LICHA ya serikali kuadhimisha wiki ya maziwa Kila mwaka kwa lengo la kuhamasisha unywaji wa maziwa , hali ya unywaji wa maziwa hapa nchini bado…
Continue Reading....Month: May 2012
Kikao cha Baraza la Madiwani chafanyika dakika 1
Na Shomari Binda, wa Binda News-Musoma BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Musoma lililokuwa na ajenda 9 limeendeshwa kwa dakika 10 huku madiwani…
Continue Reading....Makocha 35 Copa Cocacola kushiriki semina ya FIFA
MAKOCHA 35 wameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kushiriki semina ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kwa ajili ya…
Continue Reading....Chipkizi 10 wapita mchujo ASPIRE
WACHEZAJI 10 wamepita katika mchakato wa kusaka vipaji kwa chipukizi wenye umri chini ya miaka 14 kupitia mpango wa kukuza vipaji wa Aspire Football Dream…
Continue Reading....Dk. Bilal akutana na ujumbe wa maendeleo wa Finland Ikulu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na Waziri wa Maendeleo wa…
Continue Reading....Dk. Bilal akutana na Waziri wa Finland
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal amekutana na Waziri wa Maendeleo wa Finland Deidi Hautala ambapo wamezungumzia masuala…
Continue Reading....