Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 4

Year: 2012

Klabu Zasubiri Fedha zao TRA Zicheze Ligi Kuu

Posted on: December 29, 2012December 29, 2012 - jomushi
Klabu Zasubiri Fedha zao TRA Zicheze Ligi Kuu

KLABU 14 ambazo timu zao zinashiriki Ligi Kuu ya Vodacom zimesema hazitacheza hatua ya pili ya Ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Januari 26 mwakani hadi zitakaporejeshewa…

Continue Reading....

Chiotcha Aonja Machungu ya Cheka

Posted on: December 28, 2012December 28, 2012 - jomushi
Chiotcha Aonja Machungu ya Cheka

BONDIA kutoka Jamhuri ya watu wa Malawi Chiotcha Chimwemwe alionja machungu ya Mtanzania Francis Cheka katika mpambano wao uliopewa jina na “Vita vya Ziwa Nyasa”…

Continue Reading....

Francis Cheka Atimiza Ahadi ya Ushindi kwa Watanzania.

Posted on: December 28, 2012 - jomushi
Francis Cheka Atimiza Ahadi ya Ushindi kwa Watanzania.

SHIRIKISHO la Ngumi la Kimataifa (IBF) limepongeza bingwa mpya wa uzito wa Super Middle katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki yaa Kati,…

Continue Reading....

UVCCM Kawe Wapania Mabadiliko

Posted on: December 27, 2012December 28, 2012 - jomushi

Katibu wa UVCCM kata ya Kawe Bi. Aisha Katundu (kushoto) akipokea fomu aliyoijaza Bw. Amani Nkurlu kwa nafasi ya kugombea Uenyekiti UVCCM kata ya Kawe…

Continue Reading....

Serikali Mkoani Kagera Yavikopesha vikundi vya Vijana zaidi ya Milioni 83.

Posted on: December 27, 2012December 27, 2012 - jomushi
Serikali Mkoani Kagera Yavikopesha vikundi vya Vijana zaidi ya Milioni 83.

Na Anna Nkinda – Maelezo, Kagera SERIKALI Mkoani Kagera imevikopesha vikundi mbalimbali vya maendeleo vya vijana kupitia Vyama Vya Kuweka Akiba na Kukopa (SACCOS) zaidi…

Continue Reading....

Jamhuri ya Afrika ya Kati yaomba msaada wa Ufaransa

Posted on: December 27, 2012December 27, 2012 - jomushi
Jamhuri ya Afrika ya Kati yaomba msaada wa Ufaransa

SERIKALI ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imevitaka vikosi vya kulinda amani vya Ufaransa kusaidia kusimamisha juhudi za waasi kuendelea kusonga mbele katika harakati zao…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari