Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • February
  • Page 9

Month: February 2012

Kumbukumbu ya mama yetu mpendwa

Posted on: February 23, 2012 - jomushi
Kumbukumbu ya mama yetu mpendwa

KUMBUKUMBU NI miaka 23 sasa tangu umetutoka lakini watoto wako pamoja na Baba uliyetuachia tunaona ni kama jana tu umeondoka, maana umeenda kimwili lakini kiroho…

Continue Reading....

Mama mzazi wa mpiganaji John Badi afariki dunia

Posted on: February 23, 2012 - jomushi
Mama mzazi wa mpiganaji John Badi afariki dunia

Uongozi na wadau wa mtandao wa dev.kisakuzi.com unaungana pamoja na familia ya Mpiganaji Mwanahabari, John Badi, mpigapicha Mkuu wa magazeti ya Thisday na Kulikoni katika…

Continue Reading....

Waziri Chami: Mimi ni mzima wa afya

Posted on: February 23, 2012 - Rungwe Jr.
Waziri Chami: Mimi ni mzima wa afya

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami, amesisitiza kuwa yeye si moja kati ya mawaziri wanaonekana kuwa mzigo katika uongozi wa awamu ya nne…

Continue Reading....

Hamad Rashid aiwekea CUF pingamizi

Posted on: February 23, 2012 - Rungwe Jr.
Hamad Rashid aiwekea CUF pingamizi

Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed na wenzake 10, wamewasilisha Mahakama Kuu mapingamizi ya kisheria, wakidai kiapo kilichowasilishwa na Wakili Twaha Taslima anayewawakilisha wadhamini wa…

Continue Reading....

Msondo Ngoma ‘Baba ya muziki’ waomba radhi

Posted on: February 22, 2012 - jomushi
Msondo Ngoma ‘Baba ya muziki’ waomba radhi

Na Mwandishi Wetu BENDI kongwe ya muziki wa dansi Tanzania, Msondo Ngoma ‘Baba ya muziki’, inawaomba radhi mashabiki wao wa DDC Kariakoo kwa kuwakosa kwa…

Continue Reading....

President Kikwete meets UK’s Foreign Minister, William Hague

Posted on: February 22, 2012 - jomushi
President Kikwete meets UK’s Foreign Minister, William Hague

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari