Month: October 2012
Waziri Mkuu Pinda Atoa Ushauri Juu ya Elimu Chuo Kikuu Huria
*Mama Tunu Pinda naye ahitimu Shahada ya Uongozi wa Biashara Na Mwandishi Maalumu WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka Watanzania wahakikishe kuwa wao wenyewe na watoto…
Continue Reading....Boniface Wambura Apanda Ngazi ECAPBA
BONIFACE Wambura ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Viwango ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamatiu ya…
Continue Reading....Matokeo ya Mpira wa Ligi Kuu Tanzania Bara Leo (27/10/2012)
Matokeo kati ya timu za Ligi Kuu Bara ni kama ifuatavyo: 1) Yanga 1 na Oljoro JKT 0 2) Simba 3 na Azam FC 1
Continue Reading....Pambano la Matumla na Omot wa Kenya Laiva
BONDIA Rashid Matumla na Patrik Omot wa Kenya wanategemea kupanda ulingoni kesho katika Ukumbi wa Makonde mkoani Mtwara. Mabondia wote wamepima uzito na taarifa ni…
Continue Reading....