Picha juu na chini ni Wafanyakazi wa Hoteli ya Hyatt Regency wakishirikiana na Kampuni ya usafi ya Green Waste Pro kusafisha fukwe za Kivukoni Front…
Continue Reading....Month: February 2013
Waziri Mkuu Pinda Aunda Tume Kuchunguza Waliofeli Kidato cha Nne
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda ameunda Tume maalum itakayofanya uchunguzi wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne ya 2012, ambayo yamezua mgogoro mkubwa…
Continue Reading....FIFA Kuchunguza kwa Kina Mchakato wa Uchaguzi TFF
Na Mwandishi Wetu OFISA Maendeleo wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) Kusini mwa Afrika, Ashford Mamelodi amewahakikishia Watanzania kuwa ujumbe wa Shirikisho…
Continue Reading....Kingkapita Aachia Kibao ‘Kuna Tatizo Kwani’?
MSANII Kingkapita kutoka nchini Tanzania ameachia wimbo wake mpya unaojulika kwa jina la Kuna Tatizo Kwani?. Wimbo huo ambao amemshirikisha msanii Godzilla na kuandaliwa na…
Continue Reading....Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa NHIF
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Emmanuel Humba akizungumza katika hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya kujipongezana na kupata chakula cha jioni kwenye…
Continue Reading....