Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • April
  • Page 13

Month: April 2013

Rais Kikwete Amteuwa Juliet Kairuki Kuwa Bosi wa TIC

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Amteuwa Juliet Kairuki Kuwa Bosi wa TIC

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bibi Juliet Rugeiyamu Kairuki kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Taarifa…

Continue Reading....

Rais Tenga Atoa Mipira ya Dola 30,000

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Rais Tenga Atoa Mipira ya Dola 30,000

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga ametoa mipira zaidi ya 1,200 yenye thamani ya dola 30,000 za Marekani kwa vyama…

Continue Reading....

Coastal Union, Azam Kucheza Siku ya Muungano

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Coastal Union, Azam Kucheza Siku ya Muungano

TIMU za Coastal Union ya Tanga na Azam zitapambana Aprili 26 mwaka huu katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) itakayofanyika kwenye Uwanja wa…

Continue Reading....

Kutoka Uswahilini Hadi Ughaibuni!

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Kutoka Uswahilini Hadi Ughaibuni!

Sensei Rumadha Fundi (Romi) mtaalam wa ngazi za juu wa karate na Yoga TUNAPOZUNGUMZIA Watanzania waliozaliwa na vipaji na kufanikiwa kuvipigania na kuviendeleza hadi kufikia…

Continue Reading....

Wabunge wa Chadema Kuweka Kambi Majimbo ya Makinda, Ndugai

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Wabunge wa Chadema Kuweka Kambi Majimbo ya Makinda, Ndugai

WABUNGE sita wa Chadema waliosimamishwa bungeni wameamua kwenda kuwashtaki Spika Anne Makinda na Naibu wake Job Ndugai kwenye majimbo yao. Wakitangaza uamuzi huo katika mkutano…

Continue Reading....

Amuua Baba Yake kwa Ushirikina

Posted on: April 22, 2013 - jomushi
Amuua Baba Yake kwa Ushirikina

JESHI la Polisi mkoani Rukwa linamsaka Richard Jecap (30) mkazi wa kitongoji cha Matai A kwa tuhuma za kumuua baba yake kwa kumpiga mpini kichwani…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari