Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • September
  • Page 6

Month: September 2011

Pingamizi la kesi ya Lema latupwa

Posted on: September 26, 2011 - jomushi
Pingamizi la kesi ya Lema latupwa

Na Mwandishi Wetu, Arusha MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, imetupilia mbali pingamizi zilizotolewa na wakili wa Serikali, Timon Vitalisa na Method Kimomogolo anayemtetea mdaiwa ambaye…

Continue Reading....

Watakiwa kuacha mapenzi masomoni

Posted on: September 26, 2011 - jomushi
Watakiwa kuacha mapenzi masomoni

Na Anna Nkinda – Maelezo WANAFUNZI nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kujiingiza katika mapenzi wakiwa masomoni kwani kufanya hivyo ni kuhatarisha maisha yao kwa…

Continue Reading....

Kaburi la pamoja lagundulika Libya

Posted on: September 26, 2011 - jomushi
Kaburi la pamoja lagundulika Libya

KABURI la pamoja la mamia ya watu lagunduliwa mjini Tripoli, Libya. Kaburi la pamoja linaloaminika kuwa na miili 1,270 limegunduliwa katika mji mkuu wa Libya,…

Continue Reading....

Wenger: Kuvurunda kumeiathiri Arsenal kiuchumi

Posted on: September 26, 2011 - jomushi
Wenger: Kuvurunda kumeiathiri Arsenal kiuchumi

ARSENE Wenger amekiri kiwango cha chini cha soka kwa timu yake ya Arsenal kilichangia kupungua kwa mashabiki wake uwanjani wakati timu hiyo ilipocheza na Bolton…

Continue Reading....

Profesa Wangari Maathai afariki dunia

Posted on: September 26, 2011 - jomushi
Profesa Wangari Maathai afariki dunia

Nairobi MWANAHARAKATI maarufu na mtunukiwa wa tuzo ya Amani ya Nobel, Profesa Wangari Maathai amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71. Mwanaharakati huyo mashuhuri…

Continue Reading....

Wanawake Saudia waruhusu kupiga kura

Posted on: September 26, 2011 - jomushi
Wanawake Saudia waruhusu kupiga kura

WANAWAKE wa Saudi Arabia hivi sasa wanabaguliwa sana, pamoja na kukatazwa kuendesha gari. Mfalme Abdullah bin Abdelaziz alisema wanawake sasa wataweza kupiga kura na piya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari