Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 12

Year: 2012

Waziri Mkuu Ahaidi Kuchangia Ujenzi Kituo cha Afya, Awataka Wakulima Kula Nyama

Posted on: December 22, 2012 - jomushi
Waziri Mkuu Ahaidi Kuchangia Ujenzi Kituo cha Afya, Awataka Wakulima Kula Nyama

Na Mwandishi Maalumu, Katavi WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameahidi kuchangia sh. milioni 20 za kuanzia ujenzi wa kituo cha afya katika kata ya Mwamapuli ili…

Continue Reading....

Taifa Stars Yaifanya Vibaya Zambia, Yaichapa 1-0

Posted on: December 22, 2012 - jomushi
Taifa Stars Yaifanya Vibaya Zambia, Yaichapa 1-0

TIMU ya Taifa Stars ya Tanzania leo imeifanya vibaya timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo) baada ya kuifunga bao moja kwa bila. Zambia ambao ni…

Continue Reading....

Hii ndiyo Demokrasia ya kweli

Posted on: December 22, 2012December 22, 2012 - jomushi
Hii ndiyo Demokrasia ya kweli

Tawi hili linajulikana kama Umoja wa Mataifa

Continue Reading....

Ndege ya UN yashambuliwa Sudan Kusini

Posted on: December 22, 2012December 22, 2012 - jomushi
Ndege ya UN yashambuliwa Sudan Kusini

UMOJA wa Mataifa umesema helicopta kutoka kwa kikosi chake cha kutunza amani Sudan Kusini imeangusha na jeshi la nchi hiyo na kuwaua watu wanne waliokuwa…

Continue Reading....

Azam, Coastal Kucheza Fainali Kombe la Uhai

Posted on: December 22, 2012 - jomushi
Azam, Coastal Kucheza Fainali Kombe la Uhai

Azam ya Dar es Salaam na Coastal Union ya Tanga ndizo zitakazoumana kwenye fainali ya michuano ya Kombe la Uhai 2012 itakayochezwa kesho jioni (Desemba…

Continue Reading....

Mstahiki Meya wa Ilala Ashiriki Ibada ya Kihindu

Posted on: December 22, 2012 - jomushi
Mstahiki Meya wa Ilala  Ashiriki Ibada ya Kihindu

    Mstahiki Meya Jerry Silaa akiingia katika msikiti wa dhehebu la Wahindu kuhudhuria ibada maalum ya kuliombea taifa Amani. Waendesha Ibada maalum kutoka India…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari