WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amepokea pikipiki 44 zikiwa ni msaada kutoka Ubalozi wa China na Kampuni ya Fu-Tang ya kutoka China. Amekabidhiwa msaada huo Desemba…
Continue Reading....Year: 2013
Heri Ya Kristmas na Mwaka Mpya!
GAZETI la Mtandao la dev.kisakuzi.com (www.thehabari.com) linawatakia wasomaji wake na Watanzania wote kwa ujumla Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2014. Gazeti hili lina watakia…
Continue Reading....Nani Mtani Jembe; Simba, Yanga Wavuna Mil 422/-
MECHI ya Nani Mtani Jembe kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Desemba 21 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na Simba kuibuka…
Continue Reading....Vita Wenyewe kwa Wenyewe Vyanyemelea Sudan Kusini
JESHI la Sudan Kusini limesema linajiandaa kufanya shambulio kubwa dhidi ya vikosi vya waasi wakati nchi hiyo inayoelekea kuingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe…
Continue Reading....TMA Yasema Chrismas Huwenda Isiwe ‘Samalama’ Ukanda wa Pwani
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewatahadharisha wakazi wa maeneo yote ya ukanda wa Pwani nchi kuchukua tahadhari kwani vipimo vya hali ya hewa…
Continue Reading....