SHAMBULIO la bomu lililotegwa ndani ya gari karibu na Ofisi za Ubalozi wa Ufaransa Mjini Tripoli nchini Libya limewajeruhi watu 2 na kusababisha hasara kubwa…
Continue Reading....Month: April 2013
Rais Kikwete Azungumza Amani na Viongozi wa Dini
Na Mwandishi Wetu VIONGOZI wa dini wamewataka waumini kote nchini kulinda amani na umoja uliopo ili nchi isije ikaingia kwenye mgawanyiko wa kidini na kuleta…
Continue Reading....Dk. Mgimwa Afanya Mazungumzo na Waziri wa Ushirika wa Kimataifa wa Canada, Fantino
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa akutana na Waziri wa Ushirika wa Kimataifa wa Canada Mhe. Julian Fantino kujadili vipaumbele vya maendeleo ambavyo ni Elimu,…
Continue Reading....Mama Pinda Aiasa Jamii Kusaidia Wasiojiweza
MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda amewataka Watanzania kujitoa kwa hali na mali kuwasaidia watu wenye uhitaji ili nao waweze kujiamini na kujiona…
Continue Reading....Sethi Kamuhanda Ahimiza Uadilifu, bidii Kwa Watumishi wa Umma
Na Anna Nkinda – Maelezo WATUMISHI wa Umma wametakiwa kufanya kazi zao kwa uadilifu, bidii na kujituma huku wakifuata maadili ya kazi zao kwa kufanya hivyo wataweza kutekeleza…
Continue Reading....