Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • January

Month: January 2012

JK akana kubariki posho mpya za wabunge

Posted on: January 31, 2012 - jomushi
JK akana kubariki posho mpya za wabunge

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amekana taarifa za kwamba ameridhia la kiwango kipya cha posho za wabunge (yaani sh. 330,000 kwa siku)…

Continue Reading....

Tanzania kujenga Makao Makuu ya Mahakama ya Haki za Binadamu

Posted on: January 31, 2012 - jomushi
Tanzania kujenga Makao Makuu ya Mahakama ya Haki za Binadamu

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa Tanzania itagharamia ujenzi wa makao makuu ya kudumu ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya…

Continue Reading....

Serikali yapeleka madaktari wa Jeshi Muhimbili

Posted on: January 31, 2012January 31, 2012 - jomushi
Serikali yapeleka madaktari wa Jeshi Muhimbili

Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania imelazimika kuchukua madaktari 15 kutoka Hospitali ya Jeshi la Wananchi Tanzania ya Lugalo na kuwapeleka katika Hospitali ya Taifa…

Continue Reading....

Maandalizi ya kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM Mwanza

Posted on: January 31, 2012 - jomushi
Maandalizi ya kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM Mwanza

Continue Reading....

Jaji ambana wakili wa Manispaa Arusha

Posted on: January 31, 2012February 1, 2012 - jomushi
Jaji ambana wakili wa Manispaa Arusha

Na Mwandishi Wetu, Arusha MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha inatarajia kutoa uamuzi wa pingamizi za awali katika kesi iliyofunguliwa na waliokuwa madiwani wa Chama Cha…

Continue Reading....

Wamisri kuichezesha Stars Februari 29

Posted on: January 31, 2012January 31, 2012 - jomushi
Wamisri kuichezesha Stars Februari 29

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Misri kuchezesha mechi ya kwanza ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari