Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • September
  • Page 4

Month: September 2012

Serikali Yawaandalia Neema Wakulima Mauzo ya Mazao

Posted on: September 27, 2012 - jomushi
Serikali Yawaandalia Neema Wakulima Mauzo ya Mazao

UKOMBOZI zaidi wa wakulima wa Tanzania utakuja mwishoni mwa mwaka ujao wakati Serikali inapopanga kuzindua Soko la Mazao (Commodity Exchange) ambalo kazi yake kuu itakuwa…

Continue Reading....

Wasanii wa Sanaa za Maonesho Wapewa Changamoto Bagamoyo

Posted on: September 27, 2012 - jomushi
Wasanii wa Sanaa za Maonesho Wapewa Changamoto Bagamoyo

Na Magreth Kinabo -Maelezo, Bagamoyo WASANII wa sanaa za maonesho nchini wamepewa changamoto ya kutambua kuwa watalii ni hadhira ambayo wanaweza kuilenga katika ubunifu wa…

Continue Reading....

Wadau wa Marekani washirikiana na Thehabari kutoa misaada kwa watoto yatima

Posted on: September 27, 2012September 27, 2012 - Rungwe Jr.

Picha zaidi zitawajia punde……

Continue Reading....

Shy-Rose Bhanji Atesa Kinyang’anyiro cha Uchaguzi CCM

Posted on: September 27, 2012 - jomushi
Shy-Rose Bhanji Atesa Kinyang’anyiro cha Uchaguzi CCM

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji amefanikiwa kuwa mmoja kati ya wagombea 31 waliopitishwa na Kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM-NEC kuwania nafasi…

Continue Reading....

Uzinduzi wa Maonesho ya Tigo Mama AfriKa Sarakasi

Posted on: September 27, 2012 - jomushi
Uzinduzi wa Maonesho ya Tigo Mama AfriKa Sarakasi

  Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo akizungumza machache katika ufunguzi wa maonyesho ya Tigo Mama AfriKa sarakasi yanayoendelea katika ukumbi wa ukumbi wa…

Continue Reading....

HakiElimu Wazindua Matangazo Kuhamasisha Elimu ya Awali

Posted on: September 27, 2012September 27, 2012 - jomushi
HakiElimu Wazindua Matangazo Kuhamasisha Elimu ya Awali

Na Joachim Mushi TAASISI ya HakiElimu imezindua matangazo mapya ya redio na televisheni ikiwa ni kampeni ya kuhamasisha jamii na Serikali juu ya umuhimu wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari