Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • March
  • Page 11

Month: March 2013

Kinana Azungumza na Kiongozi Mkuu wa CPC Nchini China

Posted on: March 21, 2013March 21, 2013 - jomushi
Kinana Azungumza na Kiongozi Mkuu wa CPC Nchini China

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema Tanzania kuna wawekezaji katika sekta mbalimbali za uchumi, lakini Chama Cha Mapinduzi kinaamini kwamba wawekezaji…

Continue Reading....

Miss Utalii Watembelea Ukumbi waKimataifa wa Makumbusho ya Taifa

Posted on: March 21, 2013 - jomushi
Miss Utalii Watembelea Ukumbi waKimataifa wa Makumbusho ya Taifa

WASHIRIKI wa Fainali za Taifa za mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2012/13,jana wametembelea Ukumbi wa kwanza na wa Kisasa na wa aina yake Tanzania ambao…

Continue Reading....

Dkt Shein Awataka Wazanzibari kudumisha Amani na Utulivu

Posted on: March 21, 2013 - jomushi
Dkt Shein Awataka Wazanzibari kudumisha Amani na Utulivu

WAZANZIBARI wametakiwa kuendeleza na kuimarisha umoja miongoni mwao bila kujali tofauti za kiitikadi huku wakidumisha amani, utulivu, upendo na mshikamano kuijenga nchi yao. Wito huo…

Continue Reading....

Serikali Kukutana na Viongozi wa Dini, NGO’s na Vyama vya Siasa Mwezi Ujao -Pinda

Posted on: March 21, 2013March 21, 2013 - jomushi
Serikali Kukutana na Viongozi wa Dini, NGO’s na Vyama vya Siasa Mwezi Ujao -Pinda

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali itaitisha kikao cha wadau mbalimbali kutoka taasisi za dini, mashirika yasiyo ya Kiserikali pamoja na vyama vya siasa ili…

Continue Reading....

Serikali ya Tanzania Pamoja na Bodi Utalii Nepal Kutangaza Utalii

Posted on: March 21, 2013 - jomushi
Serikali ya Tanzania Pamoja na Bodi  Utalii Nepal Kutangaza Utalii

Mkurugenzi wa Utalii wa Wizara ya Maliasili na Utalii Ibrahim Mussa (kulia) Kwanza ningependa kuwapongeza akinamama hawa kutoka Nepal kwa ujasiri waliouonyesha kwa kupanda mlima…

Continue Reading....

Wanafunzi wala mlo mmoja

Posted on: March 21, 2013 - admin
Post Tags: elimu, mlo, shule, umasikini
Wanafunzi wala mlo mmoja

Na Mwandishi wa Daraja MOJA ya changamoto inayowakabili wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipagalo na Shule ya Msingi Mahulu, zilizopo Makte Njombe ni kutopata chakula…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari