Month: May 2012
Zaidi ya Watoto elfu 40 waasiliwa
Shirika la kuteteta maslahi ya watoto la The African Child Policy Forum linasema zaidi ya watoto elfu 40 wameasiliwa katika kipindi cha miaka minane wengi…
Continue Reading....Balotelli apinga ubaguzi wa rangi
MARIO Balotelli nyota wa soka nchini Italia ambaye pia ni mchezaji mweusi wa Klabu ya Manchester City ya Uingereza amesema ataondoka uwanjani endapo atakejeliwa kutokana…
Continue Reading....Charles Taylor miaka 50 jela
RAIS wa zamani nchini Liberia Charles Taylor amehukumiwa miaka 50 jela na Makahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Mwezi jana Taylor alipatikana na makosa…
Continue Reading....Miti 120 yavunywa kinyemela Moshi
Na mwandhishi wetu-Kilimanjaro LICHA ya serikali mkoani Kilimanjaro kupiga marufuku uvunaji wa miti kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi,watu wasio fahamika wamevuna miti…
Continue Reading....JK ateuwa wakurugenzi mabalozi Mambo ya Nje
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameteua Wakurugenzi wapya tisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambao pia…
Continue Reading....