Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 9

Year: 2012

Dkt Bilal Atembelea Mzee Noor Abdulkadir

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakimsalimia Mzee Said Noor Abdulkadir, wakati alipomtembelea kumjulia…

Continue Reading....

Skylight yapania Mkesha wa X-Mass Thai Village

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi

Kikosi kazi cha SKYLIGHT Bendi kikiongozwa na Joniko Flower kuporomosha burudani mwishoni mwa juma katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam. USIKOSE…

Continue Reading....

Makaburi zaidi yavunjwa Timbuktu

Posted on: December 24, 2012 - jomushi
Makaburi zaidi yavunjwa Timbuktu

Taarifa kutoka kaskazini mwa Mali zinaeleza kuwa wapiganaji wa Kiislamu wamevunja makaburi kadha ya kale katika mji wa Timbuktu. Wapiganaji wax Kiislamu nje ya Timbuktu…

Continue Reading....

Wapiganaji wa CAR wasonga mbele

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi
Wapiganaji wa CAR wasonga mbele

Wapiganaji katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wameuteka mji wa Bambari, mji wa tatu kwa ukubwa. Huo ni mji wa sita kutekwa na wapiganaji hao…

Continue Reading....

Jerry Silaa Ashiriki Kampeni za Usafi Gongolamboto

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi
Jerry Silaa Ashiriki  Kampeni za Usafi Gongolamboto

Pichani Juu na Chini ni Mstahiki Meya wa Ilala na Diwani wa Kata ya Gongo la mboto, Jerry Silaa akiwa na baadhi ya wakazi wa…

Continue Reading....

Umoja wa Waendesha Pikipiki Waiomba Serikali Mikopo yenye Masharit Nafuu

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi
Umoja wa Waendesha Pikipiki Waiomba Serikali Mikopo yenye Masharit Nafuu

Chama cha Umoja wa waendesha pikipiki wa mkoa wa Mwanza wameiomba Serikali kuwapa mafunzo ya uongozi pamoja na mikopo yenye masharti naafuu ili waweze kununua…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari