MAELFU ya watu wamekusanyika katika mji wa Bethlehem kwenye Mamlaka ya Wapalestina kusheherekea sikukuu hiyo. Mji huo unaaminika kuwa ndiko pahala alikozaliwa masiha bwana yesu…
Continue Reading....Year: 2012
Cheka Awaahidi Watanzania Ushindi wa Kishindo
BONDIA Mtanzania Francis Cheka kutoka katika jiji lisilo na bahari la Morogoro amewaahidi watanzania ushindi wa kishindo katika mpambano wake na bondia kutoka Malawi Chimwemwe…
Continue Reading....Mama Tunu Pinda Awataka Watanzania Kumshukuru Mungu
MKE wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda amesema kila mtu hana budi kumshukuru Mungu kwa kumfikisha salama wakati wa sikukuu ya Noeli kwani kuna wengine…
Continue Reading....Cheka Chimwene nusura wazichape Kavukavu
MAFAHALI mawili wanaotegemea kuzichapa tarehe 25, 2012 kugombea mkanda wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati Mtanzania Francis Cheka…
Continue Reading....Lowassa Ashiriki Ibada ya Sikukuu ya Krismas Visiwani Zanzibar
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa salaam za Xmas kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Mwanakwerekwe Zanzibar mara baada ya…
Continue Reading....Vijana Watakiwa Kushiriki katika Ulinzi shirikishi – Dk. Mukangara
VIJANA wametakiwa kushiriki katika suala la ulinzi na usalama wa maeneo wanayoishi kwa kujiunga na vikundi vya ulinzi shirikishi ili kulinda na kusimamia rasilimali za…
Continue Reading....