Hayawi hayawi hatimaye yalikuwa, moto uliwaka usiku wa jana mjini Warsaw kufuatia mchuano mkali baina ya Ujerumani na Italia. Italia ili ndiyo ilikuwa mbabe zaidi…
Continue Reading....Month: June 2012
Ufadhili wa silaha waleta vita S Sudan
SILAHA kutoka China, Ukraine na Sudan zinachangia machafuko Sudan Kusini. Hii ni kwa mujibu wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International. Ripoti ya…
Continue Reading....Mwanariadha wa Kenya matatani
POLISI nchini Kenya wamemchukulia hatua mwanariadha mashuhuri Ezekiel Kemboi kwa madai ya kumdunga kisu mwanamke mmoja Jumatano usiku. Kemboi anasifika kwa mbio za mita elfu…
Continue Reading....UNESCO yahofia usalama wa maeneo ya kale
UMOJA wa Mataifa umeelezea wasi wasi dhidi ya usalama wa mji wa kale wa Timbuktu kaskazini mwa Mali huku machafuko yakiendelea eneo hilo. Shirika la…
Continue Reading....Vicent Kigosi aja na Sobing Sound
MSANII wa filamu nchini Visent Kigos ‘Ray’ amezindua filam yake mpya inayojulikana kama ‘SOBING SOUND’. Filam hiyo ameizindua kwa staili tofauti ambapo badala ya kuzindua…
Continue Reading....