DODODMA imeendeleza wimbi la ushindi kwenye michuano ya Copa Coca-Cola 2012 baada ya leo asubuhi (Juni 27 mwaka huu) kuifunga Mbeya mabao 2-0 katika mchezo…
Continue Reading....Month: June 2012
Polisi Moro yaacha 17,TZ Prisons 11
KLABU tano za Ligi Kuu ya Tanzania zimewasilisha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) majina ya wachezaji ambao zimewakatishia mikataba/mikataba yao kumalizika au kuwaacha…
Continue Reading....Tantrade yatangaza viingilio vya maonesho ya Saba Saba
*Watu wazima kulipa 2500/-, watoto 500/- *Tiketi za kupaki magari madogo 4000/-, maroli ni 40000/- MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imetangaza viingilio vipya…
Continue Reading....Mtangamano EAC muhimu vita dhidi ya Silaha Haramu
Na Mark Mugisha, EANA-Arusha KUIMARISHA mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ni njia pekee kwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo ya kujitoa katika mipaka…
Continue Reading....Msiba wa REHEMA KAYUNGI, Marekani
TAARIFA ZA KUSIKITISHA NI KWAMBA MTANZANIA REHEMA KAYUNGI, WA ARIZONA NCHINI MAREKANI AMEFARIKI DUNIA. CHANZO CHA KIFO CHAKE BADO HAKIJAJULIKANA. TUNAPENDA KUOMBA USHRIKIANO WAKO ENDAPO…
Continue Reading....Twiga Bancorp yanyakuwa tuzo ya dhahabu utoaji huduma bora
Afisa Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp, Hussein Mbululo (kulia) akipokea Tuzo ya utoaji bora wa huduma ijulikanayo kama ‘Century International Gold Quality ERA Award’, kutoka…
Continue Reading....