Moshi WANACHAMA wa Vyama vya Ushirika mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuwawajibisha viongozi ambao si waadilifu ikiwa ni pamoja na kuwaondoa madarakani hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro…
Continue Reading....Month: March 2012
Prof. Maji Marefu atishia kulishtaki gazeti Mwananchi
MBUNGE wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani kwa jina maarufu kama Prof. Maji Marefu ametishia kulishtaki gazeti la Mwananchi kwa kile anachodai limechapisha picha yake ndivyo…
Continue Reading....Kampeni za Arumeru, CCM waingia kata ya Songoro
g” alt=”” title=”Kina mama wakimbeba Sioi Mulala” width=”640″ height=”430″ class=”size-full wp-image-14742″ />[/caption]
Continue Reading....ATCL wapewa mbinu za kutafuta fedha
Na Magreth Kinabo–Maelezo WADAU wa mkutano wa Kongamano la Taifa la Usafiri wa Anga wamepewa changamoto ya kujadili jinsi kutafuta fedha kwa ajili ya Shirika…
Continue Reading....Wanaharakati wa mazingira Afrika Mashariki wapewa changamoto
Na Nicodemus Ikonko, EANA-Arusha MSAJILI wa Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), Dk. John Ruhangisa ametoa changamoto kwa wanaharakati na watetezi wa mazingira kuchukua hatua za…
Continue Reading....Rais Kikwete ateua makatibu tawala mikoa 7
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Machi 21, 2012 ameteua Makatibu Tawala wa Mikoa saba na kufanya uhamisho wa wengine watatu.…
Continue Reading....