Na James Gashumba, EANA NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa, Beatrice Kiraso, amesema matatizo ya kiusalama yanayoikabili kanda…
Continue Reading....Month: March 2012
Abiria Sumry adakwa na pembe za ndovu
ASKARI wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Iringa kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa wamemkamata abiria Suleiman Amidu aliyekuwa akisafiri na basi…
Continue Reading....Mkapa arudi kwenye kampeni za CCM Arumeru
Rais na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akiwa kwenye chumba cha kufikia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya kupokewa…
Continue Reading....Wanafunzi Mahinda sekondari ‘wauza’ bangi
Na Mwandishi Wetu, Moshi WAKAZI wanaoishi maeneo ya kuzunguka Shule ya Sekondari Mahida iliyoko wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na wanafunzi wa shule…
Continue Reading....Rais Kikwete atuma rambirambi kwa familia ya Balozi Haji Lukindo
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…
Continue Reading....Waziri matatani Arumeru
VIJANA WA CHADEMA WAMZINGIRA, AHOJIWA NA POLISI Waandishi Wetu, Arumeru NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodlucky Ole Medeye juzi usiku aliingia…
Continue Reading....