Na Nicodemus Ikonko, EANA WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana Arusha, Tanzania, Jumamosi, Aprili 28, katika mkutano maalum utakaojadili…
Continue Reading....Month: April 2012
Francis Cheka na Japhet Kaseba uso kwa uso siku ya sabasaba
Na Mwandishi Wetu BINGWA wa kick Boxing. Japhet Kaseba amesaini mkataba wa kucheza na Bingwa wa dunia wa ndondi mkanda unaomilikiwa na IBC, Francis Cheka…
Continue Reading....Mila na desturi zakwamisha chanjo Arusha
JUMLA ya watoto 20,500 inadaiwa hawajapewa chanjo kati ya mwaka 2009 hadi 2011 huku wazazi wengi wakionekana kukumbatia mila potofu kuwa chanjo ina madhara kwa…
Continue Reading....UVCCM Arusha wasema waliomtuhumu Millya ni mamluki
Na Mwandishi Wetu, Arusha JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa CCM mkoani Arusha umesema baadhi ya wanachama waliojitokeza na kumtuhumu aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja huo…
Continue Reading....Dk. Magufuli atoa heshima za mwisho kwa muasisi wa CCM Chato
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato leo ameshiriki kuuaga mwili wa marehemu Constantine…
Continue Reading....Miss Arusha City Center kujulikana Mei 5
Na Mwandishi Wetu MASHINDANO ya Ulimbwende ngazi ya kitongoji Kanda ya kaskazini, Miss Arusha City Center 2012, yanatarajiwa kufanyika Mei 5 2012 ndani ya hoteli…
Continue Reading....