TIMU za Taifa za Tanzania (Taifa Stars) na Malawi (The Flames) zinapambana leo Mei 26 mwaka huu katika mechi ya kirafiki itakayofanyika Uwanja wa Taifa,…
Continue Reading....Month: May 2012
Ajali mbaya Babati, watu 6 wafa wawili majeruhi
Na Mwandishi Wetu, Thehabari-Manyara HABARI zilizotufikia zinasema watu sita (6) wamefariki dunia huku wengine wawili (2) wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Sigino wilayani Babati…
Continue Reading....ICD yazindua mtandao wa taarifa kuhusu walemavu
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com KITUO cha Habari Kuhusu Ulemavu (ICD) nchini Tanzania kimezindua mtandao (Blogu) ambayo itakuwa ikikusanya taarifa mbalimbali kuhusiana na masuala ya walemavu…
Continue Reading....Rais wa Zanzibar azungumza na uongozi wa Wizara ya Uwezeshaji Wananchi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,…
Continue Reading....Vodacom yazindua promosheni ya wikiendi ya wajanja
KAMPUNI ya mawasiliano inayoongoza Tanzania, Vodacom imezindua promosheni kwa ajili ya wateja wake ambapo kuanzia leo hadi mwisho wa wikiendi watapata nyongeza ya asilimia hamsini…
Continue Reading....