Month: October 2012
Bondia ‘King Class Mawe’ Aeleza Siri ya Mafanikio
NI dhahiri kuwa vipaji vikiibuliwa tangu utotoni na kuendelezwa vyema vijana wanakuja kuwa wazuri ukubwani na kulitangaza vyema taifa nchi za nje. Hali hiyo inadhihirika…
Continue Reading....Nani Kasema Mwanaume Habebi Mtoto Mgongoni…! Haki Sawa Kwa Wote
Picha hii imepigwa jana na mmoja wa wadau wa mtandao huu eneo la Uru-Mawella, Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoa wa Kilimanjaro. Wazazi hawa wawili walikutwa…
Continue Reading....Mapigano Uganda, Askari Wauliwa na Waasi wa DRC
TAARIFA zinasema kuwa askari wawili wanaolinda mbuga, pamoja na mwanajeshi mmoja wameuliwa na waasi katika Mbuga ya Wanyama ya Virunga, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.…
Continue Reading....Katibu Bakwata Alipuliwa na Bomu
KATIBU wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA), Mkoa wa Arusha, Sheikh Abdulkarim Jongo amejeruhiwa na mlipuko unaosadikiwa kuwa ni bomu lililotegwa nyumbani kwake eneo la…
Continue Reading....