Na Mwandishi Wetu WATANZANIA Leslie Liunda na Joan Minja wamechaguliwa kuwa wakufunzi wa waamuzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) baada ya kufaulu…
Continue Reading....Year: 2011
Mvua zaleta maafa makubwa Dar, zaua, zajeruhi na kusomba mali
Na Joachim Mushi MVUA kumbwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo maeneo kadhaa ya Jiji la Dar es Salaam imeleta maafa makubwa, ikiwemo kuua, kubomoa baadhi…
Continue Reading....Lema, Zitto, Mnyika, Mdee hawakamatiki
Wabunge vijana kupitia Chama Cha Demokrasia Maendeleo (Chadema), wameibuka washindi wa tuzo ya wabunge bora vijana kwa mwaka 2011. Tuzo hiyo inayojulikana kama “Mjengwablog…
Continue Reading....Kafulila apewa siku 14 za kukata rufaa
Licha ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya NCCR-Mageuzi kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, na wenzake watatu, chama hicho kimewapa siku 14 za…
Continue Reading....Elimu ya juu na changamoto ya ongezeko la gharama
Na Mwandishi Wetu UKUAJI wa kiwango cha elimu hapa nchini kuanzia ngazi ya msingi hadi chuo kikuu umekuwa sio wa kiwango cha kuridhisha, na hii…
Continue Reading....