Month: July 2012
Waziri Haroun awasilisha bajeti ya Wizara ya Baraza la Wawakilishi
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, Haroun Ali Suleiman amewasilisha katika Baraza la Wawakilishi, Makadirio ya Mapato na Matumizi ya…
Continue Reading....Wapiga picha EAC wapata mafunzo
Na mwandishi wetu, EANA NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa, Dk. Julius Rotich ametoa wito kwa wapiga picha…
Continue Reading....Sudan yakataa makubaliano na Sudan ya Kusini
HATUA hiyo ya kutupilia mbali mpango huo uliopendekezwa na Sudan Kusini inachukuliwa wakati huu ambapo muda wa mwisho uliotolewa na Umoja wa Mataifa pamoja na…
Continue Reading....Rais wa Ghana John Attah Mills afariki
Rais wa Ghana John Atta Mills amefariki ghafla wakati akipata matibabu. Taarifa kutoka Ofisi ya rais zinasema kuwa alifariki ghafla baada ya kupelekwa hospitali siku…
Continue Reading....Hosptali ya AICC kuendesha kampeni ya kupima kisukari bure
KITUO cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha kupitia hospitali yake ya AICC kitaendesha kampeni ya kupima kisukari bure kwa wakazi wa Arusha ili kusaidia wananchi…
Continue Reading....