimali.

Rais Kikwete haoni sababu yoyote ya msingi ya kufanyika kwa fujo na ghasia za Mtwara. Fujo hizo hazina kichwa wala miguu, hazina mshiko na wala waliofanya fujo hizo hawaelezi wanataka nini isipokuwa kuhitimisha nia na dhamira yao ya kufanya fujo na kuharibu bila sababu mali za wananchi na zile za taasisi za Serikali.

Itakumbukwa kuwa wakati zilipotokea fujo na ghasia kwa mara ya kwanza mwanzoni mwa mwaka huu, Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda alikwenda Mtwara akakutana na akazungumza na makundi mbali mbali na wananchi wa Mtwara. Ilionekana kama ulikuwa umepatikana mwafaka wa kuhakikisha kuwa jambo hilo halitokei tena.

Katika mazungumzo hayo, Mheshimiwa Pinda aliwaelezea kwa undani kabisa fursa nyingi zinazowasubiri wananchi wa Mtwara kwa sababu ya ugunduzi wa gesi asilia na mipango ya Serikali kuhakikisha kuwa Mtwara na maeneo jirani yananufaika. Miongoni mwa mambo mengine, Mheshimiwa Pinda aliwaeleza yafuatayo:

(a)	Kwamba kiasi cha viwanda 57 vya shughuli mbali mbali vitajengwa Mtwara ili kuhudumia shughuli za uzalishaji wa gesi asilia na maendeleo ya uchumi wa Tanzania kutokana na gesi asilia hiyo. Idadi hii ya viwanda haijapata kujengwa katika eneo lolote la nchi hii katika historia.

(b)	Kwamba kiasi cha gesi asilia ambacho kitatoka Mtwara kusafirishwa hadi Dar es Salaam kwa shughuli nyingine za kitaifa ikiwamo kufua umeme ni asilimia 14 tu, na kuwa kiasi kinachobakia cha asilimia 86 kitabakia Mtwara kwa ajili ya kuzalisha huduma mbali mbali na kuhudumia idadi hiyo kubwa ya viwanda.

Isitoshe, Rais anajiuliza kuwa kama gesi asilia isipotoka Mtwara itabakia huko inafanya nini kwa sababu bidhaa yoyote ni lazima ifikishwe sokoni ili iweze kuuzika. Gesi asilia hiyo ikibakia katika eneo la bahari la Mtwara itawafaisha vipi wananchi wa Mtwara hata kama wakifanya fujo kila siku?

Rais Kikwete anawakumbusha wafanya fujo wa Mtwara na vinara wa fujo hizo kuwa Serikali inao wajibu wa kulinda usalama wa wananchi pamoja na usalama wa mali zao. Hivyo, Rais Kikwete hakubali fujo na ghasia zilizofanyika Mtwara leo. Anazilaani vikali na wala hatakubali wafanya fujo wachache kuvuruga amani na usalama wa nchi yetu popote walipo na kwa kisingizio chochote kile iwe ni kutafuta umarufu wa kisiasa ama kulinda maslahi binafsi ya kibiashara.

Serikali itawasaka na kuwakamata wote walioshiriki katika fujo za leo na kuwafikisha mahakamani. Aidha, Serikali itawasaka na kuwakamata viongozi na vinara wa fujo na ghasia hizo na kuwafikisha mbele ya sheria hata kama wana mapembe makubwa kiasi gani.

Rais Kikwete anawapa pole sana wananchi wa Mtwara ambao wameathirika binafsi kwa kuumizwa ama mali zao kuharibiwa katika fujo na ghasia za leo. Anapenda kuwahakikishia kuwa Serikali yake itachukua hatua za kukomesha vitendo hivyo vya fujo na ghasia katika eneo hilo.

Maadhimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Juzi Dodoma
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akizungumza na waandishi wa habari leo, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Amezungumzia kuhusu yaliyojiri kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika jana, pia mjini Dodoma. (PICHA NA BASHIR NKOROMO)

TAARIFA KAMILI KAMA ILIVYOTOLEWA NA DK. ASHA-ROSE

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dodoma Mei 21, 2013 chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu ilijadili na kutafakari masuala mbali mbali yanayohusu Uchumi, Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Taifa.

MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Migogoro ya  wakulima na wafugaji imekuwa mingi na imeenea sana katika taifa letu. Migogoro hii inatokana na sababu nyingi: mabadiliko ya tabia nchi; ongezeko la idadi ya watu na mifugo. Kamati Kuu inasikitishwa na kuendelea kwa migogoro hii ambayo imekuwa tishio la amani na usalama katika jamii, na pia kusababisha wakulima kupata hasara baada ya mazao yao kuliwa na mifugo. Tumeishuhudia migogoro hii mkoani Morogoro hivi karibuni, katika ziara ya Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana na imeripotiwa katika maeneo mengine ya nchi yetu.

Kamati Kuu inaiagiza Serikali kuishughulikia na kuitafutia ufumbuzi wa kudumu migogoro hii. Kamati Kuu inaiagiza Serikali kuharakisha zoezi la kutenga maeneo kwa ajili ya wakulima na wafugaji na kujenga miundombinu ya malisho, maji, na majosho ili kuwezesha wafugaji kutohamahama na mifugo yao.

KULINDA HIFADHI

Kamati Kuu imezungumzia suala la mahusiano kati ya Hifadhi za taifa, wafugaji na wananchi waishio katika vijiji vinavyozunguka Hifadhi hizo. Kamati Kuu inatambua umuhimu wa Hifadhi kwa manufaa ya taifa letu na vizazi vijavyo. Inasisitiza msimamo wake wa kuzilinda Hifadhi za taifa sanjari na kuanzisha na kuendeleza mahusiano hayo.

Kamati Kuu inaiagiza Serikali kuwashirikisha wananchi katika kutenga maeneo ya Hifadhi, kulinda maeneo ya wanyama pori na kutenga maeneo ya malisho ili kuondosha migogoro isiyo ya lazima katika maeneo yanayozunguka Hifadhi.

ZAO LA KOROSHO

Kamati Kuu ilijadili matatizo yanayolikabili zao la korosho ambayo ni: kuyumba kwa bei ya korosho, malipo ya wakulima kuchelewa, tozo nyingi wanazolipishwa wakulima na udhaifu wa baadhi ya vyama vya ushirika.

Tatizo hili limedumu kwa muda mrefu na linastahili kushughulikiwa kwa njia ya kipekee.

Kwa kutambua kwamba wapo  baadhi  ya viongozi  na watendaji wa Serikali, viongozi wa vyama vya ushirika na  wafanyabiashara binafsi wanaochangia  katika kuendeleza matatizo yanayowakabili wakulima  wa korosho:

Kamati Kuu inatamka kwamba hali hii haivumiliki. Kamati Kuu inaitaka Serikali kukaa na wadau wote na kuchukua hatua zitakazotoa ufumbuzi wa kudumu wa matatizo haya kwa zao la korosho. Kamati Kuu pia inaitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria  hao wote wanaochangia kuendelea kwa matatizo haya  kwa wakulima wa korosho.

MIGOGORO YA KIDINI

Kamati Kuu imepokea taarifa ya namna migogoro ya kidini inavyoshughulikiwa na hatua zinazochukuliwa. Kamati Kuu inaipongeza Serikali na vyombo vya dola kwa namna inavyoendelea kukabiliana na wahalifu wanaotumia mgongo wa dini kuanzisha vurugu na uvunjifu wa amani katika nchi yetu. Kamati Kuu inatoa mwito kwa Watanzania kukataa vitendo vyote vinavyochochea migogoro ya kidini; wananchi wajihadhari na watu waovu wenye nia mbaya ya kuligawa taifa letu.

Pamoja na jitihada za vyombo vya dola hadi sasa, Kamati Kuu inaitaka Serikali iandae mkakati wa kuzuia migogoro ya kidini kabla haijajitokeza.

MAKAMPUNI NA VIWANDA VILIVYOBINAFSISHWA

Kamati Kuu imetafakari hali ya viwanda hivi. Ni muongo mmoja umepita tangu ubinafsishaji ulipokamilika. Kuuzwa kwa mashirika na viwanda vya umma kwa watu na makampuni binafsi kumekuwa na matokeo ya aina mbili:  yako yale yaliyobinafsishwa na yakawa  na maendeleo mazuri na kuchangia uchumi wa Taifa. Na

yako ambayo yanaendeshwa kwa kiwango cha chini au yamefungwa.

