SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekipa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro (MRFA) hadi Machi 26 mwaka huu kukamilisha malipo ya…
Continue Reading....Month: March 2012
Askari polisi ashinda milioni 10 za M-Pesa
KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom leo imemkabidhi askari polisi, Peter James Kilalo hundi ya kitita cha sh. milioni 10 kama mshindi wa droo ya mwezi…
Continue Reading....Spika Makinda awafunda viongozi wa Bunge
Na Magreth Kinabo–MAELEZO VIONGOZI wa Bunge wametakiwa kufuata majukumu yao ya kazi, maadili na kufahamu mipaka yake ya kiutendaji ili kuepusha migogoro inayoweza kutokea. Kauli…
Continue Reading....TAMWA kufanya Mkutano Mkuu Jumamosi
MKUTANO Mkuu ambao ndicho chombo cha juu kinachotoa maamuzi kuhusu sera na mipango ya Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania–TAMWA, unatarajiwa kufanyika Machi 24, 2012 katika…
Continue Reading....Polisi wamshikilia ‘askari’ aliyemtorosha ‘muuaji’
Moshi ASKARI Polisi mwenye namba F. 4049 Pc Maneno wa kituo cha polisi kati mjini Moshi mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo…
Continue Reading....Polisi Kilimanjaro wamshika aliyetaka kula mbwa
Moshi MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Thomas Fosian (28), maarufu kama ‘Mlay Fundi’ mkazi wa Chekereni, Kahe mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Polisi mkoani hapa…
Continue Reading....