Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • August
  • Page 6

Month: August 2012

Mahakama yatengua matokeo ya Mbunge wa CCM Igunga, Chadema kidedea

Posted on: August 22, 2012 - jomushi
Mahakama yatengua matokeo ya Mbunge wa CCM Igunga, Chadema kidedea

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepata pigo baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, kutengua matokeo ya ubunge Jimbo la Igunga yaliyompa ushindi mgombea wake, Dk…

Continue Reading....

Tanzania yatoa Salamu za Rambirambi Kifo cha Zenawi

Posted on: August 21, 2012 - jomushi
Tanzania yatoa Salamu za Rambirambi Kifo cha Zenawi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya Agosti 21, 2012, amepokea kwa mshtuko mkubwa, Masikitiko na Huzuni nyingi Taarifa…

Continue Reading....

CCM yasema Dk. Slaa anazeeka vibaya

Posted on: August 21, 2012August 22, 2012 - jomushi
CCM yasema Dk. Slaa anazeeka vibaya

Na Mwandishi wetu KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nauye amemshukia Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa, kufuatia Kauli aliyoitoa…

Continue Reading....

Abiria wa basi la ABS Express wanusurika kufa

Posted on: August 20, 2012August 22, 2012 - jomushi
Abiria wa basi la ABS Express wanusurika kufa

Abiria wa Basi la ABS Express waliokuwa wakisafiri kutokea jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Iringa juzi walinusurika kufa (Agosti,17) baada ya gari walilokuwa wakisafiria…

Continue Reading....

Dk. Shein ahutubia Baraza la Eid

Posted on: August 20, 2012August 22, 2012 - jomushi
Dk. Shein ahutubia Baraza la Eid

Na Rajab Mkasaba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,amewataka Wananchi kutowapa nafasi wasioitakia mema Zanzibar na badala…

Continue Reading....

Maafisa wa EAC wajadili Mbinu za kupambana na Uhalifu

Posted on: August 20, 2012 - jomushi
Maafisa wa EAC wajadili Mbinu za kupambana na Uhalifu

Na James Gashumba Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa Dk. Julius Rotich ametaka kuwepo kwa juhudi za pamoja…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari