Month: November 2012
Mchekeshaji Sharo Bilionea Afariki Dunia
Msanii wa vichekesho Husiein Ramadhan maalufu kama Sharo bilione amefariki katika ajali ya gari iliyotokea katika sehemu ya maguzoni wilaya ya Muhesa jijini tanga akitokea…
Continue Reading....Wataalamu Zanzibar Kujifunza Ufugaji wa Samaki Vietnam
Rajab Mkasaba, Hanoi, Vietnam RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea Taasisi ya Utafiti wa Ufugaji wa Samaki…
Continue Reading....Serikali Lawamani kwa Kutowekeza -Mara
Na Mwandishi wa Mwana wa Afrika MUSOMA WANANCHI Mbalimbali mkoani Mara wameilalamikiaSerikali kwa kutowekeza katika elimu ya juu katika mkoa huu wa Kihistoria hapa nchini.…
Continue Reading....JK Awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Novemba 26, 2012 amewaapisha Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama…
Continue Reading....TIGO Yashikilia Usukani wa Kero kwa Wateja
Na Waandishi Wetu, Hudumabongo@gmail.com KAMPUNI ya mawasiliano ya simu za mkononi, Tigo imeshikilia usukani wa biashara inayoongoza kwa kero kwa wateja baada ya kuibuka kuwa…
Continue Reading....