Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • January
  • Page 5

Month: January 2013

Mwambata wa Jeshi la Ujerumani Asaidia Yatima Dar

Posted on: January 28, 2013 - jomushi
Mwambata wa Jeshi la Ujerumani Asaidia Yatima Dar

 Abel ambaye aliambatana na mkewe walitoa vifaa vya zahanati vikiwemo vitanda na madawa ambavyo kwa ujumla wake, vimegharimu fedha za kitanzania shilingu milioni 10. Hapa…

Continue Reading....

UN Yawanoa Waandishi wa Habari Zanzibar

Posted on: January 28, 2013 - jomushi
UN Yawanoa Waandishi wa Habari Zanzibar

Mratibu wa FAO Ofisi ya Zanzibar Ali Haji Ramadhan akitoa hotuba ya makaribisho katika mkutano na waandishi wa habari wa Visiwani Zanzibar ambapo amesema wanatarajia…

Continue Reading....

Wanafunzi wa Muziki THT Wahitimu Mafunzo

Posted on: January 28, 2013 - jomushi
Wanafunzi wa Muziki THT Wahitimu Mafunzo

Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal)…

Continue Reading....

ECOWAS Kuongeza Vikosi Vyake Mali

Posted on: January 27, 2013January 27, 2013 - jomushi
ECOWAS Kuongeza Vikosi Vyake Mali

MATAIFA ya Afrika Magharibi yamekubali kuongeza idadi ya wanajeshi wake watakaopelekwa Mali kuwaunga mkono wanajeshi wa nchi hiyo kupambana na waasi wenye itikadi kali za…

Continue Reading....

Onesmo Ngowi Kusimamia Pambano la Ubingwa wa Dunia Johannesburg

Posted on: January 27, 2013 - jomushi
Onesmo Ngowi Kusimamia Pambano la Ubingwa wa Dunia Johannesburg

RAIS wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati, Matanzania Onesmo Ngowi atasimamia pambano la ubingwa wa dunia la vijana…

Continue Reading....

Pambano la Lyon, Simba Laingiza Mil 53/-

Posted on: January 27, 2013 - jomushi
Pambano la Lyon, Simba Laingiza Mil 53/-

MECHI namba 92 ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa jana (Januari 27 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa Simba kuibuka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari