Robin van Persie amechaguliwa mchezaji bora wa mwaka katika tuzo inayotolewa na Chama cha Wacheza Kandanda ya Kulipwa- PFA. Mshambuliaji huyo wa Arsenal mwenye umri…
Continue Reading....Month: April 2012
Bingu wa Mutharika azikwa nyumbani
RAIS wa zamani nchini Malawi, Bingu wa Mutharika, amezikwa nyumbani kwake kusini mwa nchi. Wa Mutharika alifariki dunia mwezi jana baada ya kupatwa na mshutuko…
Continue Reading....Waandamana nusu uchi kulalamikia Polisi
KUNDI la wanawake wamevua nguo, nusu uchi kulalamikia kitendo cha Polisi wa Uganda anayedaiwa kumdhalilisha kingono mwanasiasa wa upinzani. Kanda ya video imeonesha Polisi akimtomasa…
Continue Reading....Katibu Mkuu wa UN akemea hatua ya Sudan
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bani Ki Moon amelaani vikali mashambulio ya ndege za Sudan Kwenye mpaka wake na Sudan Kusini. Bw Ban amesema…
Continue Reading....Lulu ‘Elizabeth’ afikishwa tena mahakamani
Na Mwandishi Wetu MSANII nyota wa filamu na chimpukizi, Elizabeth Michael maarufu kwa jina la ‘Lulu’ leo amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya…
Continue Reading....