Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • April

Month: April 2013

Dk Shein Ajivunia Upatikanaji wa Maji Safi na Salama Zanzibar

Posted on: April 30, 2013 - jomushi
Dk Shein Ajivunia Upatikanaji wa Maji Safi na Salama Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaendelea kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM katika kuimarisha sekta…

Continue Reading....

JK Amteua Mwantumu Mahiza Sauti Mkuu

Posted on: April 30, 2013 - jomushi
JK Amteua Mwantumu Mahiza Sauti Mkuu

Na Hussein Makame- Maelezo RAIS wa Jamhuri ya Muungan wa Tanzania Dk. Jakaya Mrsho Kikwete amemteua Mwantumu Mahiza kuwa Skauti Mkuu nchini. Kwa mujibu wa…

Continue Reading....

Wanajeshi Kutoka Nigeria Waitembelea Wizara ya Habari

Posted on: April 30, 2013 - jomushi
Wanajeshi Kutoka  Nigeria Waitembelea Wizara ya Habari

Picha na Anna Nkinda – Maelezo.

Continue Reading....

Kamuhanda. Elimu ya Uzalendo Imechangia Amani na Utulivu

Posted on: April 30, 2013April 30, 2013 - jomushi
Kamuhanda. Elimu ya Uzalendo Imechangia  Amani na Utulivu

Picha na Anna Nkinda – Maelezo. NA MAGRETH    KINABO                                                                           ELIMU ya uzalendo imesaidia  kuwafanya  vijana  wa Kitanzania kuipenda nchi yao , hali iliyochangia nchi…

Continue Reading....

Yusuf Kunasa Kucheza Msumbiji

Posted on: April 30, 2013 - jomushi
Yusuf Kunasa Kucheza Msumbiji

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) kwa mchezaji Yusuf Kunasa kucheza nchini Msumbiji.   Shirikisho la Mpira…

Continue Reading....

Viini Sugu vya Malaria Vyagunduliwa, ‘Havitibiki’

Posted on: April 29, 2013April 29, 2013 - jomushi
Viini Sugu vya Malaria Vyagunduliwa, ‘Havitibiki’

UGONJWA wa malaria huwenda ukaendelea kuwa hatari zaidi kwa sasa baada ya wanasayansi kugunduwa aina mpya ya viini sugu vinavyosababisha ugonjwa huo ambavyo havisikii dawa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari