Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • September
  • Page 6

Month: September 2012

Kikwete Atoa Rambirambi Kifo Cha Jenerali Anatory Kamazima

Posted on: September 26, 2012September 27, 2012 - jomushi
Kikwete Atoa Rambirambi Kifo Cha Jenerali Anatory Kamazima

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za pole Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kufuatia kifo cha Meja Jenerali Anatory Ruta Kamazima (Mstaafu) aliyefariki Septemba 25,…

Continue Reading....

Dk. Shein Awataka Masheha Kutojihusisha na Migogoro ya Ardhi

Posted on: September 26, 2012 - jomushi
Dk. Shein Awataka  Masheha Kutojihusisha na Migogoro ya Ardhi

Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar VIONGOZI wa Serikali za Mitaa wakiwemo Masheha wametakiwa kutojihusisha na migogoro ya ardhi kwani inaathiri maendeleo ya kilimo, utalii na makaazi…

Continue Reading....

Taasisi ya Mawasiliano EAC Yafungua Ofisi Kigali

Posted on: September 26, 2012 - jomushi
Taasisi ya Mawasiliano EAC Yafungua Ofisi Kigali

James Gashumba, EANA- Arusha TAASISI ya Mawasiliano ya Afrika Mashariki (EACO) imefungua ofisi za sekretarieti yake mjini Kigali, Rwanda ili kuratibu na kurahisisha utendaji kazi…

Continue Reading....

TFF Yamtimua Kamishna Komba Ligi Kuu

Posted on: September 26, 2012 - jomushi
TFF Yamtimua Kamishna Komba Ligi Kuu

KAMATI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilikutana Septemba 25 mwaka huu kupitia ripoti za mechi 21 za Ligi Kuu ya…

Continue Reading....

Kamati ya Uchaguzi TFF Yatoa Uamuzi Juu ya Rufania ya IRFA

Posted on: September 26, 2012 - jomushi
Kamati ya Uchaguzi TFF Yatoa Uamuzi Juu ya Rufania ya IRFA

KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana Septemba 25 mwaka huu kusikiliza rufani iliyowasilishwa na warufani Mussa Mahundi, Abou Sillia…

Continue Reading....

Come and See for Your Self African Greatest Show Coming to Dar Only From Sept. 27 to Nov. 4

Posted on: September 26, 2012 - jomushi
Come and See for Your Self African Greatest Show Coming to Dar Only From Sept. 27 to Nov. 4

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari