Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • September
  • Page 8

Month: September 2011

T-Moto kuwang’alisha mashabiki kwa pamba, waingia studio kukamilisha kitu!

Posted on: September 25, 2011September 26, 2011 - Rungwe Jr.
T-Moto kuwang’alisha mashabiki kwa pamba, waingia studio kukamilisha kitu!

KUNDI jipya la Taarab la Tanzania Modern Taarab (T-Moto) linalotarajia kuzinduliwa Oktoba 28 mwaka huu jijini Dar es Salaam, limezindua mavazi yake rasmi kwa ajili…

Continue Reading....

TFF wataka ufafanuzi juu ya mbwa wa polisi

Posted on: September 24, 2011 - jomushi
TFF wataka ufafanuzi juu ya mbwa wa polisi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko tukio la mbwa wa polisi kukata kamba na kusababisha mtafaruku kwa wachezaji wakati wa mechi…

Continue Reading....

Madaktari 21 wa China wajitambulisha Ikulu Zanzibar

Posted on: September 24, 2011September 24, 2011 - jomushi
Madaktari 21 wa China wajitambulisha Ikulu Zanzibar

Na Rajab Mkasaba, Zanzibar MADAKTARI wapya 21 kutoka China wamefika Ikulu mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza…

Continue Reading....

Asali ya Tanzania inaubora wa kimataifa

Posted on: September 24, 2011September 24, 2011 - jomushi
Asali ya Tanzania inaubora wa kimataifa

WIZARA ya Maliasili na Utalii inatoa taarifa kuwa asali ya Tanzania ni nzuri kwa matumizi ya binadamu na kuwa ina viwango vya ubora vya kimataifa.…

Continue Reading....

Wafugaji 33,422 wanufaika na mradi World Vision

Posted on: September 24, 2011September 25, 2011 - jomushi
Wafugaji 33,422 wanufaika na mradi World Vision

Na Janeth Mushi, Arusha WAKAZI 33,422 wa jamii ya wafugaji wanaokabiliwa na tatizo la njaa wilayani Longido mkoani hapa wamenufaika na mradi toka Shirika lisilo…

Continue Reading....

T-MOTO MODERN TAARAB YATUA DAR KUFYATUA SITA MPYA

Posted on: September 24, 2011 - jomushi
T-MOTO MODERN TAARAB YATUA DAR KUFYATUA SITA MPYA

KUNDI jipya la muziki wa taarab la Tanzania Moto Modern Taarab (T-Moto) limetua jijini Dar es Salaam leo asubuhi kutoka mfichoni katika Visiwa vya Zanzibar,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari