Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • June
  • Page 2

Month: June 2012

Mmarekani Chris wilde aahidi kurudi Tanzania

Posted on: June 30, 2012June 30, 2012 - jomushi
Mmarekani Chris wilde aahidi kurudi Tanzania

*Atakuja kukimbia kilometa 51 kwa uhuru wa Tanganyika CHRIS Wilde raia wa Marekani aliyekimbia kilometa 50 kuipa Tanzania zawadi ya miaka 50 ya uhuru wa…

Continue Reading....

Mkoa wa Iringa wazindua michuano ya COPA COCA-COLA

Posted on: June 30, 2012 - jomushi
Mkoa wa Iringa wazindua michuano ya COPA COCA-COLA

IRINGA imezinduka kwenye michuano ya Copa Coca-Cola baada ya leo asubuhi (Juni 30 mwaka huu) kuifunga Kaskazini Pemba mabao 3-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa…

Continue Reading....

Mahakama ya Kadhi sasa kuanzishwa wakati wowote asema Pinda

Posted on: June 30, 2012June 30, 2012 - Rungwe Jr.
Mahakama ya Kadhi sasa kuanzishwa wakati wowote asema Pinda

Serikali imesema uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi itakayoshughulikia migogoro na masuala mbalimbali ya usatawi wa Waislamu nchini umefikia katika hatua nzuri. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,…

Continue Reading....

Dk.Ulimboka hali mbaya

Posted on: June 30, 2012 - Rungwe Jr.
Dk.Ulimboka hali mbaya

Hali ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka ni mbaya na sasa madaktari wanatafuta Dola za Marekani 40,000 (Sh. milioni 63.07) ili…

Continue Reading....

Mdau wa dev.kisakuzi.com akiwa na wanakijiji kusaka taarifa

Posted on: June 30, 2012June 30, 2012 - jomushi
Mdau wa dev.kisakuzi.com akiwa na wanakijiji kusaka taarifa

Tunapoenda kufanya kazi vijijini si vibaya kujumuika na kubadilishana taarifa na wenyeji wa pale, je wataka kujua hapa Mdau Mkuu wa Thehabar.com alikuwa kijiji gani,…

Continue Reading....

Dk Ulimboka ana siri nzito, kuanika kila kitu baadaye, ataka kwa sasa apumzike

Posted on: June 30, 2012 - jomushi
Dk Ulimboka ana siri nzito, kuanika kila kitu baadaye, ataka kwa sasa apumzike

ASEMA ATAANIKA KILA KITU BAADAYE, ASEMA ACHWE APUMZIKE, MKUU WA JOPO LA MADAKTARI WANAOMTIBU ASEMA ALING’OLEWA KUCHA, MENO MAWILI NA KUPATA MTIKISIKO WA UBONGO MWENYEKITI…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari