Na Joyce Anael, Moshi WANANCHI mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kuingilia kati tatizo la mfumuko wa bei ya sukari kutokana bei kupanda ghafla kutoka sh. 1,800…
Continue Reading....Month: August 2011
Ikulu: JK hajababaika kutoa uamuzi suala la Jairo
JULAI 21, 2011, Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo, akitumia madaraka yake ya Mamlaka ya Nidhamu ya Watumishi wa Umma, alitangaza hatua ya kumpa likizo ya…
Continue Reading....HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUTOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA NNE WA BUNGE TAREHE 26 AGOSTI 2011
Mheshimiwa Spika, 1. Leo tumefikisha Kikao cha 56 tangu tuanze Mkutano wa Nne wa Bunge lako Tukufu tarehe 7 Juni 2011. Mkutano huu ulikuwa mahsusi…
Continue Reading....Wachezaji 20 Twiga Stars kwenda maputo
TIMU ya Taifa ya wanawake ya mpira wa miguu (Twigs Stars) inatarajia kuondoka Agosti 31 mwaka huu kwenda Maputo, Msumbiji kwenye michezo ya All Africa…
Continue Reading....Mkuchika awarejesha kazini madiwani waliotimuliwa Chadema
Na Janeth Mushi, Arusha WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Mkuchika ameamuru madiwani wa Chama…
Continue Reading....Wakili aomba viongozi Chadema waonywe
Na Janeth Mushi, Arusha WAKILI wa Serikali, Edwin Kakolaki ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha kutoa onyo kali katika kesi inayowakabili viongozi wa…
Continue Reading....