Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • May
  • Page 11

Month: May 2012

Mbowe, Dk Slaa kutikisa Dar leo

Posted on: May 26, 2012 - jomushi
Mbowe, Dk Slaa kutikisa Dar leo

KUHUTUBIA JANGWANI, POLISI YAKATAA OMBI LA CHADEMA KUANDAMANA MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wake, Dk Willbrod Slaa leo wanatarajiwa kuhutubia wanachama na…

Continue Reading....

Njaa bado tatizo nchi za Afrika-Janet Mbene

Posted on: May 26, 2012 - jomushi
Njaa bado tatizo nchi za Afrika-Janet Mbene

Njaa bado tatizo nchi za Afrika-Janet Mbene Na Mwandishi Wetu BARA la Afrika ikiwemo Tanzania limeshakumbwa na matukio ya uhaba wa chakula, uliosababisha watu wengi…

Continue Reading....

Waliokufa ajali ya mbunge Moshi waongezeka

Posted on: May 26, 2012 - jomushi
Waliokufa ajali ya mbunge Moshi waongezeka

Mwandishi Wetu, Thehabari-Moshi IDADI ya watu waliofariki dunia katika ajali ya gari la Mbunge wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasin kwa tiketi ya Chama cha…

Continue Reading....

Tanzania yaahidi mshikamano na Zimbabwe

Posted on: May 26, 2012 - jomushi
Tanzania yaahidi mshikamano na Zimbabwe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono kwa dhati jitihada za Zimbabwe katika kutafuta mwafaka wa kudumu…

Continue Reading....

Wauguzi Mara wagoma, wadai unyanyasaji kimaslahi umekithiri

Posted on: May 26, 2012 - jomushi
Wauguzi Mara wagoma, wadai unyanyasaji kimaslahi umekithiri

Na Shomari Binda wa Binda News-Musoma WAUGUZI katika hospitali ya Mkoa wa Mara wameweka mgomo wa kuingia wodini na kutoa huduma mbalimbali katika hospitali hiyo…

Continue Reading....

Yanga yaomba msaada wa kisheria TFF, ni baada ya mambo ‘kuvurugika’

Posted on: May 25, 2012May 25, 2012 - jomushi
Yanga yaomba msaada wa kisheria TFF, ni baada ya mambo ‘kuvurugika’

KWA vile wajumbe kadhaa wa Kamati ya Utendaji ya Yanga akiwemo Mwenyekiti wa kamati hiyo Lloyd Nchunga wamejiuzulu, Kamati ya Uchaguzi ya Yanga imeliandikia barua…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari