Blogs Tanzania | News |  Michuzi ya Habari leo

 

Category archives for: Burudani

Rumadha: Kutoka Uswahilini Hadi Ughaibuni

Sensei Rumadha na mkewe Anita pamoja na mdogo wake Rumadha, Kibwana Fundi katika shangwe

SENSEI Rumadha Fundi amefanikiwa kujiongezea taaluma kutoka Usensei wa Karate na Mwalimu wa Yoda na sasa kufikia kuwa mtaalamu wa tiba za binadamu upande wa mapafu! Huyu si mwingine bali ni Mtanzania mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga Sensei Rumadha Fundi (3rd Dan, Black Belt) mwenye maskani yake kule nchini  Marekani.  Mai 17, 2013 Sensei [...]

Bondia Jonas Segu Aweka Historia Thailand, Apigwa…!

Bondia Jonas Segu akicheza na Bingwa wa IBF Bara la Asia Pacific, Patomsuk Pathompothong

          TANZANIA imeweka historia mpya kwenye ngumi za kulipwa nchini Thailand baada ya mabondia wake kuwa wanapigwa kila mara wanapokwenda kuiwakilisha nchi na bara la Afrika. Safari hii JEMBE, kijana mtanashati anayeinukia kwenye masumbwi Jonas Segu kutoka katika ukumbi wa mazoezi wa Respect Gym Boxing Club ya Mabibo Loyola chini ya kocha Christopher Mzazi ameonyesha [...]

Linah na Barnaba ‘Kufukuzwa’ THT…!

Msanii Linah katika pozi

Na Andrew Chale KUELEKEA shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye msisimko mkubwa ya ‘Machozi Band’, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au Jide’  huenda kwa upande wa wasanii wa Nyumba ya Vipaji ya THT, Linah Sanga na Barnaba  mwaka huu ukawa mchungu kwao kufuatia kuwepo [...]

Francis Cheka Shopping for an Opponent Outside Africa for His 4th Defense

Francis Cheka

THE most celebrated “IBF Continental Africa Champion” Francis Cheka of Tanzania is shopping for an opponent outside Africa continent for his optional defense of his title for the fourth time. Cheka’s desire for foreign boxers derived from the dismal performances exhibited by Africa boxers he had met so far. “I have yet to see any African boxer who [...]

Timu Tano Afrika Mashariki Zatinga Nusu Fainali Pan-African Guinness Football Challenge

Washindi wa kwanza wa robo fainali ya mwisho ya Guinness Football Challenge Emmanuel Okraku Kofi (kushoto) na Isaac Aryee (kulia) katika picha ya pamoja na waendeshaji wa kipindi hicho Larry Asego na Mimi kalinda.

JANA usiku (Mai 15, 2013) kupitia televisheni za ITV na Clouds TV washindi kutoka Ghana katika GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE walisheherekea ushindi wao wa kufuzu nusu fainali kwa kucheza wimbo wa Azonto huku watangazaji Larry na Mimi nao wakijumuika nao. Emanuel Okarku (27) na Isaac aryee (25) hawakufanya vizuri katika hatua ya pesa ukutani na kupata [...]

Timu Kutoka Afrika Mashariki Yasaka Nafasi Kuingia Nusu Fainali Guinness Football Challenge

Timu nne zitakazochuana katika kipindi cha tisa (robo fainali ya 4) cha Guinness Football Challenge wiki hii. Kutoka kushoto ni timu kutoka Kenya (wamevaa nyekundu), bluu na kijani ni timu kutoka Cameroon na nyeusi ni timu kutoka Ghana.

JUMATANO iliyopita kupitia stesheni za ITV na Clouds TV, Waghana Jonathan Naab na Desmond Odaano walifanikiwa kufuzu nusu fainali ya Pan-African Guinness Football Challenge. Inaweza kusemekana kuwa timu hii ilichagua njia rahisi kwa ajili ya kupata ushindi hadi kufikia hatua ya vikwazo ambapo walikutana uso kwa uso na waghana wenzao. Jonathan na Desmond walifanikiwa kushinda [...]

Bondia Kaseba Kupambana na Mmalawi Jumamosi

Bondia Kaseba Kupambana na Mmalawi Jumamosi

 

 

Log in |

 

Google+