Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • February
  • Page 11

Month: February 2013

EAC Yatuma Waangalizi 40 Uchaguzi wa Kenya

Posted on: February 24, 2013 - jomushi
EAC Yatuma Waangalizi 40 Uchaguzi wa Kenya

Na Isaac Mwangi, EANA TIMU ya watu 40 yenye kujumuisha wajumbe kutoka nchi zote wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) isipokuwa Kenya wamepelekwa nchini…

Continue Reading....

Montage Charity Ball na Uboreshaji Afya kwa Akina Mama

Posted on: February 24, 2013 - jomushi
Montage Charity Ball na Uboreshaji Afya kwa Akina Mama

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage (iliyoandaa hafla hiyo), Teddy Mapunda akimpa zawadi ya heshima Mgeni Rasmi, Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete mara baada…

Continue Reading....

Maneno Osward Atamba Kumchapa Kaseba

Posted on: February 23, 2013 - jomushi
Maneno Osward Atamba Kumchapa Kaseba

Na Mwandishi Wetu BONDIA Maneno Osward ametamba kumchakaza mpinzani wake Japhert Kaseba kunako raundi za awali katika pambano lao litakalofanyika Machi 2. Akizungumza na mwandishi…

Continue Reading....

Mahafali ya 20 Kidato cha Sita 2013 Shule ya Sekondari St. Anthony

Posted on: February 23, 2013 - jomushi
Mahafali ya 20 Kidato cha Sita 2013 Shule ya Sekondari St. Anthony

Mgeni rasmi katika mahafali ya 20 ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari St. Anthony Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza…

Continue Reading....

Washiriki Miss Utalii Kutangaza Vivutio Bagamoyo

Posted on: February 22, 2013 - jomushi
Washiriki Miss Utalii Kutangaza Vivutio Bagamoyo

JUMLA ya Washiriki 40 wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 ambao wapo Kambini Ikindoleo Lodge Hoteli ya kitalii, Kesho wataungana na wanavyuo mbalimbali Tanzania katika safari…

Continue Reading....

Maofisa wa FIFA Watua Dar Kuikagua TFF

Posted on: February 22, 2013 - jomushi
Maofisa wa FIFA Watua Dar Kuikagua TFF

OFISA Maendeleo wa Kusini mwa Afrika wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Ashford Mamelodi amewasili leo kwa ajili ya kufuatilia shughuli za…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari