Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • July

Month: July 2012

TFF yatoa pongezi kwa uongozi mpya SIREFA

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
TFF yatoa pongezi kwa uongozi mpya SIREFA

SHIRIKISHI la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatoa pongezi kwa uongozi mpya wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Singida (SIREFA) uliochaguliwa katika uchaguzi…

Continue Reading....

Kocha Michelsen awaita 22 kuunda kambi ya COCA-COLA

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Kocha Michelsen awaita 22 kuunda kambi ya COCA-COLA

Na Mwandishi Wetu KOCHA wa timu za Taifa za vijana za Tanzania, Jakob Michelsen ameita wachezaji 22 kwa ajili ya michuano ya kimataifa ya Coca-Cola…

Continue Reading....

Ikulu yatoa rambirambi kwa Askofu Peter Konki

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Ikulu yatoa rambirambi kwa Askofu Peter Konki

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Kanisa la ELIM Pentekoste Tanzania, Askofu…

Continue Reading....

Sakata la rushwa kwa wabunge CCM yatoa tamko

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Sakata la rushwa kwa wabunge CCM yatoa tamko

*Yataka Chadema isipoto ukweli wa tuhuma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani juhudi zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa na vyama vya siasa kujaribu kupotosha na kuuficha…

Continue Reading....

EAC yaahidi kukabiliana na uhalifu wa mitandao

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
EAC yaahidi kukabiliana na uhalifu wa mitandao

Na James Gashumba, EANA-Arusha AFRIKA Mashariki inafuatilia kwa kasi utekelezaji wa juhudi za kudhibiti changamoto ya uhalifu wa njia za mtandao unaotumika mipakani na ambao…

Continue Reading....

Walimu mkoani Mara waahidi kuendeleza mgomo hadi kieleweke

Posted on: July 31, 2012 - jomushi
Walimu mkoani Mara waahidi kuendeleza mgomo hadi kieleweke

*Tarime wanafunzi waandamana kudai masomo Na Shomari Binda, Musoma CHAMA cha walimu Mkoa wa Mara (CWT) kimesema kitaendelea na mgomo ulioanza jana bila kikomo mpaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari