WATU hao ambao ni raia wa Kenya na picha zao zilisambazwa kwa umma kabla, walijisalimisha wenyewe kwa wakuu Jumamosi iliopita. Vita dhidi ya ugaidi nchini…
Continue Reading....Year: 2011
Msimamo mkali wa dini wapingwa Israil
Rais Shimon Peres wa Israil alisema wachache nchini Israil wanafanya vitendo vya aibu na wanavunja umoja wa taifa. Aliwahimiza watu wajiunge na maandamano hayo katika…
Continue Reading....Mahakama Kuu yasitisha Kafulila kuvuliwa ubunge
MBUNGE wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amepata amri ya Mahakama Kuu ya kuzuia utekelezaji wa uamuzi wa chama chake kumvua uanachama.Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi,…
Continue Reading....Hali ya Hewa: Mafuriko makubwa yanakuja Dar
*Yasema Alhamisi hadi Jumamosi kuwa siku mbaya zaidi, pia kuyakumba maeneo mengine nchini MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya kuendelea kunyesha…
Continue Reading....Dk Shein amzika Kanali Magetta Zanzibar
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameungana na viongozi, wananchi na wanafamilia katika…
Continue Reading....