Kamati  Kuu inasikitishwa na hali hii, kwani viwanda vilivyofungwa ni vile vilivyokuwa vikifanya kazi muhimu ya uzalishaji.

Viwanda hivi ni vya korosho, usindikaji wa pamba, mafuta ya kula, viwanda vya mazao ya ngozi, na vinginevyo. Hali hii inalikosesha Taifa fursa za ajira, kukua kwa mapato, kuimarika kwa uzalishaji na kuongezeka kwa uuzaji wa bidhaa zilizosindikwa na kuzalishwa nchini.

Imedhihirika kuwa wafanyabiashara waliochukua viwanda hivyo ndiyo hao hao wanaofanya biashara ya kununua mazao ya kilimo na mifugo na kuuza nje kama bidhaa ghafi, wakati huo huo wakiwa wamevifunga viwanda hivi.

Kamati Kuu inaiagiza Serikali kufanya tathmini ya viwanda vilivyobinafsishwa ili kuvitambua vile vilivyofungwa, na kuwataka waliouziwa wavifungue na iwapo watashindwa kutimiza masharti yaliyowekwa, Serikali iandae utaratibu wa kuwapa watu wenye uwezo wa kuviendesha.

WAKULIMA WADOGO WA MIWA -

Kumekuwapo na migogoro ya muda mrefu kati ya wakulima wadogo wa miwa na Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mkoani Morogoro. Matatizo haya yameshughulikiwa na watendaji mbalimbali bila ya kupatikana kwa ufumbuzi wa kudumu.

Kamati Kuu inaiagiza Serikali kuushughulikia mgogoro huu na kuyapatia ufumbuzi wa kudumu matatizo ya wakulima wadogo wa miwa haraka iwezekanavyo.

PEMBEJEO ZA KILIMO

Chama kimejiridhisha kuwa suala la utoaji wa pembejeo za kilimo ni zuri na lenye mafanikio. Hata hivyo Kamati Kuu imepokea taarifa kuhusu matatizo yanayohusiana na usambazaji wa mbolea ya ruzuku.

Kwa baadhi ya maeneo mbolea ya ruzuku imekuwa ikitolewa kwa watu wasiohusika na wakati mwingine walanguzi wamekuwa wakiingilia kati ili kujinufaisha nayo.

Kamati Kuu inaiagiza Serikali kusimamia kwa umakini na kutafuta utaratibu bora zaidi na wenye tija wa kuwafikishia wakulima mbolea, kwa wakati na kwa uhakika.

MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI

Kamati Kuu  imepokea taarifa na kuipongeza Serikali  kwa kutayarisha mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba za watumishi wake. Mpango huu utatoa fursa kwa wafanyakazi ya kupata mikopo yenye masharti nafuu na hivyo kuwawezesha kuwa na makaazi yenye uhakika.

MWISHO:

Kamati Kuu imeitaka Serikali  kuwasilisha utekelezaji wa maagizo haya mara kwa mara.

IMETOLEWA NA:

Asha-Rose Migiro,

Katibu WA NEC – Siasa Na Uhusiano wa Kimataifa,

Mei 22, Dodoma.

Mwinyi Ataka Novemba 30 Iwe Mapumziko Afrika Mashariki
Arusha, May 22, 2013 (EANA) – Rais wa zamani wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amependekeza kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutangaza Novemba 30 kuwa siku ya mapumziko kwa nchi zote za jumuiya hiyo ili kuongeza uelewa wa wananchi wake juu ya masuala ya mtangamano.

Novemba 30, 1993 ilikuwa ndiyo siku ambapo Kamisheni ya Utatu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ilizinduliwa na hatimaye kuzaliwa upya kwa jumuiya hiyo iliyokufa mwaka 1977. Hivi sasa tarehe hiyo inaadhimishwa kama Siku ya EAC lakini siyo siku ya mapumziko katika nchi wananchama.

Mwinyi alitoa mapendekezo hayo Jumatano jijini Dar es Salaam alipozindua ripoti ya  utafiti wa kwanza wa Afrika Mashariki juu ya ushiriki wa raia katika mchakato wa ushirikiano wa EAC, uliyofanywa na Jukwaa la Dira ya Afrika Mashariki (VEAF) ambayo imebaini kwamba upo ushiki hafifu wa raia katika mwenendo mzima wa mchakato huo.

”Nitakuwa na furaha zaidi kutoa mchango wangu wa kuwashawishi marais waliopo sasa ili kutangaza Novemba 30, 1993, siku ambayo Tume ya Utatu ya Afrika Mashariki ilipozinduliwa mjini Arusha, marehemu Mwalimu Nyerere akiwepo, kuwa Siku ya Afrika Mashariki,” alisema Mwinyi ambaye wakati huo alikuwa Rais wa Tanzania.

Alisema, siku kama hiyo wananchi pamoja na mambo mengine wanaweza kufanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na maonyesho ya utamaduni na bidhaa za kilimo na viwanda katika majiji yote na mipakani, ambapo alisema, mwisho wa siku vitaongeza uelewa wa wananchi juu ya jumuiya yao ya Afrikia Mashariki.

Sehemu ya ripoti hiyo ilisema ingawa kuanzsihwa upya kwa jumuiya hiyo kulilenga iwe na misingi yake kwa wananchi, matokeo ya utafiti huo umebaini kinyume chake.

‘’Theluthi moja ya watu kama wa Tanzania na Kenya hawajawahi kusikia juu ya mtangamano wa EAC,’’ ilisema sehemu ya ripoti hiyo na kuongeza ‘’ni kwa kuboresha uelewa wa raia juu ya mwenendno mzima wa ushirikiano kwa kushughulikia hofu za wananchi wa pande zote za nchi husika, ndipo awamu hii ya pili ya kihistoria ya kurejesha upya jumuiya hiyo inaweza kufanikiwa.’’

Wanachama wengine wa EAC ni pamoja na Uganda, Rwanda na Burundi.

Akizungumza katika tukio hilo pia, Katibu Mkuu wa zamani wa EAC, Balozi Juma Mwapachu alitaka mwananchi wa kawaida wahusishwe ipasavyo katika mchakato mzima wa mtangamano wa Afrika Mashariki.

”Wana Afrika mashariki wanahitaji kueleweshwa zaidi,kuhamasishwa zaidi na kuwafanya wawe wamoja,” alisema Mwapachu.

Naye Rolf Paasch, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika moja la Ujerumani la Frieddrich-Ebert-Stifstung (FES) nchini Tanzania lilofadhili uzinduzi na utafiti huo alitoa wito kwa wana Afrika mashariki kufanya kila wanaloweza kuhusisha raia katika mchakato mzima wa mtanagamano.

Uzinduzi huo ulihudhiriwa na watu mbalimbali wakiwemo wanachama wa VEAF kutoka EAC,mashirika yasiyo ya kiserikali, waandishi wa habari na taasisi za vijana.

Source: Mtuwa Salira wa EANA

Obama to Tour Senegal, South Africa and Tanzania in June
US President Barack Obama will visit Senegal, South Africa and Tanzania in June, the White House has said.

Mr Obama is expected to meet lawmakers as well as business and civil society leaders and youth on his trip.

The 26 June – 3 July visit will be Mr Obama’s second to sub-Saharan Africa as president. He spent less than a day in Ghana in 2009.

Former Presidents Bill Clinton and George W Bush both visited Africa during their second terms in office.

Mr Clinton visited six countries while Mr Bush went to five.

“The president will reinforce the importance that the United States places on our deep and growing ties with countries in sub-Saharan Africa, including through expanding economic growth, investment, and trade; strengthening democratic institutions; and investing in the next generation of African leaders,” the White House said in a statement.

“The trip will underscore the president’s commitment to broadening and deepening cooperation between the United States and the people of sub-Saharan Africa to advance regional and global peace and prosperity.”

Analysts say such trips are common for US presidents after they are relieved of the pressure of domestic campaigning.

Meanwhile, a developing threat of Islamist militants in the west African country of Mali has raised the region’s profile in Washington.

First Lady Michelle Obama is due to accompany Mr Obama on his trip.

source: bbc