Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • February
  • Page 6

Month: February 2012

Shahidi wa saba kesi ya Lema atoa taarifa za ‘uzushi’

Posted on: February 24, 2012 - jomushi
Shahidi wa saba kesi ya Lema atoa taarifa za ‘uzushi’

Na Mwandishi Wetu, Arusha SHAHIDI wa saba katika kesi ya kupinga matokeo ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), Joseph Silvester, amedaiwa kutoa ushahidi…

Continue Reading....

Rais Jakaya Kikwete atuwa Gaberone, Botswana

Posted on: February 24, 2012February 26, 2012 - jomushi
Rais Jakaya Kikwete atuwa Gaberone, Botswana

Na Mwandishi Maalumu RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amekipongeza Chama Tawala cha Botswana, Botswana Democratic Party (BDP) kwa mafanikio yaliyopatikana nchini Botswana na watu wake. Rais…

Continue Reading....

Viingilio Stars na Msumbiji

Posted on: February 24, 2012 - jomushi
Viingilio Stars na Msumbiji

KIINGILIO cha chini katika mechi ya mchujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Msumbiji (Mambas) itakayochezwa Februari 29 mwaka…

Continue Reading....

Kozi ya madaktari wa tiba ya michezo

Posted on: February 24, 2012 - jomushi
Kozi ya madaktari wa tiba ya michezo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeandaa kozi ya awali ya madaktari au wataalamu wa viungo (physiotherapist) kwa klabu za Ligi Kuu na Ligi…

Continue Reading....

Vodacom yakarabati Kituo cha Polisi Mto wa Mbu

Posted on: February 24, 2012 - jomushi
Vodacom yakarabati Kituo cha Polisi Mto wa Mbu

Continue Reading....

Ziara ya Dk Bilal Sumbawanga, azindua maghala na kutembelea Kikosi cha JWTZ kinacholinda mpaka wa Kasanga

Posted on: February 24, 2012 - jomushi
Ziara ya Dk Bilal Sumbawanga, azindua maghala na kutembelea Kikosi cha JWTZ kinacholinda mpaka wa Kasanga

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari